Рет қаралды 17,906
Ni Mengi sana ambayo Mungu anatutendea. Tujifunze kuwa watu wenye kuhesabu mibaraka ya Mungu kuliko kulaumu kila wakati. Kama alitenda jana, na kesho pia atatenda. Tumpe MIZIGO YETU naye atatupumuzisha
Songwriter: Bisengo
Back vocals: Bisengo and Purity Kuria 🇰🇪
Beat: Farajah Maurice
Audio: Gerry Waliaka and Alex
Contact Info : +254 735 376378 🇰🇪
Video: Twins Studio
#letamizigo #bisengo #gospelmusic #congolesemusic #kenya