Sasa rudia hiyo mix tena na huache nyimbo ziflow vizuri bila madoido mengi halafu atleast song iiimbwe stanza zote please hata kama ni 3hrs... Otherwise, nice mix selection.
@DeejayMaasai-EneMkulati Жыл бұрын
Shukurani sana kwa comment yako!! Hii lazima urudiwe na nitazingatia ushauri wako pia.
@JohnNKuria Жыл бұрын
It is true. Hayo madoido yanazuia mtu kusikiza na kufurahia nyimbo ipasavyo.😲
@DeejayMaasai-EneMkulati Жыл бұрын
@@JohnNKuria Sawasawa! Hayo madoido ndo madj tunataka lol 😆