Tunawashukuruni wapendwa wote kwa support endelevu ambayo mnazidi kutupa kila leo. Target ni moja tu, jina la Mungu wetu liendee KUTUKUZWA. Wimbo huu ni kwaajili ya utukufu wa Mungu, tunaomba tufuraini pamoja kama tunavyo imizwa katika Wafilipi 4:4 Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini! 5 Upole wenu ufahamike kwa watu wote. Bwana anakaribia kuja. 6 Msifadhaike juu ya jambo lo lote; lakini katika kila jambo mjulisheni Mungu haja zenu, kwa kusali na kuomba pamoja na kushu kuru 7 Na amani ya Mungu, ambayo inapita ufahamu wote, italinda mioyo yenu na nia zenu kwa Kristo Yesu.
@dwsamuel9279Ай бұрын
Amen
@bolasumaili238921 күн бұрын
Jambo,waimbaji,wa light choir,wimbo wa bokyo,niwimbo,wamahana saaaana,kwanini,amukuimbaka mukiswaili?.
I love the sound, but I don't understand anything. What are they saying? Translation, please, someone.
@mfaumendale126823 күн бұрын
The song is titled money. So in essence they’re saying that money is evil because it causes people to do things that have consequences for themselves and others. An example they give is when Judas, one of Jesus’ disciples betrayed/sold him for 30 pieces of silver coins another example is when Annias and his wife Sapphira lied to the Holy Ghost that they’had given all of their possessions to God when in fact they had kept a portion for themselves. Even when Peter confronted them they kept on lying and this made God’s wrath to descend upon them and they all died. I wish you would understand the language 🤩 that’s just a portion of the translation be blessed 😇