BABA NABIS - LIL FELLY (lyrics) INTRO - NAFSI HURU Huyu jamaa anaitwa Lil Felly mwanangu ni noma kichizi au sio?? INTRO - LIL FELLY Yeah, Eh, You already know what time it is mayne, INTRO - KHALIGRAPH JONES Lil Felly manze, Big Shoutout to Lil Felly INTRO - LIL FELLY It's Young Dreamer money gang, Lil Felly, MakaFelly Aaah, Baba Nabis, Hey yo Batoz mayne I got this, Checkin' VERSE ONE - LIL FELLY Walinidharau, Who's rappin' now? Hizo zingine tu nikelele jo za chura tu kwa cow, I'm all about dinero and I ain't talkin' about KAO, I'm talkin' cash money, Cause Young Dreamer we the hero' now, Jina jo ilichange siku hizi naitwa Baba Nabis, Kabla jo unidiss, Show me where your family is, Juu hawa marapper hujichocha they only spend on cannabis, And they can never get it 10/10 hata wabebwe jo na willys, Uh, Kitu expe washaishika ni pombe ya Hennessy, Na place pekee washai perform tu ni Sarakasi, Nyi' unishinda tu na views, Nishaa inspire some of you, Nishaa pay my dues, Odinare challenge buda isiwahi kuchocha, Try kumea pembe buda jo nigeuke poacher, Sura tu ndo mbaya buda hujai kuwa gangster, I'm born town G & I'm still reppin' ocha, Juu mafans wale real utawapata mashinani, Hapa Kanairo pame jaa tu ma wanna be flani, Na top 3 ukinikosa jua List ni mbwakni, But usishangae jua imechorwa tu na family, Life jo ni borin', But wasichana huifanya worth it, Ndio maana buda huwezi nikosa na madem 40, Dini ingenikubali jo ninge marry wote, Juu feelin' jo ni mutual hakuna cha kamute, Come on! CHORUS - LIL FELLY Baba Nabis ah aaaaah Baba Nabis, jina jo ilichange siku hizi naitwa Baba Nabis (x4) VERSE TWO - LIL FELLY Ma rapper jo hawanipendi juu nilidiss ma mentor zao, Na bado jo wana wonder mi' huzozaje bila wao, Kaa si heshimu mama zao, Jo ningejaza dada zao, Lakini haina worry juu already nishaapita na Hizo chura zao, Najua mnataka rapper hasagg, But ni mimi niko, Kaa ni barz mi' huwa na tema jo mmiminiko, Niko na bibi unanitaka?? Basi mimi niko, Lakini kaa si mali safi basi mimi siko, Usiwahi ni compare na hawa marapper mi' huwanga teacher, They been sleepin' on the best, Kumekucha, Na laki tatu kwangu luku tu usifure kichwa, Juu hata mita kwangu tu ni budget ya ma mbichwa, Hauskii Madiwa nishaa take over, Saahii na zoza innercore, Na huku shawty jo akijipa mi' na mwaya Kemikal, Hakuna mtaa siezi fika na mrushwe jo watoto, Ubonge mbaya upigwe ngoto jo na ngoto, Ama ufanywe mbaya badala ya korti isikize kesi ushtuke ikiziba jo maskio, Sijai jifanya Mr. Nice ndo mnifagilie, Ivo ivo tu kimahuru jo lazima mniinamie, Na, nitawatesa mpaka Yesu awaokoe, Buda uliza mi huwanga rude boy kuliko Paul Okoye, Nadai ma hater fresh, Wakitambo jo walichoka, Na tema chafu juu nafika bei ya njoka, Nichore noise maker ninyoree locker, Nasiezi kanja whack rapper jo collabo afadhali jo nishike tu muguka, Yeah. CHORUS - LIL FELLY Baba Nabis ah aaaah Baba Nabis, jina jo ilichange siku hizi naitwa Baba Nabis (x4) OUTRO - LIL FELLY You already know who it be maybe, (Young DreaMer for life) It's Lil Felly, MakaFelly aaaah, Shoutout Young Nabis, God is The Greatest.
@josekilito33292 жыл бұрын
Sawa bro nakubali... #Dr Aggrey
@gabrielmungai127311 ай бұрын
Kanyaga peddals hadi mwisho broo🎉kazii safii safii🔥🔥📌💯💫
@hildanduku70113 жыл бұрын
Legit
@vincentokothotieno97983 жыл бұрын
GoodMuzq💥💣
@bloggermsafi94002 жыл бұрын
Kali bro i keep litsening to your barz and im like wow
@Nasty_flamez_ke3 жыл бұрын
Baba Nabis ndo jina📌
@khaleelrakim3 жыл бұрын
Dope Bro Khaleel Nimependa Izo Bars
@frenchboymontana2973 жыл бұрын
Baba nabis🥰🥰🥰🥰
@UrbanCraftTv2 жыл бұрын
This song is straight 🔥 Kenyan Talents Rock!!
@derrickotieno66943 жыл бұрын
sound bars zimeenda shule. mistari safi sana
@LILFELLY3 жыл бұрын
Shukran sana
@pilosa_pee3 жыл бұрын
💥💥💣☝️👍🤙
@Udakucity3 жыл бұрын
Budah manze big up❤️
@Pioneer_Ke3 жыл бұрын
some real music,, pioneer was here
@kilikali50162 жыл бұрын
Challenge inamuok
@djteknixxkenya51523 жыл бұрын
Great just keep climbing up!
@onyangostephen36793 жыл бұрын
The realest...pray you go far bro
@Shaddietm2 жыл бұрын
LIL FELLY the G
@LILFELLY2 жыл бұрын
You already know
@Rheejammani2 жыл бұрын
Gathee hii ni genje
@LILFELLY2 жыл бұрын
Shukran sana bro 🙏
@rapshinekenya19963 жыл бұрын
🦁
@annmutua97293 жыл бұрын
Big up Baba nabis
@oatson_friendsandfans3 жыл бұрын
Nadai tutengeneze diss track na wewe😂😂😂
@hairgang17433 жыл бұрын
Kale ka msanii ka cyber hakawapatii amani 🙌🏿🙌🏼🙌🏿🙌🏼🙌🏿🙌🏼🙌🏿🙌🏼🙌🏼🙌🏿
@LILFELLY3 жыл бұрын
Haha... Kalieka cyber kwa nyumba 🤣🤣
@hairgang17433 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@kdawg17783 жыл бұрын
noma sana
@LILFELLY3 жыл бұрын
Shukran sana Mr producer
@stOneKAY2543 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 baba nabis aaah aaah competition rebirth again
@LILFELLY3 жыл бұрын
appreciated G.
@dantethepoet75272 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥😹😹😹😹😹 Odinare Challenge isiwahi Kuchochaaa
@LILFELLY2 жыл бұрын
Try kumea pembe buda jo nigeuke poacher 😅😅
@dantethepoet75272 жыл бұрын
@@LILFELLY 🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥 hiii ni murder case
@martoz19283 жыл бұрын
Fiiiiiireeeeeeee the hit is on top 💃🏿💃🏿🔥🔥💃🏿🔥💃🏿💃🏿
@hairgang17433 жыл бұрын
Dope... 🔥🔥🔥🔥 Tuletee CR7 RELOADED sasa...
@mrwarsh_talented3 жыл бұрын
Kazi kubwa my Gee 🔥🔥
@LILFELLY3 жыл бұрын
Warsh barikiwa sana for the support 🙏
@mrwarsh_talented3 жыл бұрын
@@LILFELLY safi bro
@kebruto85773 жыл бұрын
14 minutes left damn
@jaykiokoh3 жыл бұрын
Madiwa city to the world💥💥💥💣
@shottgandolla98263 жыл бұрын
I fuck with this🔥🔥🔥🔥🐊🐊🐊Baba Nabis🔥
@khalifke30843 жыл бұрын
Maaad🍁
@abclovine64463 жыл бұрын
Madiwa
@LILFELLY3 жыл бұрын
Madiwa for life!!!
@tomkiluu2253 жыл бұрын
Great flow 🔥 🔥
@XRayKing3 жыл бұрын
BABA NABIS 🔥🔥🔥
@LILFELLY3 жыл бұрын
Shukran sana 👑👑.... Tangu zile freestyle za huko Nation Media hadi saahii still on it 💥💥
@fuegoradio...813 жыл бұрын
Nimekuheshimu since zile days za project room 17
@LILFELLY3 жыл бұрын
Shukran sana but ilikuwa room15 nikitambo sana manze.