Ati is it a drill song isipoongelea mambleina 😆 This was entertaining to watch. Favourite part of the video is the petrol station scene
@SanaakwaSana2 жыл бұрын
😂😂 Pertinent questions. Ahsante sana, Furaha!
@eastniccvr2 жыл бұрын
About hio kurudia rudia kwa chorus na verses, unajua at the end hii ni music, usioverdo, just what you think is best.... Kuna vitu unaeza ongeza kwa verse iharibu, iloose io utamu.... 🤫Learnt this from my producer 💯🚨
@SanaakwaSana2 жыл бұрын
True story. Hii ni accurate kabisa 💯. Na kupata balance inaeza kuwa ngumu. Ahsante for watching and sharing this.
@jeffreactions2 жыл бұрын
love it vile una-breakdown the lyrics...good energy,let's do a collabo
@SanaakwaSana2 жыл бұрын
Shukran sana! Sure, inaweza. DM us via whichever platform una-prefer, details ziko kwa description, then tuone what can come out of it.
@jeffreactions2 жыл бұрын
@@SanaakwaSana awesome awesome ✨️
@kix25422 жыл бұрын
Wah!, hapo kuna rapper ametudanganya, amerudia barz flani hapo ni kama ameshindwa kumalizia
@SanaakwaSana2 жыл бұрын
Nilidhani nyinyi watu wa spoken word huwa mna-appreciate repetition.
@ababu74682 жыл бұрын
Wapoa means madem wapoa .....so madem wapoa ni different but ni mabuby
@SanaakwaSana2 жыл бұрын
Yes, naelewa. Ni hiyo "wapoa" ndio sikuwa naskia. Shukran for watching.
@FLOWFLANI2 жыл бұрын
Nimeipenda, away from the lyrics ju sta' manage kuzi' understand leo, ...video iko timam!.. sometimes simplicity Ni factor biggie. Nimependa came izo camera moves especially shots kwa petrol station. I agree with you iyo frame ya ndai Ni dope!
@SanaakwaSana2 жыл бұрын
Haha! The Limuru man in you hawezi kuruhusu kuelewa hii sheng ya kuzoza, eh? Simplicity huwa muhimu for sure. Glad kusikia your sentiments on this.
@MURIU4112 жыл бұрын
Trap kilimani😂😂😂😂😂eh
@MURIU4112 жыл бұрын
Wapoa ni madame😂😂
@SanaakwaSana2 жыл бұрын
@@MURIU411 😂😂 where were you when I needed you?
@MURIU4112 жыл бұрын
@@SanaakwaSana mi ntakua resurector.... When i go i go... Format ikianza haiishi😂 ntafungua scabs ama nikue late poison where they percieve me😂😂😂 time ndio ina demands zingine 😂😂 ntakua nakuja uno uno😂😂😂 naandika highlights😂😂😂😂