Hongera diamond platnumz kwa interview nzuri sana, umeonyesha kukerwa na baadhi ya maaumuzi na harakati(ftna,kubaniwa) za kukurudisha nyuma nakupongeza kwa kuweza kustahimili hayo yote nakusimama kwenye kile unachokiamini kwa kujitoa hata kua tayari kwenda jela kwa ajili ya bongo fleva. Maombi yangu kwako ukiwa miongoni mwa watu wenye nguvu ,uelewa na hamasa kubwa kwenye bongo fleva naona ni vyema sana ukaweka wazi hzo ftna na watu wanaozifanya pamoja na baadhi ya media kukukwamisha kwani ni wasanii wengi wanapitia kwenye hayo ambayo wewe umepitia na kwa bahati mbaya sana tasnia imekua ikipoteza wasanii wazuri. Kuna baadhi ya watu(wadau wa tasnia) na media wanaaminika/zinaaminika kwa kuwa tu tunajua yale mambo ambayo wanatuonyesha ila ni imani yangu kuwa endapo ukiliweka hilo wazi utakua umesaidia wasanii weng na tasnia kwa ujumla.
@nas1536 жыл бұрын
Fantastic........safi sana na hakuna obvious questions kama wanavyo uliza radio station nyingine....hii inamaanisha unafuatilia sana interview zote za mtu utakae mhoji.....nahii inaitwa kujiongeza.💯/💯✔
@fatumaabdallah44296 жыл бұрын
Mond upo vizuri kaka angu we fanya kazi mungu yupo pamoja na we ila zari ni wako tuu,
@nivardbarack46436 жыл бұрын
Pendeza sanaaa hii interview💟💟💟💟💟💞💞💞💝💝💝💝💝💝💝💝💝 kizazi sanaani umeongea kiakili saana maswali na majibu vyote viko strong big up
@goodluckymartin3346 жыл бұрын
Mm ukisemaa wanatoaa ttuzooo lili ommy ur the baddest presenter aseehhhh hakunaaaw kammaaaa ww kwa sasa hapaa tz aiseeehhhhhhhhh 🔥🔥🔥🔝🔝🔝👏👏🔝🔝🔝🌍🌍🌍
@chiefkaitaba.m.94666 жыл бұрын
Diamond nakuelewa sana lkn vile vile LilOmmy ww ni zaidi ya mtangazaji unajua sana hadi unakera,big up.
@sandraallen85786 жыл бұрын
Bongo flavour imekuwa kubwa Kwasababu ya chibu (simba Lion) @diamondplatnumz wewe ni kichwa🔥🔥big up
@henrypodolski36526 жыл бұрын
lil ommy ur the best presenter in town....together with simbaaaaaaa
@barakaandrea37906 жыл бұрын
Platinuz umekomaa mzee,Big up sana.
@joymondi17604 жыл бұрын
That y nampenda baby simba .he is always social and focused .lots of love to you baby handsome ,from joy mondi kenya
@mercymusyimi12276 жыл бұрын
I think this is the best interview i have watched in a couple of years,diamond got brains for a whole clan......hahahahaha,i love how he admits mistakes and doesn't give a hoot.WCB forever.
yaaaa Diamond mheshimiwa sis tunampenda sana big gap sana
@rashidchembax83836 жыл бұрын
Lil Ommy uko vizuri,haubaatishi aisee
@yasingawaza30876 жыл бұрын
ludo kwamolawako achananamziki kunalana uko dogo
@fatmafarid56196 жыл бұрын
Very Good to be open you're the best musician Wasafi Diamond Platinum
@zainabualtz14556 жыл бұрын
Nakupenda unajielewa japo kila binadam ana mapungufuyake so ww pekeyako 😍😍😍
@pizothe12696 жыл бұрын
doh, lil Ommy kiwango chako ni sawa na wale wa BBC. mond pia yupo fit kujeilezea japo mi sio mshabiki wake ila FRESH big up.
@shanihassani3526 жыл бұрын
interview hii ni fire,,,,big up modi umeongea ukwel kwa ufupi umewaongelea wasanii wote wanyonge
@mpoloonlinetv13736 жыл бұрын
Diamond you are very smart artist, Nakuomba muoe shemeji yetu Zariiiiiiii the bos lady, she qualify to be our shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@andersonmartins76746 жыл бұрын
Wow the guy (dai) ni mzuri katika responding
@nickymeel9866 жыл бұрын
Lil ommy ur the best presntr😍😍😍big up
@flaviusmwemezi99616 жыл бұрын
Interview imekua tamu kwasababu kwa sasa mond anamaswali meng yanayohitaj majibu yake Sema uyo mama mwenyewe kitengo amemkera asee Great interview Mpaka nimenunua MB mara 2 iv
@bonishani85706 жыл бұрын
I'm respect you my brother platinum's your took big points in interview
nic waallah mabrook broo D big up africa a bóy from tandale
@allthingdranabeauty6 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️tele kwa Diamond,kaka mtangazaji uko vizuri sana
@barakavicent73946 жыл бұрын
Your the best bro genius world records is onto you coz you never fail interviews congrats bro
@ToyTz6 жыл бұрын
NASIB ABDUL hapo nimekuelewa sanaa na mimi ntakuwa naachia ngoma zangu ijumaa ili waruke nazo club!! by t.o.y ,,big shoutout to MVP
@husseinc6 жыл бұрын
Lilommy hii ilikuwa bonge moja interview ongera sn ommy maswali ya mana majib pia mazur sn
@hashimmussa21316 жыл бұрын
@lilommytv...tumwagie full shoo,sisi wengine hatuishi bongo maboy na hatupati nafasi ya kusikiliza live,,,,,,big up sana homeboy
@goodluckpaschal61346 жыл бұрын
honestly nimekukubali mind now najuwa mm ni funs wa music
@nicholauspeter9036 жыл бұрын
Uko sawa mond uko makin sana big up xana
@madona.15376 жыл бұрын
I love this.. Nice guys.. Nice questions nice answers
@teachersamsontv11596 жыл бұрын
Dah mambo ni motoooo
@georgethuita34406 жыл бұрын
Diamond do your thing, supporting you always. 🔥🔥🔥
@rotadeeinternational65396 жыл бұрын
Good job Lil Ommy
@arafasalum5646 жыл бұрын
Interview nzuri kuliko zote zilizowahi kutokea Tanzania.
@romanomlanda71846 жыл бұрын
Huyu jamaa ni noma sana, kwenye kujibu maswali ni mtaalamu na ni mtu ambaye anajitahidi kusema ukweli
@officialjamhurizachariagos27976 жыл бұрын
Liomi we ni shiiiiida. Brother diamond uko fire MUNGU Awalinde bana. Gonga like twende Pamoja. Napia gusa picha YANGU kwa gospel makini ndugu zangu. Napia usisahau Ku subscriber kushea na kutia comment yako chini
@zainabualtz14556 жыл бұрын
Adi rahaha anavyoongea diamond eeee leo na comment sana😂😂😂😂🙆
@aliciaisoyi76 жыл бұрын
Waziwaziwazi PLATINUM si si wakenya twwakupenda Sana bro we tu. Kuwait Paris kenyans in France twakungojea kwa maparty different like boat party and Africans clubs come on TANDALEBOY!!!
@maurancechuwa6 жыл бұрын
Appreciate bro, coz unaongea fact mzee
@mohamedally3426 жыл бұрын
Hawakuezi Bro Baba Tiffah
@makondefinest6 жыл бұрын
Kuna watu wamezaliwa na akili za ziada,Diamond plutnumz
@jamilachila64966 жыл бұрын
Hahaha! eti alikuwa anapenda kubaishiana😂😂😂😍😍😍😘
@ToyTz6 жыл бұрын
KWA jinsi alivyoongea blazza simba nahic mpaka waliokuwa wanajiita team kiba washakuwa mafans wake!! AMEN
@mohammedsalim63986 жыл бұрын
lil ommy uko vizuri kijana big up kwako na mgeni wako mond
@maryannqueen73566 жыл бұрын
PREACH DIAMOND..........Preach......Lil Ommy ....your show Kills
@winniedaudi46706 жыл бұрын
Yaaan ommy nimtangazajiiiii anauliza maswali yalionyoooka yaaan upo perfect💋
@kaJEMBEvip6 жыл бұрын
Kombo
@madamfatmamsindi20596 жыл бұрын
Diamond , you are good and talented.I like you my son, please keep it up, and be careful before geting married.
@mostarsaddy92496 жыл бұрын
Makini brother simbaaa
@marrypesambili27896 жыл бұрын
Uko vzr bro piga kazi;
@lawrencekihura13266 жыл бұрын
Musicians bring a lot of revenues in Tanzania, and that includes salaries for the so called politicians, hero kwa Diamond.
@faidadusabe92496 жыл бұрын
uyu ni ukweli kabisa Mondi 👏
@aliciangina85346 жыл бұрын
The best interview ever👌👌👌
@wigomwenyeflevazake79136 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eJTFfGapZtmbrbM
@najma32686 жыл бұрын
Kaz nzuri sana daimond pamoja na Lilom
@zainabualtz14556 жыл бұрын
Diamond alizaliwa kwaniaba ya wa Tanzania Mungu ibaliki Tanzanian na watuwote
@mauchamakhjr44936 жыл бұрын
Daaah!!! Mond umemfanya nipate nguvu za ku haso coz nilishakata tamaa kwa maneno ya watu!!! Tanx sana
@teachersamsontv11596 жыл бұрын
Diamond ni fireeeeeee
@dotohussein50416 жыл бұрын
dude anajitambua sana, na atazid kuwaalbia wasanii wasiotaka mabadlko, big up blaza
@aujenjames43366 жыл бұрын
thnkx Dmond
@omaribigambo8236 жыл бұрын
lily ommy...bonge la interview broo big up xnaaaaa mzeeeeee
@aureliebeatrice59526 жыл бұрын
Mambo ni 🔥
@timotheokileo43356 жыл бұрын
😍😍😍😍
@aureliebeatrice59526 жыл бұрын
TIMOTHEO KILEO ❤️🔥
@timotheokileo43356 жыл бұрын
+queen_ btrice nichek humu bas 0752074838
@michaelgodfrey12536 жыл бұрын
queen_ btrice 😊😊
@aureliebeatrice59526 жыл бұрын
Michael Godfrey 🙏🏾
@jimmymrimi10546 жыл бұрын
Yes
@veevivi8906 жыл бұрын
i LOVE diamond i LOVE Lilommy 💗
@SalmaSalma-ub4zx6 жыл бұрын
Mashaallah diamound uwo ndo uwanaume 👏👏
@enockmgizi10886 жыл бұрын
Uko vzr sana jombaaaa
@vennylerry86306 жыл бұрын
u are de best ma brother
@mariamsaidi30846 жыл бұрын
Diamond &wema much love
@godlistenmsophe47196 жыл бұрын
I preciate you broo simbaaa🐣
@veronicaroberth69606 жыл бұрын
iko quality
@tiktokTviral6 жыл бұрын
king #SIMBA DIAMOND THE GREATEST 💎🎤🌟🌎🇹🇿
@MariamsLifestyle6 жыл бұрын
Diamond amekua sasa 👏🏾👏🏾👏🏾
@teddynanyonga26216 жыл бұрын
You left Zari now your sober congratulations mama langote now you have your son back
@victormkoba38756 жыл бұрын
big up sana diamond huo ndiyo ukweli uliyoongea yote yanapoint nimeipanda.
@zenamlanzi33706 жыл бұрын
very good
@nickymeel9866 жыл бұрын
Fanya urudie zari bana she's the best woman you desv to spnd the rest of your life with😢😢😢wengine achia majirani
@higahassib66146 жыл бұрын
umeongea vizuri sana somo
@marrykisara31386 жыл бұрын
mambo ni 🔥🔥🔥🔥
@shangajeanine59576 жыл бұрын
nasibu muowe wema achana na malaya amisa kaka muputezee kumbuka maisha yako na wema
@mariorobert14956 жыл бұрын
Best Presenter In Town
@raymomusic97646 жыл бұрын
aminia lil omy
@mwaijaramadhani66626 жыл бұрын
Kiukweli mi team kiba lakini hii interview nimecheka sana ni nzuri mpka unajikuta unacheka kwa sauti
@mwinyimcheni25726 жыл бұрын
@lilommy wewe jamaa ni 🔥
@johnmasamaki70956 жыл бұрын
nice mond
@smartmussadozen35356 жыл бұрын
Lily omi una jua sana adi nataman niwe msanii uni hoji kizazi sana
@paulgodwini29106 жыл бұрын
Hakika nime enjoy sana interview nzuri sana umenifurahisha kinoma chuki hazijengi mkuu I like that
@arafatjuma71716 жыл бұрын
mambo
@kiluwasalum50026 жыл бұрын
wewe jamaa upo vizuri sana kiakiri
@anjunurdin27636 жыл бұрын
Kwakuimba ku hakupati msanii yoyote. salut.. kama sio wewe bongofleva isingefika hapo. boonge la nyimbo SIKOMI. ila tu umeimba nyimbo kama hukomi lkn. unaba tu lkn hujifunzi nilidhani unaimba umeshajifunza lkn unaimba nyimbo umemsema wema kisha huyo huyo umemrudia.mh
@anjunurdin27636 жыл бұрын
Umeongea vizuri kwa hilo. wewe sio mtu wa kushindanishwa na msanii wa Tanzania yoyote. bora ulivyojitoa. waachie wajifuraishe..
@wigomwenyeflevazake79136 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eJTFfGapZtmbrbM
@mamatifah15046 жыл бұрын
Diamond umeongea maneno ya kibusara kabisa.... Big up bro