Dr Antipas Mugwayi Lisu utaishi maisha marefu sana, haunaga stress hata kidogo.
@MwanduMachiya2 ай бұрын
Kumbe wanajulikana Mungu ni mwema
@PendoMarco-x3u2 ай бұрын
Baba yangu ubinadam ni kazi, shukuru Mungu u mzima
@mwanjammassa85632 ай бұрын
Kwakweli kichwa cha LISU,kinamashiko sana. Umejaliwa kujuwa. Mungu akuongezee mahisha.
@allyhango38852 ай бұрын
Sema babaaaa✌️✌️
@hassanthabit37262 ай бұрын
Fara wewe
@romanilyimo2 ай бұрын
@@hassanthabit3726fara no wewe sio lissu jinga kabisa ww
@WilbertKalolo2 ай бұрын
Mungu yupo na wee na watanzania tupo na wee selikali inasema ni watu wasio julikana
@faridisalehe43022 ай бұрын
Mr.Lissu ni mtu makini sana mwenye IQ ilio juu sana lkn people might not notice the difference.
@EmanueliWildausoni2 ай бұрын
Huyu jamaa ni mwamba tena mwamba kweli
@Amani-z5y2 ай бұрын
Huyu ndo Mwamba wa Tz hatimae wamejisema wenyewe
@YOSHUAMWAMPETA2 ай бұрын
SEMA yote uwezavyo MWAMBA NI YESU PEKE YAKE TU.BARIKIWA IKIWA UMENIELEWA
@abedichande24972 ай бұрын
Siasa na dini ..Siri nzito sana hz jaman eeh mungu tanzania yangu mimi....asante raisi wng 😂 Lisu
@OstakiaCornely2 ай бұрын
kuishi na lisasi sio kitu laisi mungu akupiganie
@mzeke-r9h2 ай бұрын
Nakubali hoja za huyu mzee tangu alipokua bungeni,nchi inashishangaza kweli mpaka leo hakuna mtu hata aliyetuhumiwa aliyekupiga risasi ndani ya bunge letu tukufu,da kiukweli bado tunatawaliwa lakini tunachohitaji usawa ,.........uzalende nakumbuka kipindi kile cuf na pemba,tunahitaji revolution.
@FredSovelo2 ай бұрын
Hongera baba kwa ujasiri wana chadema tunakuamini na kukutegemea😂😂😂😂
@FelixMkini2 ай бұрын
Siku zote nasema tendeni mazuri enyi wenye mamlaka hamtaki,Mungu anawaona,
@SizaAdolph2 ай бұрын
Huyu ndo lissu htriii🎉
@bongo392 ай бұрын
Yani hawa watu wapo kwa ajili ya kuharibu amani ya inchi yetu wakishindwa hili wanatafuta jengine watanzania wamewasusia maandamano yao sasa wanaanza hili na mungu atawaangamiza na kuwashindilia kabisa kwa roho zenu mbaya na zilizojaa tamaa ya madaraka na fedha mushazeeka hamba tena nguvu mumeshindwa mlipokuwa vijana mtaweza sasahivi
Mm sioni kama kuna sababu ya mtanzania kumnyima kura yake huyu mwamba kwani nchi yetu itakombolewa.
@vicentbunzal73422 ай бұрын
Hakika kura za familia yangu mke na watoto wangu lazima zitue kwa mwamba lisu tofauti na hivyo Ni Bora tu tusiende kupiga kura ila katiba kwanza.
@alzawahirabdallah22992 ай бұрын
Labda kula sio kura
@HamisiSamweli2 ай бұрын
@@alzawahirabdallah2299 kwann unasema kula
@gregorybakuza57962 ай бұрын
Lissu Akili kubwa
@shadrackjuliuskaboya52392 ай бұрын
*jaman kesho simba na azam pagumu hapo*
@zahramsangi36322 ай бұрын
Tumekuchoka, huna jipya… wewe ni mbabaishaji tu kama wababaishaji wengine Huna hoja, kila siku unadhania tu…umepigwa risasi na aliyekupiga unamhisi tu..mtaje unaogopa nini kama unamjua
@alfoncejohn21042 ай бұрын
BROTHER LABDA INGEKUWA KENYA KWA TZ UTACHEMKA TU.WW NI PIPPET WA WALE.NENDA KWA P DIDY
@LilianKimpire2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@WillKilulyaАй бұрын
Maandamano yamewashinda,mnageukia brabra njaa inakusumbua,unatakiwa kuliwa kichwa kama ulivyosema.
@emmanuelmayunga15182 ай бұрын
Duuuh😢😢
@WillKilulyaАй бұрын
Amechanganyikiwa huyo.
@JeniferPiter-wo3ve2 ай бұрын
Viongozi wangu makini kuleni mtoli kwanza nyama zipo chini
@WilbertKalolo2 ай бұрын
Pambania kaka
@bilakawaboynew9782 ай бұрын
Katiba haimfanya mwanachi kuwa juu ya Serikali pia ko tigo pia hawapo juu ya Serikali
@bartazarylukinga71542 ай бұрын
Ila uyu jamaa atakuja kuua watu kwa pulesha
@elrachum38662 ай бұрын
makonda ishu ya marekani ni ushoga bana...
@nyauclassictv8052 ай бұрын
Mzee mbona unashawishi sana tuichukie serikali kwa ajili ya maslai yenu…? Hizo siasa za kina wazungu kuja kuchota mali zetu hatuzihitaji Mtamkumbuka sana Mh.Hayati Baba Magufuli Jembe. Acheni kutuchafulia nchi bwana kwa uchu wa madaraka yenu.
@mangofish90792 ай бұрын
We unafirwa angekuwa baba yako yamemfika yaliomfika yeye ungezungumza hivyo? Mtu kahujumiwa halafu akae kimya eti nchi inachafuliwa mpumbavu
@princessplatnum44162 ай бұрын
Kaka jitambue ebu vaa viatu vya lissu Kaka acha kujifanya wewe mwema Sana selikali yetu tuanaipenda lakn kwenye ukweli acha usemwe ndugu yangu damu yamtu aiendi bure
@annamsigwa-z4q2 ай бұрын
Hujielewi maimvu hata ngekupata ungesahau serekali
@vicentbunzal73422 ай бұрын
Wambie wasiojulikana maana ndo wanaoharibu nchi,lisu yupo sahihi kabisa na mungu amsimamie tu.
@NassoroSipemba2 ай бұрын
Akili zakuambiwa changanya na kwako!
@KanutiJoseph2 ай бұрын
BOB AMSTARDAM.
@YOSHUAMWAMPETA2 ай бұрын
IKIWA waliokupiga RISASI WAPO KWANINI usiwapeleke MHAKAMANI ? KWANINI KUWACHELEWASHA HAO wauaji au UNATAKA WAENDELEE KUUWA WENGINE?
@josephchaba60072 ай бұрын
Mkasome kitabu Cha nyuma ya pazia Cha dr.slaa 2015 mtaelewa huu ujinga unaouongea
@nantaembanusurupia56742 ай бұрын
Mbona mimi nilipata ushahidi wa wezi walioniibia polisi walikataa
@KanutiJoseph2 ай бұрын
Tuache matusi bali toeni hoja na ushauri kwa maslahi mapana ya Mama Tanzania.
@Ibrahim-ne3in2 ай бұрын
Naona Kilaza anawadanganya vilaza wenzake😂😂😂😂...kwan huyo makonda n alikua n mume wako mbona kila cku Makonda..wazungu washamuaribu kaz kucheka cheka
@romanilyimo2 ай бұрын
Kilaza mama yako kaa kwa kutulia bwege nyanya ww
@Ibrahim-ne3in2 ай бұрын
@@romanilyimo wanakugusa wewe na na huyo panya mwenzio p Diddy🤣🤣
@Ibrahim-ne3in2 ай бұрын
Sijawah kuona mchaga shoga Sasa wewe umetokea wap
@judithtitomalyeta40002 ай бұрын
Utakuwa mchawi ww kila siku makonda kama makonda umerudi tz kufanya nn tumechoka na ujinga wako kila siku makonda
@zawadimbwambo10912 ай бұрын
Mpumbavu wewe.
@MatokeoJoseph.Fonkol2 ай бұрын
@@judithtitomalyeta4000 hii dunia kama halija kukuta unaweza kusema wewe unaakili xan kuriko wengine
@PrinceHendry-hp8vv2 ай бұрын
Nakweli km hujafanywa kitu kikakuumiza unaropoka km vile ushuzi umehamia mdomoni
@deniccgabriel61532 ай бұрын
Weugonvi usiokuhuusu unakuuuma nini? Au na ww niwalewasiojulikana
@paullameck-r5j2 ай бұрын
P didy njoo Huku Kuna chakul yako😂
@didasseveline90132 ай бұрын
Watu wa namna yako urusi huwezi kuwakuta! Ni kaburu tu haijarishi ni rangi gani ni kaburu2
@romanilyimo2 ай бұрын
Umeanza kujisema na bado mpaka uwataje na wenzako bila kufikiswa mahamania na bado mtatajana tu. Mungu ana usingizi ujue hilo.
@VivecCarol2 ай бұрын
Pumbavu zako mwandishi MJINGA KWELI KWELI, taarifa yako ina sauti mbili mbili ili kuichafua taarifa.
@JoyceKabula-in1sh2 ай бұрын
Aburuze mahakamani
@FelixMkini2 ай бұрын
Huyu anayetaja mpira ndipo Iq yake ilipokomea
@masumbukosiyougomvi79002 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@bongo392 ай бұрын
Kila kitu muingereza marekani yani lazima awataje mabaasha zake mtumwa wa wazungu huna hata la kusema uchaguzi unakaribia nyie baada ya kujipanga na sera nyie mnajipanga kwa vurugu kila siku lawama
@mangofish90792 ай бұрын
Kwani aliyofanyiwa ni uongo au? Munakwepa hoja kuunga mkono maovu sababu za kijinga mpuuzi angekua baba yako ungekubali khanisi mkubwa
@zephaniachibaya28942 ай бұрын
Tunavunja laini zote za tigo
@hassanthabit37262 ай бұрын
HIZO BWEBWE ACHA UFARA UKIONGEA TUTU INAONEKANA BWEBBWE. MLICHOPANGA ARUSHA MBONA HAMSEMI TENA KWA VILE MAMA KASEMA ANAJUA
@SilasShopinvestment2 ай бұрын
Kumbe nchii majinge na vichwa maji yapo mavibalaka ya ccm chizi ww muache lisu
@clementhiddi14862 ай бұрын
Kelele tu
@mchambawimakilasiku13492 ай бұрын
Sasa braza mie naona unajifurahisha wewe mwenyeo tu, sababu hizo haki za raia unazozizungumzia ukiachilia mbali hapa Afrika hata huko kwenye wanakoheshimu haki za raia hizo unazozitaja ni kasheshe kuziheshimu, hizo haki walionazo wenzetu huu ulimwengu mwengine mpaka zije hapa kwetu labda ni vitukuu vyako au miaka mingine 200 ijayo.
@azizisergeantkapona76152 ай бұрын
Hata wewe hustairi kupewa nafasi yeyote Ile Kwa ukosefu wa uzalendo,
@romanilyimo2 ай бұрын
Uzalendo gani unaozumzia hapo yani kukoswa kuhuwawa ni mojawapo ya uzalendo sio? Wacha wacha ujinga wako ww zuzu.
@ShekhSimba2 ай бұрын
UMECHANGANYIKIWA PUMVAVU
@MatokeoJoseph.Fonkol2 ай бұрын
huenda wewe ndo umechanganykiwa
@LamaLama-rf6xu2 ай бұрын
Huyo anayesema lisu amechanganyikiwa, badala yake yeye ndo amechanganyikiwa.
@nickalreadyknows2 ай бұрын
Kama ww unavochanganyikiwaga wakati unaukatikia sio? Jinga hata kuandika hujui unapiga kelele.
@paullameck-r5j2 ай бұрын
Kuma
@NassoroSipemba2 ай бұрын
Wewe mbona unajipendekeza sana kwa wazungu unakupa nini?Angalia mzee hao hawana jambo dogo.
@donaldkiduko24172 ай бұрын
watanzania wote wanaoungana na huyu kichaa wote ni wendawazimu ndoo maana magufuli alimgonga kazi yake ni kukaa ma mabeberu kuiuza nchi muangalie ya kesho mtakua wapi kunakuzomakwingine akiri zikizidi unarukwa na kuwa mwendawazimu kama Lisu ni kichaawa akiri
@SizaAdolph2 ай бұрын
Omba upigwe wewe,acha kiburi Cha uzima tenda kwa haki maisha ni ya Mungu