Hakika Mungu ananiambia nyingi ya kuwakutanisha kondoo wake, hatukuwa sana pastor hananja
@dismasamani3834 ай бұрын
Shukrani kwa interview hii, nimekua nikimfuatilia Mch. Hananja kwenye mitandao, nafurahia neno hili ya kutiya moyo vijana
@godfreymasondaabel19044 ай бұрын
Barikiwa sana Pr.Bihene na Mkutano kwa ujumla, kuwaalika hao ndugu zetu.....
@isayarozeck75124 ай бұрын
Aisee kwakweli Nimebarikiwa na Mtumishi wa Mungu huyu
@wilsondavid87864 ай бұрын
Amina Bwana akubariki mchungaji hananja kwa kusema ukwel
@GeorgeBarnaba-to5sx4 ай бұрын
Ubarikiwe.Pastor nimepata kitu kikubwa
@mariamgonja1944 ай бұрын
Abarikiwe tu, tunamuombea siku moja tuwe wote mbinguni.
@NyangeMagere29 күн бұрын
Kweli sisi hiki kitu tumebarikiwa saana hii na tumuombe Mungu aendelee kutufunza zaidi,kwanza ukiwa Kanisani unajihisi kama upo Mbinguni raha kweli kuwa msabato
@evaristgamba42044 ай бұрын
Amina Bwana atukuzwe
@tobesimatiku19874 ай бұрын
safi sana Hananja PR .BWANA AKUBARIKI SANA
@KamugishaSupe4 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi kwa ujumbe
@Kwamby-lc5pt4 ай бұрын
Amina na Asante kwa Mungu
@EstherKarilo-u4l4 ай бұрын
Amina tunabalikiwa
@Msuya-w4v4 ай бұрын
Good man of God
@mudolyomanzil65024 ай бұрын
nabarikiwa Sana 🙏🙏🙏
@daud87854 ай бұрын
Amina
@boniphaceonlinetv38784 ай бұрын
nimebarikiwa na mafundisho mazuri
@leahmose18084 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤tam sana
@everkivuyo85964 ай бұрын
Baba hawa wasabt ndo chanzo cha mm kulijua neno kwa kina n kukuulia WOKOVU mpk sasa mm si msabato lkn nafanya huduma z kufunudisha kondo na kuwarejesha kwa Bwana lkn kiukweli msingi wangu n wasabato tangu darasa la 4 mpk nilitoroka nyumbn ili niwe msabato mana nilikua nachapwa na nilikua passfinder
@Mr.Lyanga4 ай бұрын
Amina barikiwa sana 🙏
@davidmorris63854 ай бұрын
Amina, Mungu akubariki sana mwinjilisti wa Mungu, shikilia imani hiyo, Maana hapo ndipo penye ukweli wa Mungu, Mungu akupe roho mtakatifu azidi kukuwezesha uwalete wengi kwa Mungu. 🙏🙏🙏
@abbasmkambara58154 ай бұрын
Amen servant of God
@allexraymond50854 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi, Endelea kujifunza ukweli wa Mungu Mungu ana jambo na wewe, songa mbele
@everkivuyo85964 ай бұрын
@@allexraymond5085 amen Mtu wa Mungu na naendelea kweli mbele sababu najua aliponitoa n mbali sana aliniita nikiwa mtoto mdogo sana
@vayaulashedrack59944 ай бұрын
No comment
@dillisalum23844 ай бұрын
Kusema kanisa la wasabato ni sawa na kusema mjumamosi au mjumapili huwa haileti maana kabisa, utagundua inaleta maana mtu akisema mimi ni Mkristo niliyezaliwa mara ya pili. Ku highlite dhehebu ni ujinga hata mzee anakosa cha kuongea kwasababu mmeukuza udhehebu badala ya ujumbe wa msalaba.
@JameM-l1u4 ай бұрын
Sasa Kwa nini kuwe na siku mbili tofauti kama ni wamoja?
@officialjemimahowiti4 ай бұрын
Neema yake ni ya kipekee, uishiiii uongezewe maarifa..nafaidika hapa
@foncetec4 ай бұрын
Hananja anafundisha huku anaburudisha
@brunomirambi87924 ай бұрын
MCHUNGAJI HANANJA KUNA KITU UMENIBARIKI TENA MUNGU AKUSHIKE NA AKUONGOZE KTK MAISHA YAKO