Mwenyez Mungu ijalie klabu😂yang ya dar yanga Africans uivushe kwenye mapambano haya mazito ya kuvuka hatua ya makundi🙏🙏🙏
@dicksonngasapa70073 күн бұрын
Kaka Mungu anajibu maombi tupo tunaomba kwa Imani tutashinda kwa Nguvu ya Mungu
@kassidpandu8663 күн бұрын
utamaduni wa kuenda uwanjani yanga haupo labda sana sana kunywa supu tuu
@RebekaTomas-i3j2 күн бұрын
Munguyupo nasitutashinda❤
@DamarisOsward3 күн бұрын
Ni Mungu kwa huruma yake, tutaingia robo fainali.
@RobertKajege3 күн бұрын
Bahati nzuri sie wananchi hatuna propaganda hiyo TABIA wanazo makolo fc aka walozi fc aka PROPOGANDA fc aka watoto wa TFF NA BODI YA LIGI fc aka malalamiko fc aka penalty fc aka madunduka fc
@FasalKamtande3 күн бұрын
Semaji
@RebekaTomas-i3j2 күн бұрын
Simbirisi achawaseme imaniyetu ipokwayangaaa
@kassidpandu8663 күн бұрын
Hamna nafasi tena ukweli mchungu na Matumaini hakuna mnapeana moyo tuu
@LindaMbilinyi-n3n3 күн бұрын
Safar inaenda kuisha soon au huamini??hyo gusa achia kimataifa hakuna marefa wa kununua ndo tutajua vzr
@nurusaid46983 күн бұрын
Ali Kamwe Niliudhika Kma Kuona Umetengenezwa Mfano Wa Mwanamke Mbona Ili Jambo Umelifumbia Macho Au Umependa Kudhalilishwa Ujue Cjapenda Nikiwa Shabiki Wa Yanga Tokoka Kenya