Yaani nyie baada ya kuongelea mpira,munaongelea maisha ya watu
@HABIBHASSAN-wf5mr11 сағат бұрын
HUYU MCHAMBUZI ANA CHUKI NA YANGA..AELEWEKI
@BahatiomaryMwambela-w4w14 сағат бұрын
Acha miamko sikiliza data zake ambokile
@sosthenesmaemba13 сағат бұрын
Huyu mwamba kila kitu anajua yaani
@agnessgodfrey655711 сағат бұрын
Anaweza akawa anazingua labda sawa, ila hamzidi ally kamwe😂. Msemaji anaenda kubong'oka uwanjani kweupeee Msemaji anaenda kuwakashfu Azam uwanja walitumia misimu miwili na kwa mafanikio makubwa??? Msemaji anacheza mduara hadharani???
@khajihamisi505412 сағат бұрын
Kuna wachambuzi mbuzi, lakini huyu jamaa hovyo kuliko wote! Yanga akiamuka Yanga! Amevamia yeye ni kocha, mchambuzi,yeye ndio Rais mjumbe ni yeye!
@why-ir8zl12 сағат бұрын
Huyu j'kachukuliwa na Hirsi sbb ya usomali tu😂😂😂
@hassanchiwambo6872 сағат бұрын
Uchambuzi wa kusema kama hawatakuwa makini basi watafungwa. Hii ni kauli ya kujificha sio ya kiuchambuzi. Ina maana matokeo yoyote yatakayotokea utasikia mi nilisema.😂😂
@pambaboniface119913 сағат бұрын
Yaani hat wewe mchambuzi umekubali kuingia kwenye huu mtego wa kutoa habari za uongo kwa kiasi hiki? Jitafakarini maana Kila siku mmazidi kuwa watu msiokuwa na jipya....hivi vionline vinawqponza na kuwqondela lol credibility kwa kiasi kikubwa