Ongea baba Ambokile huo ndio ukweli uliojificha Kwa viongozi wa yanga,wamesajir Wachezaji wa Revo ileile, wamesajir Wachezaji Kwa kuwapigia magoti kama Akina chama Aziz k nk nilazima wawe juu yao na watawasumbua sana walisema helis anaurafik na Wachezaji walitegemea nn?
@queenmwasanguti23706 сағат бұрын
Kweli
@GodwinMtungi5 сағат бұрын
Bado sana chuma mjerumani
@charleskuyeko44006 сағат бұрын
Michambuzi mingine bwana, mipumbavuuuu!! Anasema kocha aliyeletwa na yanga anatoka Algeria? Thubutu. Wameokota makapi kutoka Afrika ya kusini aliyekuwa anafundisha timu inayoshika mkia.
@browntv11198 сағат бұрын
fala wewe juzi umemponda sana gamondi leo umekuja na maneno mengine
@gogofilmstv552032 минут бұрын
Uwe unasikiliza vizuri. Wapi kamponda Gamondi!? Alimsifia na sasa analaumu uongozi kwakumletea wachezaji wabovu asiowataka! ACHA KUSIKILIZA KISHABIKI
@charleskuyeko44006 сағат бұрын
Acha upuuzi. Gamond siye aliyeifunga Simba. Aliyeitunga ni Herse kwa kutumia Marefa. Gamond hana kitu alikuwa anasaidiwa na Uongozi. Walivyomtimua ni sawa tu. Kwani bila Refa yanga wasimgekuwa mabingwa misimu miwili iliyopita.
@JohnMbogo-c1n5 сағат бұрын
Pole sana panya road mmechanganyikiwa na vipigo vya Yanga hadi mnaona Hersi ni kocha na siyo Gamondi mamae zenyuuuuu😂