🔴LIVE: BALAA LA MAPOKEZI YA YANGA MKURANGA/MASHABIKI WAFURIKA KAMA NYUKI/ALLY KAMWE ANAKIJIJI CHAKE

  Рет қаралды 8,750

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Klabu ya Yanga Leo Julai 15,2024 imefungua rasmi hamasa kuelekea Wiki ya Mwananchi ambapo Mashabiki wa Yanga wamejetikoze kwa wingi kuunga Mkono Jitihada za Uongozi kuelekea Kilele cha Wiki hiyo

Пікірлер: 12
@patridabernard9148
@patridabernard9148 2 ай бұрын
Nashukuru yanga mnajua kuyakuza mambo hongera semaji letu prince cleotus ki pacamwe unaupiga mwingi sana Mungu akubariki na aibariki YANGA yetu BINGWA teinaaa
@kassimomar7589
@kassimomar7589 2 ай бұрын
Ali kamwe safi sana naona uanawatuliza walizi wasije kusukuma wananchi💛💚💚💚
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 2 ай бұрын
Mashaallah Alhamndulilah nakuomba M/Mungu tujaalie neema na mafanikio Inshaallah
@evalinasuley9495
@evalinasuley9495 2 ай бұрын
Yanga hutanaga jambo dogo💚💚💚💚
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp 2 ай бұрын
Duh Yanga mna sifa sana😅
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 2 ай бұрын
Yanga kiboko haiwezekani
@NodifreyManguli
@NodifreyManguli 2 ай бұрын
Nikajua wote wamevaa jezi ya yanga kumbe wengine wamevaa gwanda za ccm
@lucksmwamlima
@lucksmwamlima 2 ай бұрын
Yanga hatunaga Jambo dogo naomba mashabiki tutengeneze benders za yanga zakutosha ata uwanjani uwa tunakuwaga hatuna benders zakutosha
@amanilupembe9788
@amanilupembe9788 2 ай бұрын
Tunaomba na Iringa mje
@veelmng7746
@veelmng7746 2 ай бұрын
Wakumbushe wananchi walipie kadi zao. Hilo ni muhimu sana ili furaha iendelee
@amanilupembe9788
@amanilupembe9788 2 ай бұрын
Mje iringa tujiandikishe
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 2 ай бұрын
Siyo ulanga, ni maulana.
Миллионер | 2 серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 567 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 12 МЛН
DUNIA (Ep 07)
24:28
ASMA FILMS
Рет қаралды 14 М.