🔴

  Рет қаралды 2,422

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@fatmaabeid2600
@fatmaabeid2600 2 жыл бұрын
Mko vizur vijana mmeelezea vizur....Mr Nabe i see u brother congrats
@ibnalhasaniyy144
@ibnalhasaniyy144 2 жыл бұрын
Hii ni biashara nzuri sana, ila Kuna baadhi ya watu wachache wanaiharibu hii TASNIA kwa ujinga wao. Thanks Cvo kwa kutoa madini mazuri sana.
@shafiichipwenge6034
@shafiichipwenge6034 2 жыл бұрын
Mwaga nondo Bilionea Mwijage 💪💪💪💪
@aminatakatimba8986
@aminatakatimba8986 2 жыл бұрын
Wasiolewa hapa basi hawataelewa, Thanks CVO, umenisaidia sana wewe na Millionaire mentor Ndobandola, Kiukweli nikiamshwa leo usingizini niulizwe biashara ipi sahihi nitachagua NETWORK MARKETING, ni biashara nyepesi sana kuifanya kwa watu ambao sio WAVIVU.
@Coachsamwel
@Coachsamwel 8 ай бұрын
I love this 🔥 🔥 mmeeleza vitu vikubwa sana part 2 yake ikowapi jaman Huyo dada mtangazaji anaonekana kabisa mindset yake inakataana na maarifa yanayotolewa na hawa jamaa.. it's like anakuwa atttacked na hii entrepreneurship mindset &hii ndio hali halisi ya wasomi wengi mtaan
@Kambi08
@Kambi08 2 жыл бұрын
Our Rol models
@ZubedaJonas
@ZubedaJonas 9 ай бұрын
Kamaxjui kingreza naweza kuifanya pia
@Mo_classic_Bland
@Mo_classic_Bland 2 жыл бұрын
IT'S ALL ABOUT MINDSET. KIPINDI KIONGEZWE MUDA ILI WATU WAFUNGUKE KIAKILI
@ramonawatoto
@ramonawatoto 2 жыл бұрын
Kiukweli najivunia sana kuijua hii biashara yetu kwasababu yenu maana nilikuw nashindwa kuelewa na kutoamini. Ila kwaajili yenu leo hii mimi naifanya Biashara hii nikiifurahia sana.🙏🙏
@barikiyesaya8582
@barikiyesaya8582 2 жыл бұрын
It's time to change idea Kuacha mazoea ya zamanii na kuanza biashara hii mpyaa
@ezrabelam5072
@ezrabelam5072 2 жыл бұрын
OK kumbe wengi tunaferi kwa kuwa hatupendi kujifunza Bali tunahitaji mafanikio kwa haraka
@Dr.Seif_tz
@Dr.Seif_tz 2 жыл бұрын
Hakika
@ibnalhasaniyy144
@ibnalhasaniyy144 2 жыл бұрын
Muda hautoshi jamani, tunaomba muda uongezwe na ikibidi Next time kipindi kiendelee ili tule madini zaidi.
@priscillamassawe7977
@priscillamassawe7977 2 жыл бұрын
Mindset matters
@SikudhaniShehoza
@SikudhaniShehoza 3 ай бұрын
Ndio
@dr_nazar
@dr_nazar 2 жыл бұрын
Nondoooo hzoo
@christopherwami2006
@christopherwami2006 2 жыл бұрын
Fanyeni kaz vijana huu ni upuuzi iyoo miaka 7 ungekuwa mbalii Sana ,,,,acheni kutafta pesa nyepesi
@priscillamassawe7977
@priscillamassawe7977 2 жыл бұрын
Kazi ni ipi mkuu?
@lucymussa5723
@lucymussa5723 2 жыл бұрын
😃😃 mzee. Forbes wanakutambua ama?? Itakuwa millionaire wewe au sio.😃😃. Sawa tajiri
@lucymussa5723
@lucymussa5723 2 жыл бұрын
@Christopher wami 😃😃😃
@aminatakatimba8986
@aminatakatimba8986 2 жыл бұрын
Kama upi sasa? Ebu tupe wewe hela ngumu tutoe wapi?
@aminatakatimba8986
@aminatakatimba8986 2 жыл бұрын
Kama upi sasa? Ebu tupe wewe hela ngumu tutoe wapi?
IFAHAMU BIASHARA YA MTANDAO/NETWORK MARKETING
11:14
THE MILLIONAIRE COACH
Рет қаралды 2,6 М.
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
🔴#Live:  SIFA ZA KIONGOZI BORA -  DARASA LA MWL NABE..
39:01
Global TV Online
Рет қаралды 1,3 М.
Njia 4 Kubwa Unazoweza Kutumia Kumshawishi Mteja.
7:01
Joel Nanauka
Рет қаралды 110 М.
JINSI YA KUJENGA TIMU KUBWA NA HARAKA|| Harry Mwijage
21:54
THE MILLIONAIRE COACH
Рет қаралды 3,3 М.
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН