Jamaa wana energy ya kutosha ladha haija badilika ileile
@CoachHafidh9 ай бұрын
Back vocalist ameua sana kwenye hyo ngoma ya "Taxi" 😂😂
@hadserhood28239 ай бұрын
Hii ni ya hapa hapa huu wimbo unger da mjini kama mngefanya wimbo rasmi ujue kuna vitu vidogo tu vinatrendisha
@OmaryToba-qo5si7 ай бұрын
Mahome boyyy five za kutosha hapo
@raphaelmheta Жыл бұрын
Ngoma ya mdumangi 🙌🙌🙌
@charlesshemlimda4493 Жыл бұрын
Wenetu wametisha sana
@mash7501 Жыл бұрын
The redundancy track mkoloni sung his heart out... For traffic, dr john came through
@contempo_builders Жыл бұрын
Hatari sana aseeh...
@luisojr348011 ай бұрын
Umeme na maji Tanzania ushakua kero Daaa Enzi hizo sie wengine tuko wadogo
@heggajunior2606 Жыл бұрын
Wagosi mmeua
@gaomariwa7637 Жыл бұрын
Big up sana kwa wagosi
@mostshareking3051 Жыл бұрын
Hawa jamaa nawakubali sanaaa😂😂😂😂😂
@eddiemohamed9003 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥LEGENDS
@Nyanda5065 ай бұрын
Dk Jonh😅😅😅
@robartifabiani Жыл бұрын
Umeme na maji keroo
@sebastiankatalle2732 Жыл бұрын
Hawa ndo wasanii sasa
@chintanga Жыл бұрын
mkoloni mbona kapungua sana jaman
@saidtembele3070 Жыл бұрын
Maybe umri
@mkisifredrick7697 Жыл бұрын
Saizi wanaitwa chawa
@chidiomari.65 Жыл бұрын
👁️👁️🤝💪🇫🇮🇫🇮🇫🇮💌
@edwardraymond8643 Жыл бұрын
Wametisha nasubiri mb dog na mandojo na domokaya
@malickkasuga4805 Жыл бұрын
Mandojo na Domokaya tayarii
@yusufsong7993 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
@Nyanda5065 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@mostshareking3051 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@Anza_tz Жыл бұрын
Daaaah aisee mziki kweli umetoka mbali jamaa hata kufuata beat ni mtihani hahahaha
@mugadimon3563 Жыл бұрын
Wanafuata beat vizuri tu na nyimbo zao ni shule tosha sio kama sasa miyeyusho mingi
@mugadimon3563 Жыл бұрын
Tena zamani ilikua huruhusiwi kurekodi kama hujui mziki ndio maana nyimbo nyingi za zamani haziishi utamu kama sasahivi
@Anza_tz Жыл бұрын
@@mugadimon3563 mmh kaka nyimbo za sasa hivi vijana wanajitahidi sana tatizo ni Moja nymbo nzuri zipo nyingi mno alafu jumbe nying zinafanana lakini mm nasikilizaga nyimbo za zamani Kuna wakati hua ninacheka maana unasikia kabisa vile mtu anaimba nje ya beat na sometimes mtu ana hama kabisa Key sema basi tuu Wacha tuwape heshima yao
@lubeyadominic8629 Жыл бұрын
❤❤❤❤ Kazi nzuri John na Mkoloni..
@mugadimon3563 Жыл бұрын
@@lubeyadominic8629 Sure hizi show zimekua nzuri sana toka zimeanza yaani unasikiliza true talent kwa liveband