Assalamualaikum w wabarakatuh shekhe mimisualangu jee naweza kumfunga mzaziwangu pempas anapokuwa nimgonjwa au amefikia umri wa utuuzima?
@ADarani-tg6ns8 ай бұрын
Nauliza hukmu kwa mtoto baada kukorofishana na mzazi wakati yu hai na mzazi akafariki, nn hukmu yake siku ya Qiyama kama hawakupata suluhisho wa tofauti zao mpaka ahadi?