Mashallah sheikh mukharam bin rashid mziwanda yani kwakweli upo vizuri sana tumefaidika sana na umeeleza vizuri sanaaa
@allysunday86148 ай бұрын
MashaAllah sheikh Mziwanda Allah akulipe kila la kheir... nimefaidika sana kwa kweli na naamini wengi tumepata manufaa makubwa sana
@duatvtz8 ай бұрын
Amen wa billah Taufiq
@W.Engineer1258 ай бұрын
Mashallah wallah tuna watu tuna vyuma tuna vya kuleta manufaa na tija kwa jamii Allah awahifadhi masheikh zetu woooote ❤
@duatvtz8 ай бұрын
Ameen waombee dua 🤲
@rajaburamadhani66128 ай бұрын
Tunaomba aje Sheikh Othman Maalim akae siku moja ktk Busati tuzidi kufaidika kwaajili ya Allah
@kombomtumbaya80408 ай бұрын
A.khum??nafatilia busati la mtoro nikiwa ujeruman lakini tatizo tunapisha na muda lakini naambulia ambulia chochote kitu kutoka busati la mtoro..Alla S.w aendelee kuwatunza mashekhe wangu
@AndulHida-hs5py8 ай бұрын
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe
@rajaburamadhani66128 ай бұрын
Allahu Akbar
@mahijayusuph81868 ай бұрын
Je ukiwa muislam unaruhusiwa kumpa asie mwislam?
@mahijayusuph81868 ай бұрын
Kama una watoto walioritadi wanaruhusiwa kupewa wakfu
@W.Engineer1258 ай бұрын
Tuacheni utani waislamu tuna watu bwana waliosoma. Hao wanao jiita salafi wazee wa RADDI mungu awaongoze elimu zao kdg alafu fyatuaa😂 nyingiiiii na matusiiiiii