Mnyika John Asante sana kwa taarifa na bado ujue unahitaji kwasemea waTanzania kwa nafasi ulonayo. Hivi Waziri wa mambo ya ndani si ajitokeze aseme kama Kuna mtaala mpya nje ya katiba watu kufanyiwa haya!!
@tibbsminja25758 күн бұрын
Kampuni ifuatilie Jina la mtu aliyeshuka na mtekwa na ndiye alikuwa anatoa mwenendo mzima