#LIVE

  Рет қаралды 3,503

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Пікірлер: 51
@NabwikeMwambebule
@NabwikeMwambebule 26 күн бұрын
Mungu pita kwenye maisha yangu haja ya moyo wangu ni kukupendeza wewe lakini bila ww siwez nataka univushe
@RitaJoseph-lv4zh
@RitaJoseph-lv4zh 6 ай бұрын
Baba Mungu naomba uniunganishe na Madhebau hii ya Much. Innocent nipate uponyaji juu ya Eneo la familia yangu hasa watoto wangu . Mungu akatengeneze Juu ya Mtoto wangu Julian ambaye shetani amemwingia na amekuwa mwiba ktk familia hataki kusoma ; ,hataki kwenda Ibadani yaani hataki ndugu Wala wazazi. Mungu akawafanye watoto wangu wamjue Mungu na Dunia yote imjue Mungu.
@SinalPatel
@SinalPatel 6 ай бұрын
Natamani niongozwe na Mungu tu kwenye kila hatua ya maisha yangu, kujiongoza kumenipa hasara nyingi kwenye maisha naomba niombee mtumishi
@Judith-mw4ys
@Judith-mw4ys 6 ай бұрын
Baba yangu nasema kwenye neno lako ya kwamba hautanisahau nikumbuke pamoja na Familia yangu 🙏amen amen and amen God bless you so much the man of God 🙌🙏
@RitaJoseph-lv4zh
@RitaJoseph-lv4zh 6 ай бұрын
Mungu wa Mbingu na nchi; naomba usiwasahau watoto wangu Jimmy, Jackline; Glad,'Junior; Julian,, na Baba . Uniponye maradhi yangu yote ya mwili na Kiroho yakaponye Ee Yesu naomba niongezee Imani.
@RedemptaTitus
@RedemptaTitus 5 ай бұрын
Mungu baba hitaji.langu ukasikilize maombi yangu kwa ajili ya watoto wangu shughuli zao zikasimame pale.wanapohitaji kusimama bwana
@SethMunisi
@SethMunisi 6 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe ,,,mtumishi itaji langu kubwa kwa mungu anifanyie wepesi nipate mtaji kwaajili ya kufungua duka langu la dawa
@nicki1885
@nicki1885 6 ай бұрын
Thank you Jesus for all you will do in my life
@UwizeraGabby
@UwizeraGabby 6 ай бұрын
Bwanayesu asifiwe mungu anisayidie aponye mama yangu asima cyapiri anisayidie inayenda kuwaca kazi niyende kumwangaririya cyatatu nayitacikabisa nehema yamungu mayisha yangu niweze kushinda nguvu zashetani nasirizake kingine mungu anipe pesa yamusingi nianze byasharayangu kingine anifanyiziye ndowa na wokovu wawukeri mu family riya yangu nakushukurusana mungu akubarike Tena sana
@Fatmasafe-jz8ij
@Fatmasafe-jz8ij 5 ай бұрын
Natamani mungu aniongoze kwenye hatu yangu ya Kila hatuya ninayo pita kwenye maisha yangu
@BelindaMamin
@BelindaMamin 6 ай бұрын
Kutana na hitaji la moyo wangu baba MUNGU 🙏🙏🙏
@EstherMallya-y2o
@EstherMallya-y2o 6 ай бұрын
Nimekuimilia wewe bwana nisiabike milelele ndiwe ngome Yangu na gege niokoe mkononi mwa adui zangu tembea NAMI kristo pamoja na watoto wangu aminaaa
@irenekomu3924
@irenekomu3924 6 ай бұрын
Baba MUNGU ninaomba ukaniguse kwenye hii Hali yakutokufanya chochote kwenye Maisha yangu ukaniinulie watu na Kabila za watu Kama ulivyoahidi, wote uliowakusudia waje kuniinua kiuchumi kwenye Maisha yangu nikakutanishwe Nao kirahisi kabisa katika Jina la YESU
@JenesterNyakayango
@JenesterNyakayango 6 ай бұрын
Naomba Mungu aniponye na tatizo la madonda ya tumbo
@JoshuaMaganigani
@JoshuaMaganigani 6 ай бұрын
Wewe baba ndiyo tumaini langu, NAMI sitakuacha nakukimbilia, nitie nguvu na kuniinua, tembea ktk maisha yangu usiniache pekee yangu. Nikutanishe na watu sahibi, ktk maisha yangu amina
@NeemaBudodi-yo6pw
@NeemaBudodi-yo6pw 6 ай бұрын
BABA MUNGU WA MBINGUNI NINAKUOMBA UNISAIDIE NILIPE MADENI YANGU YOTE ,naomba uniguse YESU
@nicki1885
@nicki1885 6 ай бұрын
Amen ! 🙏
@PENUELMBWAMBO
@PENUELMBWAMBO 6 ай бұрын
Naomba Msaada wa kimungu katika kazi ,Ndoa,uchumi,Afya
@baronobari
@baronobari 6 ай бұрын
Oh God reveal n fight for me spiritual battles ya boss yangu n landlord, niende wapi Mungu??
@JosepherHerman
@JosepherHerman 6 ай бұрын
Yes Lord , wewe niwathamani zaid ya vyote
@nicki1885
@nicki1885 6 ай бұрын
Asante YESU
@WarulyaSimeon
@WarulyaSimeon 6 ай бұрын
❤Niimarishe BABA ulegevu si sheria yako, nisikie BABA maana sina BABA mwingine wa kunenea haya.
@JosepherHerman
@JosepherHerman 6 ай бұрын
Najiungamanisha na ibada ya leo Mungu wang usinipite
@nicki1885
@nicki1885 6 ай бұрын
Wewe ni Mungu Bwana
@mumwisenjumile1411
@mumwisenjumile1411 6 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa maombi haya
@nicki1885
@nicki1885 6 ай бұрын
Thank you Jesus , my financial situation
@elishamafulu106
@elishamafulu106 6 ай бұрын
Namshukuru MUNGU Kwa MAOMBI. Haya
@MinzaMadilo-zf5yl
@MinzaMadilo-zf5yl 6 ай бұрын
Asante Bwana kwa neno hili likafanye mabadilikomaishani mwangu.Amen🙏🙏
@UwizeraGabby
@UwizeraGabby 6 ай бұрын
Mimi mungu anisayidie sana Mimi nimeyanza mawombi iyi nimepata cangamoto yawugonja mucungaji Niko mugojwa kabisa muniwombeye munisamehe nawomba musada
@irenekomu3924
@irenekomu3924 6 ай бұрын
Neno lako MUNGU likarejeshe zile nguvu za kiroho zilizochukuliwa na adui zirejee SASA Kwa Jina la YESU, nisikie na Mimi Bwana nipo hapo, niguse na Mimi Bwana nipo hapa, unapodhulu wengine usinipite na Mimi Bwana nipo hapa, upako WA madhabahu hiii ukatende Jambo jipya kwenye Maisha yangu Bwana, Asante YESU U mfariji pekeako Sina mbinguni wala duniani kote nakutegemea wewe pekeako usinipite
@fredykifunge315
@fredykifunge315 6 ай бұрын
Napokea kwa Jina la YESU KRISTO
@victoriaaman6628
@victoriaaman6628 6 ай бұрын
Mimi katika kufunga ndio nimerudi nyuma sana unakuta mwezi mzima unaisha siwezi kufunga ninkitu kinaniumiza sana mwanzon sikuwa ivyo
@frolamussa9862
@frolamussa9862 6 ай бұрын
Yesu husika nipate chet na nipate ajira pia nikue kiiman na hudum ili nimtolee MUNGU matoleo mazur
@elishamafulu106
@elishamafulu106 6 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN
@WarulyaSimeon
@WarulyaSimeon 6 ай бұрын
Asante MUNGU kwa rehema zako.Ninajua kama si wewe wala tusingekuwa kama tulivyo.Uaminifu wako umetuneemesha na nina uhakika hata msaada tunaouhitaji kutoka kwako unaenda kutufanikisha.Ninakurudishia sifa na utukufu huko juu mbinguni.
@WarulyaSimeon
@WarulyaSimeon 6 ай бұрын
MUNGU wangu naomba rehema zako.Sikati tamaa kwani najua unaniona ninavyokutumikia na hata nimeachilia eneo kwa ajili ya ujenzi wa KANISA lako (kutaniko la wakristo kukuabudu.NIKUMBUKE HATA KWA HILI)
@WarulyaSimeon
@WarulyaSimeon 6 ай бұрын
Ni mimi hapa mwenye ukame wa kiroho,niinue upya JEHOVA NA HAKIKISHA NAKUTOLEA SADAKA.
@Fatmasafe-jz8ij
@Fatmasafe-jz8ij 5 ай бұрын
Naomba ungu kwa mwanaume nilio nae kimausiano nifunge naye ndoa kwa mwaka huu usiishi niwe Nisha pokeya ndoa takatifu kwa Jena la yesu
@lucyngwale4365
@lucyngwale4365 6 ай бұрын
Baba naomba uliinue kanisa lako kwa upyaa
@irenekomu3924
@irenekomu3924 6 ай бұрын
Destiny helpers popote pale walipo nikakutanishwe Nao kirahisi kabisa, wote waliohahidi kunipa mtaji kwaajili ya biashara ukawagushe MUNGU uwakumbushe Hadi yao Jehovah waweze kutimiza naomba ukawabariki kiuchumi waweze kutimiza walichoahidi Bwana
@MutomboKasali-im8tn
@MutomboKasali-im8tn 6 ай бұрын
Shalom Shalom maitaji yangu nikwaajili ya baba yangu pastor nimugojwa sana ateseka sana naomba maombi pastor
@baronobari
@baronobari 6 ай бұрын
My boss wants to sacrifice me, am really fighting, pls man of God stand with me
@nicki1885
@nicki1885 6 ай бұрын
Ndio Bwana
@hellenmzungu7364
@hellenmzungu7364 6 ай бұрын
Mimi nimekuwa mtu wa kukataliwa mpaka nimechoka na sijui lakufanya
@JoyceMlelwa-o4f
@JoyceMlelwa-o4f 6 ай бұрын
Naomba nitoke kuota ndoto mbaya
@elishamafulu106
@elishamafulu106 6 ай бұрын
I received
@nkundechindwa9654
@nkundechindwa9654 6 ай бұрын
Niipo hapa napitia hiyo hali naichukia sana
@nicki1885
@nicki1885 6 ай бұрын
My relationship
@RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te
@RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te 6 ай бұрын
napokea Kila kilichopotea kwajina layesu
@RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te
@RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te 6 ай бұрын
nieneo lakiuchumi naomba nilipwe hela yang
@NeemaKomba-vn6sh
@NeemaKomba-vn6sh 6 ай бұрын
Hakika wewe ni wa thamani sana
MADHABAHU GANI INAKUBEBA WEWE // USIBAKI MWENYEWE // HATARI
17:56
#LIVE: MAOMBI YA USIKU // MUNGU ANAPOKUHITAJI
1:40:04
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 1,6 М.
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 23 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 8 МЛН
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
MAOMBI YA KUSHINDA UKAME WA KIROHO // CONNECTION
13:53
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 1,7 М.
MUNGU AKUPE MTU MWENYE ROHO YA KUAMBATANA NA WEWE
12:00
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 2,2 М.
OMBA MACHO YA ROHONI #PastorNathanMwakabana.
3:01
LGC SEMTEMA - IRINGA
Рет қаралды 10 М.
Jomireso voices Tz - Sheria (Official Video)
3:52
Jomireso voices Tz
Рет қаралды 106 М.
#LIVE: DAY 05 // MUNGU AYAKUMBUKE MEMA YAKO NA AKUJIBU SIKU YA UHITAJI
1:36:46
#LIVE: USILIAMINI TABASAMU LA ADUI // OMBA KWA KUMAANISHA
1:16:33
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 3,7 М.
MUNGU AWAKUMBUSHE KUHUSU WEWE // YOU NEED THEM TOO
13:47
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 1,4 М.
MAOMBI YA KUINULIWA MTETEZI WA KUKUTETEA
7:29
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 2,9 М.
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 23 МЛН