Amina. nawe pia ulie ndika sms hii mungu akupe maisha marefu.najuwa hatufahamiani ila kwanguvu za mungu tunaweza kuonana.ubarikiwe🎉🎉🎉
@adriqueniyonshima29863 жыл бұрын
Huu Leonardo kwl salute kwake. Award n yake kbxaa love him from🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@gasongogasongo15223 жыл бұрын
ko
@gasongogasongo15223 жыл бұрын
OK OK OK
@andrew12348564 ай бұрын
Leonardo is pro grade
@ShedrackAmlima-t5j3 ай бұрын
Yaah yuko good sana
@GIDIONMWAIHOLA Жыл бұрын
Asante sana Eliud kwa kumuwakilisha Yesu vzr kwny maongez na kipaj chako
@samiramawby12573 жыл бұрын
Kibibi umemzidi madam ritta kwenye u judge...I hope IPO siku utakuwa na kitu chako...brand yako...tamasha lakoooooo pambeeee
@block145mare33 жыл бұрын
First to add comment congratulations reonaldooooo well comedy stand up...give me likes🥰🥰
@munjy11tutorials3 жыл бұрын
Baina ya Asma na Head Master hapo mmependelea kwa kweli maana Head Master alistahili kuwa katika 5 bora na sio Asma maana kipaji chake ni zaidi ya Asma ukitoa upendeleo wa Gender, watching from 🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇹🇿
@franciskyombo42893 жыл бұрын
Umeongea ukwel asma sio kiivo.
@salwinmontana68143 жыл бұрын
KABISA japo wameona kwenye 5 wasikose mwanamke ila usawa huakupita 🥵🥺
@filbertfill10603 жыл бұрын
@@franciskyombo4289 ndiy ila wamefany hivyo sabab mwanamk alikuw pekee
@mwaminierasto97183 жыл бұрын
Yaani kusema ukweli nilianza kuwafatilia mwisho mimi ni mwana mke nafasi ya ASMA alistaili apewe Head Master ila kwakua mliona apewe sababu alibaki mwanamke pekeyake siombaya
@phaustineJoseph9 ай бұрын
Umenena kwel asma amependelewa
@aslamshakur2553 жыл бұрын
Naishi uganda na mimi ni mtanzania nimefatilia hiki kipindi mwanzo mpaka mwisho nanimekipenda big up kwa wasafi tv ila nashidah yakuongea na Hasfa sijuwi ntafanyaje
@beamng101m23 жыл бұрын
Jamal April, Jamal Mustapha , He is looking Goood, He is My Roll Model
@othmantv26543 жыл бұрын
Azaboy amefanya vizur ila alifeli alipojisahau yupo kwenye mashindano akashughulika na pesa...kimashindano huko ni kufeli kwa kiwango cha juu🙏
@edwardmahemba81893 жыл бұрын
Pwenti
@walaaabdallah32363 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@elinileabukhay86503 жыл бұрын
Jamani lkn si kwamba Asma amemzidi kuna upendeleo
@doricechesco50023 жыл бұрын
Kwelii kabsa pale kila mtuu aliona anakosa point Ila Asma wamembeb kwasababu ni mwanamke
@slimmuhabesh24003 жыл бұрын
Yes point
@joynasimiyu8303 жыл бұрын
😝 whats the DJ , we wanna follow will 1000 others 😂...mix is serious!!!
@BigZhumbe3 жыл бұрын
Asma yuko vizuri but hajafanya vizuri fainali.... Aza Boi deserved to be among top five.
@ahmedmahamudu41403 жыл бұрын
Kabisa kaka kabisaaa
@husnaadam69833 жыл бұрын
Kabisa
@slimmuhabesh24003 жыл бұрын
Aza boi kaharifu mwishoni...mtu anadili na hela..badala ya kumaliza kuchekesha
@franciskyombo42893 жыл бұрын
Asma sio kiivo.
@doreenchacha76923 жыл бұрын
Ofcox aza is the best
@romakoko22923 жыл бұрын
Baba Levo is the best Judge
@johnsonchonja40323 жыл бұрын
Kabadili gia angani hiyo inaitwa juu kwa juu
@wilsonngwema74863 жыл бұрын
Leonardo ni kiboko. Sterling wa show. Most blessed
@danngrandson91343 жыл бұрын
Leonard materials yamembeba kuzid eliud..... So anastahili💪💪💪
@babualy17883 жыл бұрын
Leonard ukojuu sana
@sadickthedone32633 жыл бұрын
Ni kweli ila kwa aza boy wamemuonea
@masawigroup34793 жыл бұрын
pⁿ
@abbasally5513 жыл бұрын
Kkkk
@njutujedeofficial2998 Жыл бұрын
Love from Burundi🎉❤ Nawapongeza Wa Tanzania Na Wasafi kwa Maendeleo haya yakuinuwa vipaji. Mungu azidi kuwalehemu.
@maryamal40744 ай бұрын
🇰🇪💕
@upendolema3323Ай бұрын
❤
@praygodmass78093 жыл бұрын
HEADMASTER ni genius kiukweli, ana content sana toka mwanzo alistahili kuwepo top 5, dgo ana material Coy naomba huyu arudi cheka tu tunamkubali
@barakaelikana8726 Жыл бұрын
Aliyemuona Tx Dulla nyuma ya zembwela weka like hapa
@elymsagala8 ай бұрын
Hapo kbl hajajipata😅😅 tx dulla mnyama
@chrisnyerere12876 ай бұрын
Muda wote alikuwa anakenua tu😄
@johnnchora32155 ай бұрын
Nimemuona
@wilsonngwema74863 жыл бұрын
Mc Eliud ni natural comedian.Talent anayo kubwa Burudan sana
@ramsoboytz30873 жыл бұрын
Asma leo hauko kabisa
@peterkirigini89763 жыл бұрын
Huyu muanzilishi wa Cheka tu namkubali xana! MUNGU akubariki brother!!
@vickydan28692 жыл бұрын
Amina
@SalmaNguyuro-ev8le Жыл бұрын
ongera sana daimond mungu akubaliki Kwa kuinua vipaji wape saport sana wadogo zako
@mohammedhalfan3 жыл бұрын
This is the best recently comedy search competition in Africa for my side....the winner deserves it....I think for the next coming years it will be the best tournament worldwide..big up to the founders and supporters....
@UyanjoSima5 ай бұрын
Waoooh nimemuona mkuu wa wilaya yetu Mh. Comfred Heri James nimefurah San jaman Mungu akubariki nakupenda na nakukubali mno!!!!!!
@draye33573 жыл бұрын
Wale wenye kumuona said gonga Like.
@nathanieljoseph29613 жыл бұрын
Big up sana eliud umekamua mana ulisahawahi kuingia danger zone lakin leo umeonyesha maajabu makubwq
@telvinnicholas3 жыл бұрын
Leonardo alistahili kweli ana Material kama Professor Harmo ni ngumu sana Kumpata mchekeshaji kama huyu.
@madametz75653 жыл бұрын
Daaah aza boy na headmaster hawakutakiwa kuishia hapo roho imeniuma sanaaaaaaa
@salumaboubakar97783 жыл бұрын
Kwel kabisa wamefanya upendeleo
@samirahmakeupstudio71153 жыл бұрын
@@salumaboubakar9778 na upendeleo umefanywa Asma Wala hakustahili ata kidogo
@salumaboubakar97783 жыл бұрын
@@samirahmakeupstudio7115 wanadai kuwa aza boy katumis lugha chafu wakat yy katumia rejesta
@naturelle10973 жыл бұрын
I luv Headmaster may you go far!!
@avastprocess_tz3 жыл бұрын
Dah nimeskiitika Sana headmaster kutoingia tano Bora jamaa anajua sana
@emmanuelmollely50473 жыл бұрын
Napenda xana kazi zenu mungu awabariki pia mzidi kuwa juu zaidi wote semeni amen
@EmJesho Жыл бұрын
AMINA
@extrarogers77903 жыл бұрын
Hongereni sana kwa mashindano mazuri ,nimefurahi kwa wote Keanu wote ni chama langu
@dorisfabian47763 жыл бұрын
Hawa wote walikua wakaliiii ila Leonardo kadeserve kwakweli
@judithpatrick98623 жыл бұрын
Wote ni washindi lakini lazima apatikane the best kuwazidi wengine
@sarahkipalule27913 жыл бұрын
All are good but Eliud is the best🇹🇿🔥🔥🔥
@AnatolliaDesderius2 ай бұрын
Leonardo alistahili 💙na ataendelea kustahili💙 he is the king of stand up comedy kwa hii generation Z😊💙
@Mimy_keys3 жыл бұрын
LEONARDO 1👑👌 Hongereni Sana Washindi Wote 🤗 Said Said 🤩 Nikahisi Ndo Wa 2 😪🙏
@lawilazaro96413 жыл бұрын
every child is an artist the problem is how to remain an artist once it grows up... saf saana waliokuza vipaji vyao mpka sasa...
@halimasuddy92943 жыл бұрын
Maashaallaah kazi nzuri hongeren wote mlio shiriki cheka tu
@dawoodlewa67752 жыл бұрын
Comedy ya ndugu zetu watanzania mnafanya kazi nzuri lakini mna kibarua. Sisi huku kenya wachekeshaji wamebobea kiasi na mifano yao inachekesha katika hadhira ya kimataifa. Wenu wamelenga hadhira ya watanzania...mfano wachekeshaji wengi sikuona kwa nini watu wanachacheka. Hata hivyo safari ya mbali huanza hatua moja.
@johnsonchonja40323 жыл бұрын
Haya mashindano nimeyapenda coz washindi wote wamecheguliwa na mashabikiiiiii
@buffchinksmziray96813 жыл бұрын
Kwangu mimi headmaster wamemuonea. Alistaili kua ndani ya top 5.. Alistail kua winner kabisa
@alexmunjile54444 ай бұрын
Alishindwa kutoa hata salamu alipofika jukwaani.
@haafidhaboubakary30973 жыл бұрын
Always kwenye mashindano there's someone among of all competitors who will be lucky to win, LEONARDO deserve it
@lovvy8543 жыл бұрын
Surely 👌👌👌
@dorisfabian47763 жыл бұрын
Trueee
@rukiakhamsin92203 жыл бұрын
Wa LLAHI truee
@mwasitiiddy74253 жыл бұрын
Leonado noma amestahil kwakwel
@lizycoltd2863 жыл бұрын
👠🏃
@AsumanAbubakar4 ай бұрын
😂😂kweli uyu ndo no one comedy tanzania nanianabisha kama unakubali Tia like apa
@yojoruta33793 жыл бұрын
Leonardo as usual the GREATEST one
@pat-bog38313 жыл бұрын
Yani aliposemwa Mwembamba Nilijuwa kuwa Ni Leonardo 🔥🔥🔥
@othmantv26543 жыл бұрын
Uyo Zembwela anajikuta Legend kwamba hakuna kinachomchekesha ama sifa tu😕😕😕
@HannahDevidRichad3 жыл бұрын
Anaboa sana muda wote kanuna anajikuta yeye ndo top😏😏
@sukwazaitun2743 жыл бұрын
Anaboa jmniii cjapendaa kabisaa sifa tu
@palestachjoel49513 жыл бұрын
Umeona ee anatoa macho tu na miwani yake inamana hamna hata mmoja aliyemchekesha
@mamushemshami10183 жыл бұрын
Nisifa
@janeciousofficial17303 жыл бұрын
Yn hd mm nmeshangaaa aseee linaboa kinoumaaah
@Shuugan Жыл бұрын
Apana kwa kweli so aki Sawa kabisa yani nilikwa nisha mjwa mshidi wa 5 ni uyo dada aki walo ona uyo dada kapendelewa gonga like apa😔😔😔
@salimyahaya73803 жыл бұрын
Huyu demu mmempa t zawad hajuii chchte anh, mmetoa yule jamaa wa Dom anajua sana
@Elly_Makōbwe3 жыл бұрын
😂😂😂
@jumannemfaume3 жыл бұрын
Huyu alieshindi ni halali kabisa ndo MSHINDI wangu since day one
@kefavictor55143 жыл бұрын
love from Tainan Taiwan
@johnk3n.Kajuna5 ай бұрын
ALIEMUONA TX DULLAH NYUMA YA ZEMBWELA ALIKE...HUMBLE BEGINNING.. MPIGIE MWENZAKO MAKOFI HAD IFIKAPO ZAMU YAKO KUPIGIWA MAKOFI.... HONGERA TX DULLAH..
@fettiemaganza14844 ай бұрын
Anajitahidi kukenua
@wa-mbeyaTv47253 жыл бұрын
All the best madogo zetu ... Good creation good idea good performance....
@MupakaliwaBulakali4 ай бұрын
I like eliud samweli ❤... namupenda Sana huyo mwamba I'm your big fan from DRC
@mcablenty19563 жыл бұрын
Mshindi ndie mshindi, jamaa anakipaji kinomaaa na confidence yake ni nomaaa
@Kamikomaiko3 жыл бұрын
#bebelu #zembwela kala buyu 😂 aiseee mwanzo mwisho kaah 🙌🏽
@mwaminierasto97183 жыл бұрын
Eliudi usichoke kufunga na kuomba maana ukimtanguliza mungu mbele akuna kinacho shindikana kwa Mungu 🙏
@eliekisangani23293 жыл бұрын
Félicitations cheka tuu naza na congo tunawafata 10/10
@mbaryajunior21683 жыл бұрын
I once have been lectured by Mr Gondwe delightful he is something
@enimor21163 жыл бұрын
HEAD MASTER.... KAONEWAAA HE IS GENIUS💥💥💥💥 ........ NIMEPENDAA VYOTEE ILA SOO KUTIKA KWA HEADMASTER HII SIO SAWAAAA....
@willsonvallency82752 жыл бұрын
Nlkua natafta mawazo kama haya
@willsonvallency82752 жыл бұрын
U see what I see
@mwanamisiguyo77253 жыл бұрын
Nawapendaa nyote mlioshrik Cheka tuu bigg u🥰❤️
@mwakiretililian35305 ай бұрын
Me watching this in 2024...after i have seen this guys make it...hongera wasafi media
@irenenanjendo14473 жыл бұрын
Leonard Keep up, through God
@kwanamashukurani762 Жыл бұрын
Cheka tu mmuogopa kuja kigoma mnaweza kuchukua mkoa wote kwasababu wote wanavipaji kigoma hoyeee ndaro unachukua izo era nizakwetu saw ndaro
@linaxavier63363 жыл бұрын
Chief Judge is one of the Kind🙏🏼
@munjy11tutorials3 жыл бұрын
Performance ya Asma kwa kweli aaah wamemtoa headmaster bure maana head master anachekesha Asma finale hakuna alocheka hata mara 1 performance yake ya mwisho. Koi pungufu 1 hilo
@khamisilyova63923 жыл бұрын
Oyaaa POINT ✊🏽
@doricechesco50023 жыл бұрын
Yaan headmaster kila mtuu anaumiaaa na yeye mwenyew alikuwa anajuaa anakuwa top 5 maan Ana jiamin Sana wamemuoneaaaa
@lydiabarasa20983 жыл бұрын
Try to be positive sometimes
@graceakimu84163 жыл бұрын
Bro wanyakyusa tunakukubali Sana congrats umewakilisha vema
LEONARDO SAFI KASTAILI, HONGERA HOMEBOY WA MBEYA. HONGEZA JUHUDI
@AnatolliaDesderius2 ай бұрын
Sio wa Mbeya bn😂
@mundetvchannel03 жыл бұрын
Unaesoma comment yangu najua hatujuani na hatujawahi onana naomba mungu akubariki na akupe maisha marefu
@mnankakibutu43483 жыл бұрын
amina
@saimonmeda3155 Жыл бұрын
Ameni nawe pia ubarikiwe upate siku nyingi za kuishi
@balagamijebalagamije4152 Жыл бұрын
Amina
@onekisstv8412 Жыл бұрын
Amina na kwako pia
@alhajisabigoro240811 ай бұрын
😂❤
@mrthreesix2803 жыл бұрын
That mheshimiwa waziri..is actually a very intelligent person n a great leader indeed
@elizabethmwash51173 жыл бұрын
Sulutan said said hongera umekamua Kuna wa2 umewazd umri na material
@dausoncolins14743 жыл бұрын
Eliud na Leonard 🙌🙌🙌 watengweee
@sadickthedone32633 жыл бұрын
Mmemuonea AZA BOY ivi huyo mdada kafanya ninicha kumshinda AZA BOY au SAIDI SAIDI kafanya nini leo? Kwanza SAIDI SAIDI amerudia material ile ya kutoa posa kwa njia ya barua na ku compare na wauza viatu imeonesha jinzi gani hakuwa vizuri hata kidogo.kwa apo majudge amko sawa kabisa au hao ni watu wenu mliwanga nyie? Maana alichokifanya AZA kila jicho la mtanzania limeshuudia..😿😿😿🤔🤔🤔🤔
@slimmuhabesh24003 жыл бұрын
Nikuambie aza kitu ambacho ameharibu nikudili na kuokotaa pesa na kusahau kuchekesha alitakiwa adili na uchekeshaji kisha akusanye hela zake... Imeonesha tamaa zimemponza
@doreenchacha76923 жыл бұрын
Azaboi kaniuma mno
@haulefelixcalister48173 жыл бұрын
Yule Dada hapana simpndi
@mugapro3 жыл бұрын
Aza boy ndio kaonewa, Aza boy alistahili kiwanja, kavunja mbavu sana though alipenda marupu rupu ya kutuzwa zaidi
@doreenchacha76923 жыл бұрын
Katumia kuokota pesa kuchekesha pia msisahau ilo
@glorykaaya10913 жыл бұрын
Jmn wasafi mko vzr.kwenye tv thu mfanye marekebisho kdg iwe clear maana tunakimbia tv tunakuja youtobe .
@romakoko22923 жыл бұрын
I knew this was his congratulations Leonard 🔥🔥🔥
@janetakyoo46963 жыл бұрын
Jaman show Kali mno nimependa Sana. Lakin asma🙏🙏
@bwiremuyabi99273 жыл бұрын
Ndaro yuko vizuri na nimwanangu ila mm nishabiki wa eliudi yani nafurai baba levo niubwa jamaa angu sana ila mmetenda haki na kama kuna mtu anafananisha na bss ni ngedere lm so sorg
@bwiremuyabi99273 жыл бұрын
Not song I mean sory
@HappynessJose3 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️
@theopisterjovent34832 жыл бұрын
Mungu awabariki nyote mlioandaa mashindano washiriki mko vizuri
@habibazuberi96923 жыл бұрын
Congratulations !!sema mmemkatili boss wa kariakoo mbona
@kakadallax61333 жыл бұрын
Kabisaa
@clintonarnold62913 жыл бұрын
Aza boy ....lugoba boyyy....we ndo mshndi ndugu yang....amin kwamba....tano bola hawajafanya fair
@melaniagasper68203 жыл бұрын
Leonard is ❤❤❤❤❤
@josephangoty28973 жыл бұрын
Mc eliudi your genius
@rickwyse28403 жыл бұрын
Leonardooo nilijua 2 atashindaa make yule kijana ni motoooooo 🔥
@dieudonnebigirimana80833 жыл бұрын
Kiukweli number ziko ivi: No1.leonardo No2.saidi Saidi No3.ndalo No4.heard master No5.asma No6.aza boy No7 eliudiKiukweli number ziko ivi:
@sportsbezi66903 жыл бұрын
Arangment ya ugawaji wa zawadi ila so mbaya ni seson one😥 but leornad he deserved
@saumusulaiman4742 Жыл бұрын
Tutaki eliud ndo mshindi wa kwanza🔥🔥🔥❤🥰
@MaldyMaldwex Жыл бұрын
Uyo demu hajastaili bnh🥺🥺 headmaster alitisha
@rukiakhamsin92203 жыл бұрын
Azah boy ,umeharibu ulivyosahau kuwa uko Kwenye mashindano na ukashughulika na hela za kutuzwa ,hapo umeharibu Azah boy kidogo,lkn wewe ni mchekeshaji Mzuri sana ,uko na materials Nzuri sana
@annethmwasamwene51103 жыл бұрын
I’m happy for Eliud
@sesiliasylvester24093 жыл бұрын
Koi unastaili pongez, ww n baba wa cheka 2♥️♥️
@hyasintndimbo29983 жыл бұрын
AZABOI NA HEADMASTERS, ILIBID WABAKI ILA SAIDI NA HASMA Walaaaaaa hawakuleta vibe
@issapere82833 жыл бұрын
Huyu baba levo akcheka tu anakuchekesha🤣🤣🤣
@lizzyjohn30642 жыл бұрын
😂😂😂😂
@kelvinkalist12382 жыл бұрын
Kevi shiyo
@vickydan28692 жыл бұрын
Yaani
@shadjimmy27663 жыл бұрын
Mc eliud well don man👊🏻👊🏻
@gezaintv87853 жыл бұрын
Hata na sisi huku marecani tuna kubali gisi mulivyo amua vizuri,tena sana mubarikiwe
@anwarykilunga56943 жыл бұрын
Leonard & Eliudi ni moto fire
@JummyBayishemeze7 ай бұрын
Thanks
@swalehekingu3443 жыл бұрын
Aza boy ameupiga mwingi sana dah 😭😭😭😭
@TripleBurgerMore4 ай бұрын
Huu mwamba aza boy, wamsake kweli anakipaji
@josephkigembe-ec4pq7 ай бұрын
Kumbe Baba Revo anamega hapa ndo maana maneno mengi
@Laurentchrisent3 ай бұрын
kumwacha master top 5 mmezingua aisee
@davidnkini98113 жыл бұрын
Aza Boy ameponzwa na pesa alizokuwa anapewa alipaswa afocus kwenye kuchekesha watu pesa aokote mwishoni.
@تاتوجمعه3 жыл бұрын
Kweli hata mm nmeliona hilo yy alianza kuokota pesa mda unaenda😁
@audifacejosephat70713 жыл бұрын
Kweli kabisa
@slimmuhabesh24003 жыл бұрын
Yes.. Kumbe nawe umeliona hilo
@تاتوجمعه3 жыл бұрын
@@slimmuhabesh2400 yeah
@annachales96233 жыл бұрын
Angeshinda ila amechanganya kazi na pesa amekosea sanaaa ndipo alipokosea max aisee hajui kama ameboa watu
@MercyHamis5 ай бұрын
Kutoka Omn nipo makin kuwafatilia Koy na Mondy pamoja na timu yko Mungu awabarik sana jmn kuinua vipaj vya vijana kutoka nymbn Tz 🙏🙏🙏🙏
@hydo80273 жыл бұрын
😂😂 kumbe Kuna utofaut wa uwakaji wa taa ya cm kat ya Tecno na iphone 😭😭