Nabarikiwa Sana na mafundisho yako Mtumishi Mungu akubariki Sana 32:17
@evarangelo9336 Жыл бұрын
Nimepokea uponyaji na kufunguliwa kwa kufatilia mahubiri Mungu akubariki sana
@floramongi1410 Жыл бұрын
Yaani katekela Mungu akubariki sana mchungaji napenda sana kusikiliza injili Yako inaishi
@mpandawiliam53902 жыл бұрын
Mungu akuhifadhi mtumishi Amiel uishi miaka mingi ktk jina la Yesu, tangu nianze kukufatilia, kiroho nimebadilika sana unanifanya nimtumikie Mungu kwa uwezo wangu wote.
@elizabethmwanga2103 Жыл бұрын
Ushuhuda wako umeinua sana kiwango changu Cha Imani Mungu akupe maisha marefu mtumishi ili uzidi kutushuhudia
@HappinessBakuju11 ай бұрын
Nabarikiwa Sana na mafundisho yako Mtumishi Mungu akubariki Sana
@veronicamuzulu29392 жыл бұрын
Kila aina ya mihuri,katika maiaha yangu, jamii yangu,na,kanisa la,Yesu Kristo:vutiliwa mbali kwa jina, la Yesu kristo. God bless you Man of,God More grace.
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Amen Amen glory to God
@simonchigumba21712 жыл бұрын
Huu ushuhuda ni wa nguvu sana. Imani yangu imeongezeka. Mungu Akubariki sana mchungaji.
@millicentnaliaka2 жыл бұрын
Mubarikiwe watumishi wa Mungu kwa kuendeleza kazi ya Mungu iendelee mbele
@didawaso4165 Жыл бұрын
Amena mtumish
@gradyskamwela61632 жыл бұрын
Mungu utufungue kwa jina la YESU na nguvu ya kuyashinda yote ya hila za shetani
@generosakinemo54902 жыл бұрын
Asante Yesu sifa kwa Yesu
@sinyoritamwakyambiki52032 жыл бұрын
mungu akutunze mtumishi nakufuatilia sana na najifunza mambo mengi.
@byaombeebuela-lc2qf Жыл бұрын
nashukuru sana kwa kazi munayo ifanya MUNGU awepamoja nanyi naitaji na mimi ivyo vitabu nita vipata aje
@jescaapolinary48582 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki umenifanya niinue kiwango changu cha Imani mara dufu
@janetkazungu77952 жыл бұрын
Amen mtumishi juzi ulisema tutaota ndoto kwakweli mimi usiku wa kuamkia Leo nimeota babangu mdogo ambaye alikufa kitambo amekufa tena.sasa sijui kama inamanisha nini.mafundisho nilisikiliza jana asubuhi na usiku wakuamkia leo nikaota hivyo.
@marthacharles38722 жыл бұрын
Utaijua mijitu yenye DNA za mbinguni ubarikiwe hakuna Mungu wa mwamposa hakuna Mungu was suguye umenifurahisha Sana,msipowataja manabii wa uongo wengine hawaelewi jaman ,watajeni watajeni okoeni watu ubarikiwe sanaaa
@ويلماويلما2 жыл бұрын
Amen nvizuri hivyo wachungaji kwa kutuoa vitabu ntamani ningekua karibu ningepata lakin nko kenya wapendwa ila tuko pamoja 🙏🙏
@rmaryp62692 жыл бұрын
Amen amen mtumishi wa Mungu.
@sundayherrieth94602 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@christinamwasota17422 жыл бұрын
Bwana yesu akubariki sana mch amieli najifunza mengi ninapoangalia mafundisho Yako
@obedimunguachiza84342 жыл бұрын
Hakika Mungu anao watumishi ambao amewaandaa kwa ajili ya utukufu wa ufalme wake barikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai.
@jackiemaggy24842 жыл бұрын
Ameeeeen MUNGU akibariki kwa mafundisho mtumsihi
@abiudimsemea31722 жыл бұрын
Amina ubalikiwe
@zipporahmibei90072 жыл бұрын
Amina wajungaji wa mungu
@byaombeebuela-lc2qf Жыл бұрын
Mungu awe pamoja nawe mchungaji napenda unduma yenu sana nina kuombeya BWANA akulinde
@phylise340011 күн бұрын
Kwa ukweli mafunzo haya ni ya Africa mzima. Nabarikjwa sana nikiwa Uganda.
@adelesifa22572 жыл бұрын
Mubarikiwe wachungaji wa Bwana.
@Esther-Bri2 жыл бұрын
AMINA AMINA BARIKIWA mtumishi
@jeniphatemu29378 ай бұрын
MAHUBIRI YAKO REV. YANASHUSHA UWEPO NA UPAKO WA KUOMBA NYUMBANI MWANGU. UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU WETU.
@sophiajonas20902 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana Mch Katekela na Joktani
@Muhammad-jy1vxКүн бұрын
Amen 🙏🙏
@JaneDoe-hf3zy2 жыл бұрын
Asante Kwa mafundisho mazuri pastor mungu azindi kukutia nguvu
@erickrotich27402 жыл бұрын
God bless you man of God
@bupeambilikile91712 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana.
@annkim26902 жыл бұрын
Kuna watu hupenda kupinga Sana wakisema niuongo sikuile yanawakuta ndio wanamkumbuka katekela au Gwajima
@ayubu_tv2 жыл бұрын
Maombi ya huyu mch katekela yana nguvu na upako Jana usiku nmeshuhudia kwangu mapepo yakikimbia na nliogopa sana lakini nkashikilia sana alipokiwa akiomba hapa PROMOVER kwa video ya seminar ya pili 🙏🙏🙏🙏 mwisho wa video alipokuwa akiombea waliokuwa wamefungwa na niliongeza sauti ya simu yangu nkayarudia saa moja na nusu! Hakika nliona nguvu za Yesu Kristo na nliogopa sana kwanza anaposema piga piga piga 🙏🙏 Mungu azidi kuwabariki na Kumpa pumzi nyingi katika injili anayoiubiri.
@ntandumghanga72962 жыл бұрын
Amen
@sophiajonas20902 жыл бұрын
Amen Amen
@smariamwambene95242 жыл бұрын
Amen
@angelmkoma36932 жыл бұрын
Maombi ya mchungaji katekela yana nguvu sana mimi nilisikiliza semina kwenye simu yahapo ukonga nilimwena mungu jana nililala usingizi kama mtoto mdogo usinginzi huyu sijaeahi kuopata miaka mingi sana mpaka nilichangaa sana mtumichi mungu akubariki sana
@evermayala5817 Жыл бұрын
Anapiga kweli. . Mimi Sasa hivi Kila ndoto inapata jibu nafuatulia Kila ndoto mbaya naivunja nzuri najibariki. Amina
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Am in Qatar doha please mutumishi help me nipate hizi vitabu
@aminidominic1262 жыл бұрын
Daah! Haya yote ni yangu ni kweli niko hvyo
@EmmelineNibampa9 ай бұрын
Mubalikiwe sana mutusaidie nambaya Mch ngji gatekera
@adelesifa22572 жыл бұрын
Amina Amina
@fatumakwekwe32112 жыл бұрын
Amen
@florafaustine2712 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe ili kanisa lipo ukonga sehem gan nataka kuja leo kama bado anaendelea na semina
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Ukonga Sabasaba Center barabara ya kuelekea Kinyerezi shuka kituo kinaitwa Pondi hapo utaona bango la kanisa la Patmo.Unaweza kuulizia jinsi ya kufika ama upande bodaboda wakulete kanisa la Patmo kwa mchungaji Hance Mbarikiwa.Maelekezo zaidi na mawasiliano tazama video hii kzbin.info/www/bejne/jX7OYnuhopmssJI
@roynamwinuka63912 жыл бұрын
Hallelujah tumebarikiwa kwakweli
@everlynenanjala97472 жыл бұрын
Asande Sana mchungaji ,,mm kutoka kitale kenya, na hiyo bendera yenye ikohapo mathabahuni pembeni si niyakishetani hiyo nembo kabisa
@janethjulius68132 жыл бұрын
Ameen
@marifaadolphine35712 жыл бұрын
Iyo kweli Mungu ni number one kwenye maisha ya mwanadamu.
@dadaz46532 жыл бұрын
Ameeeen
@wilsonkombeyeri4623 Жыл бұрын
Mtumishi wewe sio Amiel, ila ni Paul mtume, kwa kuwa yale unayopitia na kusimulia hayana tofauti kabisa .
@josephatombati63037 ай бұрын
Kuzimu ni wapi?iko duniani?naomba kujua tafadhali
@happinessshija5136 Жыл бұрын
Naomba link ya magrupu ya katekela ya wasap
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Mutumishi waaa uko na vituko ushuhuda wako waaa ni moto
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Please let me know how I can get those Books please mutumishi
@owenomwanawayesu69612 жыл бұрын
Huu ndio ushuhuda was kweli!
@wilsonkombeyeri4623 Жыл бұрын
Jameni pia hizo nakala za vitabu vya mtumishi fanyeni vyote ila zitufikie Kenya pia
@mamertarweyemamu34389 ай бұрын
Utakuja lini mwanzA. Je utafikia wapi
@ZubedaVicent Жыл бұрын
EEE MUNGU NAKUSHURU KWA AJILI YA MTUMISHI WAKO LAMIEL KATEKERA ULIMKUSUDIA KABLA HAJAZALIWA
@kimsamespa84902 жыл бұрын
Ushuhuda mkubwa huo kweli napigo kubwa kwa shetani coz siku hio alipoteza sana
@violetnasimiyu87182 жыл бұрын
Naomba nambari za simu tafadhali
@hancymbarikiwa79752 жыл бұрын
Hizo number zangu Mch hancy ukitaka vitabu
@violetnasimiyu87182 жыл бұрын
Jamani leo mnaingia saa ngapi?
@Muhammad-jy1vxКүн бұрын
Hizi vitabu nisipate aje
@kimsamespa84902 жыл бұрын
Yani wewe mtumishi katekela uko na roho safi pia ingekua mwingine angekasirika kusikia mwingine kaandika kitabu kupitia ushuhuda wake angekasirika halafu hao vibaka walitoka kuzimu
@carolynmutenyo69842 жыл бұрын
Hizi vitabu nitazipataje
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Wasiliana na mchungaji Hance,mwandishi wa hivyo vitabu +255719057805