Assalam Aleykhum Dr. Sule. Kipindi ni kizuri sana ila sauti ndiyo mtihani! Na sio video moja, ni karibia video zote ulizo record in Nairobi.
@Abdulrahmanhassan184 сағат бұрын
Dr sule mwambie anaye kurikodi asikilize video aliyokurikodi kabla hajapost maana sauti zenu zinapotea kwa dakika kadhaa.
@aminahkimwana109Сағат бұрын
duh!!! 😢😢😢😢
@YasminaMkali10 сағат бұрын
Sasa hatujui ni Nyota ipi ndiyo wakali, sauti ilipotea kbs.
@amanathabiti252043 минут бұрын
Tunaomba kipindi kiludiwe tena hakuna sauti
@MuhammadWesonga2 сағат бұрын
Hakuna hoja ya nyota katika uislamu,watanzania wamekugundua sasa umerukia kenya! Usituhadae,umekuwa mwongo wa kimataifa,kenya utapata hela na moto pia utapata,tuelimishe kwa Qur'an na sunna,siyo haya mambo ya kikristo.
@muksiniabdul71555 сағат бұрын
Nataman kuamwanafunzi wako unayosemaga niyaukwel watu wanaangamia kwakukosa maalifa