Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh, Mashaallah, sheikh wetu, Allah akulipeni pepo ya firdaus, na akuhifadhi, na akuwekeye wepesi katika kazi zako na kundi lako, mimi ni yule mja wa Allah aliye kutana na wewe marekani ( minisota) Aliye kusomeya Quran! Jina naitwa: Cishahayo Ali
@aminahkimwana109 Жыл бұрын
Mansha ALLAH tuna kupenda kwa ajili ya ALLAH Mwenyezi_Mungu akuhifadhi na akuhifadhi na akuweke kwa ajili ya wengi ❤❤❤
@kaltumagodana4173 Жыл бұрын
Naitwa kaltuma kutoka moyale,naota mwanamke ananikujia nikiogopa na kila wakati nikimsomea ayatul kursi anaanguka anazirai kwa ndoto huyu ni mjini ama?
@bintsalimalbimany287 Жыл бұрын
Mashallah sikupata live lkn Naomba kipind kiendelee pls Shukran sheikh Nurdiin Allah akupe Afya njema na Umr mref wenye kher na wewe😍😍😍😍🤲
@MwajumaMbotoni Жыл бұрын
Jazakallahkheili shek Mimi nonatatizo Hilo lamajini naninahangaika bado cjaaliwakupona naomba msaada wako shekh kwaajili ya Allah shukrani Allah Akupe umri mrefu wa uchamungu
@aminasaid6555 Жыл бұрын
Jitahid ujisomee ruqya mwenyewe na ubadili mwenendo wa Maisha yako
@shamilamchimiler2514 Жыл бұрын
Ahsanteeeee sheikh kishk nimejifunza MENGI tu
@AminaJuma-r4v Жыл бұрын
Jazakallah khaira shehk wetu ALLAH MTUKUFU akujalie mwisho mwema Amiyn
Am a Christian watching from Nairobi and you are on point
@yusroman1626 Жыл бұрын
Asalam alaykm warahma tullah wabarakatuh alihamdulilah shekhe Allah akulipeni Kila la kher akupe umuli mrefu wenye mafanikio kesho akhera
@MoMo-el4rs Жыл бұрын
Sheikh. Kishk ALLAH azidi kukupa umri mrefu zaid na zaidi utupe elimu zaid inshaa llah! Jazaqkh khel Sheikh tufundishe. Jinsi ya kuyatoa haya majini...maan wengi wao sie. Wasichana tunakumbana na changamoto izo sheikh
@nadiahassan7993 Жыл бұрын
Madaa nzuri sana
@Safina-y9y Жыл бұрын
Allah Akupe umri mref na mwisho mwema inshaAllah sheikh
@rachelndaki5642 Жыл бұрын
Allahmdulilah leo nimejifunza vitu vingi sana hasa kwenye kumwang vitu hasira kupiliz na hof kuzd kias Mashahlla Allah akuzdishie nuru na Ermu juu ya waja wa mola 🤲🤲
@annettemalechela7543 Жыл бұрын
Ndio maana sisi wakristo tunajifunika kwa dmu ya Yesu😊
@smadon563811 ай бұрын
Haisaidi maana waingia chooni na kujui Dua,ipo siku watakuvaa 😂
@kanyamagaraabdallah8300 Жыл бұрын
Asc , shukrani ya sheikh!
@HalimaHassan-u5f8 ай бұрын
Subhannallah mm hpo kwenye swalah fikra nying n kupiga miayo
@janeburu6538 Жыл бұрын
Manhallah asante sana sheikh kishiki
@aminamutheu324 Жыл бұрын
Mashallah, sheikh mimi ni m christo lakini napenda kusikiza vipidi vya kii islam, mimi nime kuwa na shida sana kimwili kwa mda karibu miaka 6 sasa nasikiaga vitu vikinitembea mwilini na maumivu mingi, na mambo yangu yanakuwa aiendi vizuri. JE unaweza kunizaidia tafanthali
@alimwadima25411 ай бұрын
MashaAllah ×3 ...Sheikh Kishki Jazzakullahu kheir Ya' Sheikh Nikiwa Qatar...Ikibidi muendelezesho In sha Allah Taallah 🤲
@abubakarabdulrahman286 Жыл бұрын
ALLAH AKUBARIKI SAANA SHEIKH NURDIN KISHKI TUMEPATA FAWAAID ALHAMDULILLAH
@rehemamagomba596310 ай бұрын
Shukurani sana maana Atamimi nikiwa nasali napingamiyanyo 😢
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv Жыл бұрын
Mashaallah mwenyezi mungu akuweke uzidi kututolea mawaidha in shaallah
@MaryumiYussuf Жыл бұрын
Maashallah mawaidha mema mungu akuhifadhi na akupenguvu za kuhudumia uislamu.
@mwanaramadhan7059 Жыл бұрын
MashaaAllah shukran jazakAllah ukheri sheikh
@fatumaabdallah-ui7pj Жыл бұрын
Shukran sana kwa darsa zuri
@ladyjmoha11 ай бұрын
Assalam Alaykum warhamatullah wa barakatuh...Sheikh mafunzo Yako yameniguza 😭😭😭 Niombe kwa Allah anifanyie uwepesi katika Dini yangu ya kislam 🙏🙏🙏 Allah akubariki humu duniani na Akhera
@NkurunzizaAbdoulhamid-ef3ls Жыл бұрын
Allah akuongezeyekilalaheli Jazaqallah khaillla Mada indereye navitabudutumiyeburundi
@zainabmaulidi9846 Жыл бұрын
MashaAllah Darsa ninzuri sn JAZZAKAALLAH KHAYRA🙏🧡🌹
@kibambiibrahim5714 Жыл бұрын
Shekh nimekuekewa Tupe namba ya whasapp
@nurusaid4698 Жыл бұрын
Maasha Allah Natamani Nami Pia Liendelee Shekh
@salminjaku9955 Жыл бұрын
MaashaAllah nakupenda kwa ajili ya ALLAH ya sheikh
@maryamhassan1154 Жыл бұрын
Mashaallah ❤️ elimu nzuri yenye manufaa Jazaka wallahu lkheir sheikh
@SarahMohamed-ex6iw Жыл бұрын
Daaaah... kweli hzo ndoto zilinisumbua mm kama serias kwa maisha yangu..
@Aisha990-pt6vm Жыл бұрын
mashallah asante shekhe wetu akika nimejifunza vitu vingi sana mim nina jini na natamani sana Atoke jee ntakupataje uweze kunitoa mana nashindwa ata kufanya swala sabab yake
@HidayaOrry Жыл бұрын
Mashaallah sheikh Allah akuhifadhi sana imetufunza mengi
@NdayizeyeAdija Жыл бұрын
Mashaallah sheikh wetu allah akuhifadhi tumeilimika naam
@BakariMwayaga-q2p11 ай бұрын
Asalam aleikum mashallah
@mwajumamahita6619 Жыл бұрын
Barak Allahu feekum
@nurusaeed4554 Жыл бұрын
Mashallah tabarakallah allah akuhifadhi nakupenda sana kwa ajili ya allah shekhe
@HaleluyaKalalu Жыл бұрын
Nimejifunza kitu hapa
@NasraJuma-o7z Жыл бұрын
Allah akujaze nying rehem shekh
@AishaMtapa Жыл бұрын
Mashallah sh. Kishki. Allah akuhifadhi uzidi kutupatia il'mu zaidi.
@SwahiliSister-o5v10 ай бұрын
Mashaa Allah Tabarak wataala
@samiramwindadi Жыл бұрын
Jazakallah khaira
@NasraMusa-z6z Жыл бұрын
MashaAllah,shukran jazakAllah kheir
@zuhurasaid1097 Жыл бұрын
Aaw nakutakiya kila la heri apendayo Allah Niko na shida hizo ulotaja na Niko Kenya ukija huku nikuone tafadhal ni shida ya miaka mingi takriban miaka kumi ss naomba msaada wako nikufikiye Wabillahi Taufik gd
@jassminemubarak2828 Жыл бұрын
mashaaallah sheikh kishk Allha akujaliye kila hitaji unalo lihitaji Nimejifunza kitu kikubwa leo Alhamdulllihah nakupnda sanaaa kwajili ya Allha ❤❤❤❤
@mauajumasaid9351 Жыл бұрын
asalam aleykum jazaka Allha kheri ustadh
@salmaalkyumi6030 Жыл бұрын
Jazaka llahul kheir Sheikh kishki 💐💐💐
@yasirsaid8464 Жыл бұрын
MAA SHAA ALLAH
@cosmasjoshua1973 Жыл бұрын
Asalamu alaykum warahmatullah wabarakatuh.Sheikh Kishk hii mada tamu sana tena ifundishe kwa upana zaidi mana imani zetu zinapotea kutokana na madhila ya maradhi ya uchawi wa kijini.mtaani Matabibu wengi wa ruqya wanatupiga pesa ndefu sana na bado huponi.Fundisha na Ruqya kwa upana zaidi ili tuepuke shirki mana ukienda maostadh wengi wanakuuliza majina ya mama na kuendelea.Allah akupe kheri kubwa duniani na akhera.
@aminasaid6555 Жыл бұрын
Anza kuzingatia ruqya ya kisheria Ina sifa zipi
@janeburu6538 Жыл бұрын
Asalam alaykum nashukulu sana sheikh wetu Allah. Akulinde
@AsmaAsooma-jz3eo10 ай бұрын
Haya m kweli shekh yamenitokea.sana mpaka sasa bado
@HalimaMousa-xu3qt Жыл бұрын
Asalama alaykum warahmatullh wabarakatu asante sana sheikh nurdeen kishk kwa mawaydha mungu akujaaliye maisha mema na akuepushe na husida pamoja na familiya yako na kutakiya Kilala heri kwenye maisha yako 🙏🙏🙏
@rehemamagomba596310 ай бұрын
Mashaallah shukurani sana 🤝
@uiavajiwgav5441 Жыл бұрын
Mashallah mungu amuhifadhi uzidi kutuilimisha
@rizikimwaguo8614 Жыл бұрын
Jazakahllahu kheri
@hakizimanaomar8055 Жыл бұрын
Nampenda shekh wang kishik
@kingmwalimanga70846 ай бұрын
Great teaching
@aisharamadan4803 Жыл бұрын
Shukurani shekshe Allah akulipe kirakheli
@sadasaid7212 Жыл бұрын
Maa shaa Allahu!! Shukran sana shekh wetu!! Allah akubariki na akulipe Kila la kher, Ila me Kuna ndoto ilikua ikinisib Sana!! Naota mambo ha maiti maiti Sana,eidha tunaosha au anaenda kuzikwa, au namna yoyote Ile,Sasa inanipelekea nakua na khofu Sana!! Naogopa mnoo!! Hata kushiriki masuala mbalimbali ya kustir ndugu zetu waliotangulia, he nifanyeje? Halafu pia nilikua nimekaa nalo mimi Kama Mimi suala hili, Ila nilipomwambia mume wangu kuwa napatwa na ndoto hizi, alhamdulillah haijajirudia tena!
@joharifarahani2739 Жыл бұрын
Ata mm nilikuwa na ota hivyo hivyo ....kila siku ...naota maiti au watu walio kufa au naosha...lkn mm nilitibiwa Sasa sipati tena hizo ndoto
@aminasaid6555 Жыл бұрын
Ukiwa unaota ndoto mbaya usisimulie Bali Muombe Allah akuepushe na Shari ya ndoto hiyo na pia ukiota waliokufa Sana unahitajia uwafanyie Dua
@alisaleh7040 Жыл бұрын
Itakuwa wang wamekuon mkoshaj mzur wanakuchkua kufany kaz zao ao Allah atunusur natania
@MaryamAhmed-qt5ey11 ай бұрын
@@joharifarahani2739ulifanyaje😢 Na mm nateseka sanna
@alimarsel2566 Жыл бұрын
Assalam aleykum warahma thullah wabarakatu shekh nurudin mimi nina binti yangu ana jini alipandisha akasema alimpenda huyo jini asema hawezi kutoka. Binti yangu hawezi. Maudhi akisirika anapandisha vibaya mno anaumia lkn ukimwita shekh kumsomea anamtuliza tu mashekh wengi wanataka kiasi kikubwa cha pesa nashindwa kuzimudu hizo pesa binti yangu waallah anamtihani. mzito
@aishadakio7237 Жыл бұрын
Mm leo shekh umenifungua masikio kuhusu kumwaga uchafu Alhamdulillah Allah akulipe nilikuwa sijui
@NaimaSalim-hv6bd Жыл бұрын
Nikuulize kwani kutokwa na ucha
@NaimaSalim-hv6bd Жыл бұрын
Kwani kutokwa nauchafu sinikawIda ama nivip hebunieleze mana mmi najuwa Kuna uchafu wakawaida na Kuna wakilala namumeo
@aishadakio7237 Жыл бұрын
@@NaimaSalim-hv6bd mm nimekusudia kumwaga uchafu jaani sio kutokwa mtu uchafu
Neema na maarifa zikuongoze sheikh .!!....Kenya....watamu.
@abubakarabdulrahman286 Жыл бұрын
Mada iyendeleee sheikh kishki
@beautyandfashiontipsforbot4524 Жыл бұрын
Asalamu alikumu warHmatulahhi wabarakatuh shekhee kihemba mada iendeleye
@Dr.zaidi4 Жыл бұрын
Interviewer mtaratibu. Nampa saluti
@Mulki-j1c Жыл бұрын
Masham allah❤❤❤🎉🎉
@jacquelinekavita7289 Жыл бұрын
MashaAllah tabaraka Allah
@hakizimanaahmad Жыл бұрын
asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh tunaona ili somo liendeleley
@RamadanPaul Жыл бұрын
Maada ienderee
@DennisKinoti-r5i Жыл бұрын
Wonderful 🤲
@yvonewere4012 Жыл бұрын
Asante sana kwa mafunzo yako mwenyezi Mungu asidi kubariki,, ila naomba kuuliza swali, mimi naitwa Yvonne kutoka Kenye nina shemeji yangu ambayo anaanguka kifafa lakini hakuzaliwa na huo ugonjwa, Je hiyo pia inaweza kuwa jini mahaba?? Na je anaweza kupona maana amekaa na huo ugonjwa kwa miaka kumi na mbili sasa, tafadhali naomba ushauri wako 🙏🙏🙏
@fatumahassan63611 ай бұрын
Muombe mungu
@moshidongo11 ай бұрын
HII MADA IENDELEE
@Officialconi20 Жыл бұрын
💚🤲
@clementgabriel1708 Жыл бұрын
Shekh uko vizuri ila mimi ni mkristo naomba kufahamu vpi elimu hyo ya majini kwa upande wetu inawezekana