Bwana yesu mimi nafamiliya yangu tunasema asante kwa kufunguliwa tunakurudishia sifa na utukufu, amini
@KoklakJdjw7 ай бұрын
Aminà Amina 🙏🙏
@quorauniq83327 ай бұрын
Nina kila sababu ya kipekee kumshukuru mungu kwa kuleta uponyaji wa neno lake na kunitenga na jini mahaba utukufu kwa bwana emen
@ReineDorDiamant9 ай бұрын
Nina imani kama YESU CHRISTO atanifunguwa kutoka kwa jini mahaba leo ni sikuyangu ya kufunguriwa 🙏
@busimemariefanuel32933 ай бұрын
Nashukuru MUNGU Kwa kutufunguwa (familiaya yangu) na jini mahaba,Amen
@suzanne95174 ай бұрын
Mungu naomba unifunguwe mimi na familia yangu kwa jina la Yesu kristo
@FaryNdobesa2 ай бұрын
Thank you for your support 🙏 🙌 God bless 🙌 🎉❤ pr ay forme Bwana asifiwe🎉
@lilyNakamura49938 ай бұрын
Hallelujah Hallelujah Hallelujah Amen ✝️🇹🇿🇯🇵🙏🙏🙏🙏
@suzanne95174 ай бұрын
Mungu naomba ufunguwe ndoa yangu ktk jina la Yesu kristo
@QueenterZawadi6 ай бұрын
Nshkuru mungu ameni saidiye nme jfngua slma
@suzanne95174 ай бұрын
Mungu naomba unipite ktk mafundisho yako Baba
@NeemaAlex-xn2kq6 ай бұрын
MUNGU unipite najiungamanisha na ibadahi ya vukayorodani uniguse
@suzanne95174 ай бұрын
Bwana naomba usinipite Baba 🙏🙏🙏
@gracesenzota6555Ай бұрын
Bwana Yesu anatuwazia mawazo ya amani kutupa Neema hii
@roseofficials71899 ай бұрын
Kupitia ii ibada baba wa najeshi Naomba unifungue na useme na moyo wangu 🙌🏾🙌🏾
@eliaikangui65439 ай бұрын
Maduka yetu na nyumba zetu ZOTE YESU amerudisha mara dufu amen
@MukamaJean9 ай бұрын
Naomba Mungu anifunguwe magonzwa ya prostate na Hépatite B piya presure na mishipa ya paja
@EugeniaAdrienne9 ай бұрын
Bwana Yesu mimi na familia yangu tunasema asante kwa kutufungua pokea sifa na utukufu❤
@suzanne95174 ай бұрын
Niguse Mungu wangu naomba usinipite Baba yangu
@MoniqueKwizera8 ай бұрын
Amen nasema asante Mungu kwakutufunguwa mimi na familiya yangu kututenganisha na roho zama jinimahaba
@NeemaTz-h3d9 ай бұрын
Ahsante kwakuniondolea roho zilizonitesa Kwa mda mulefu ahsante mung Wang sna Cha kukulipa zaid ya shukulan ❤
@MichaelMwalingo7 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba mchungaji
@JackinePaskal9 ай бұрын
Niguse bwana usinipite mimi mja wako nifunguliwe na mimi kama wanavyofunguliwa wengine Amina
@SalomeMkola4 ай бұрын
Naomba nifuguriwe amina
@LydiaNasimiyu-h1n6 ай бұрын
Nina Imani leo ni siku Ya kufunguliwa Kwaku Kwa jina la Yesu Kristo wanasareti
@sifaalimasi22062 ай бұрын
Mm na family yangu tumesema asante 🎉yesu
@ENOCKRK-xg8rx9 ай бұрын
asante MUNGU Najiunganisha na madhahu hii takatifu, nikiomba familia yetu ikombolewe na roho zote za shetani 🙏🙏🙏
@MediatriceRuzuba9 ай бұрын
Mtumishi wa mungu bishop elibariki sumbe ubarikiwe sana n'a mwenyezi mungu ape sifa kwani iyi Ibada na mafungo ya Siku tatu imenifunguwa kabisa mungu apewe sifa Amen Amen Amen Amen
@suzanne95174 ай бұрын
Asante bwana kwa mwema wako
@chrisskissezzy48989 ай бұрын
Najiunga namazhabau hii kwajina la Yesu 👏👏👏 Bwana yesu unapo wafunguwa wengine unifungulie nami uzao wangu kwajina la yesu christ Amen 🙏🙏🙏
@agnestunu55273 ай бұрын
eeeh Mungu unikomboe leo na hili jini mahaba kwa jina LA YESU
@MichaelMwalingo7 ай бұрын
Na Mimi naomba mungu anifungue roho za jini mahaba na kunifungulia njia zangu za mafanikio ya kiroho na kimwili na kunibariki ktk kazi zangu za mikono
@Mwene_Jery9 ай бұрын
Amena,na mimi najiunganisha katika ibada iyi ya kutengwa na roho mbaya.wanapofunguliwa Hao na mimi nigunswe.
@fausterjoachim42004 ай бұрын
Wewe Mungu wangu unilinde
@MuyamaBetty-g3n8 ай бұрын
Amen mungu unibikania
@eliaikangui65439 ай бұрын
Amen malaika wa BWANA wetu YESU KRISTO ameondoa aibu zetu MIMI na familia yangu
@MatumainiZawadi9 ай бұрын
Najiuganish namazabau yii mungu nifunguliymilaku yambingu ebwana kwa Magojwaninau ndaniyyumbayii 🙏🙏🙏🙏🙏🇨🇩
@janethmwambanga-tn7hf9 ай бұрын
Tunafuatiria tukiwa sumbawanga tunaomba Mungu asitupite Mimi na mke wangu na watoto wangu
@eliaikangui65439 ай бұрын
Amen nimetengwa na mauti na mabaya kwa jina la Yesu Kristo Aliye Hai Amen
@monicamrisho7677 ай бұрын
Nafuatilia semina Sana
@mercychelangat15899 ай бұрын
Amen mtumishi Wa mungu
@MchomvuinkMchomvu8 ай бұрын
Nakurudishia sifa na utukufu ww bwana wa majesh yesu kristo amen
@MichaelMwalingo7 ай бұрын
Na Mimi naomba watoto wangu wafunguliwe na mungu vifungo vya Kila namna na mungu awape akili nzuri ufaham mzuri na uelewa mzuri amina
@monicamrisho7679 ай бұрын
Nafuatilia Mungu uniangalie. Nami nifunguliwe
@joycekaje87559 ай бұрын
Hallelujah Hallelujah 😊
@nackymrutu18699 ай бұрын
Kwa Imani nami jini mahaba na nyedidimiza uchumi wañgu nimévukayoté nakwenda viwango bingine kwa jna la yesu
@christophehakizimana51039 ай бұрын
Amen tuko pamoya ap burundi
@adeladamasi43919 ай бұрын
Amen usinipite mokori niguse nami
@walangaselemani11078 ай бұрын
Njini maaba ibingwe katika njina la yesu KRISTO na atubariki sisi wote tunayo fata mahubiri hii.
@ApolinaStella9 ай бұрын
Amen baba tumeona mko no wa mungu
@carineidi31249 ай бұрын
Amen Amen je recois au nom puissant de Jésus, . Localise moi Seigneur Jésus christ mon fayer stabilisé mon fayer,, changer mon mari Seigneur towa roha ya infidélité daniyake, funguwa milango yabaraka Yesu
@carineidi31249 ай бұрын
Amne kila yoyote aliye sema maneno mabaya ju ya voyage wetu Mungu akupinge upofu kua jina la Yesu kristo miracle Seigneur localise mon dossier de voyage
@AreggAregg-u2h9 ай бұрын
Eee mungu ninakushukur kwauhai naafya sasa naomba usinipite kwahii ibada najionganisha pamoja nafamilia yangu
@joycekaje87559 ай бұрын
Amen Amen baba Bishop
@CalisterMushi9 ай бұрын
Najiungamanisha na ibada hii kwa jina la Yesu Kristo
@janvierkito39959 ай бұрын
Asante yesu kwaku ni fungwa Mimi n'a mume wangu
@mwimurengukana11199 ай бұрын
Amen Amen 🎉
@AreggAregg-u2h9 ай бұрын
Nawafwatilia nikiwa saudia arabia
@LidyaMichael-jd7hl9 ай бұрын
Najiunganisha kwa sadaka ya ujenzi
@carolinetoto87069 ай бұрын
Ameeen🎉🎉🎉🎉🎉
@AreggAregg-u2h9 ай бұрын
Amin amin amin amin 🙏 😊
@RebekaFuraha9 ай бұрын
Ameee👏👏
@flomenacherotich80149 ай бұрын
Amen amen leo ni siku yangu 🙏🙏
@neysteve54029 ай бұрын
Aminaaaaa mtumishi wa mungu
@GladysZeituni8 ай бұрын
Ni mbele zako BWANA YESU pamoja na nyumba yangu naomba MUNGU uliye hai usinipite unapozuru wengine YESU naomba usinipite
@JaneMakandilo9 ай бұрын
Najiungamanisha na maombi haya ktkmjina la YESU
@roseofficials71899 ай бұрын
Kupitia ibada ii baba naomba useme na ndoa yangu
@janvierkito39959 ай бұрын
N'a Mimi Niko hapa bwana yesu tuna aja Yako baba mungu
@AnastaziaLeckisn9 ай бұрын
Amina
@judithabuko60069 ай бұрын
Ahsante Yesu ahsante Mungu
@andjelaabonga71377 ай бұрын
Jina labwana limidiwe
@monicamrisho7678 ай бұрын
Nafuatilia sana
@monicamrisho7678 ай бұрын
YESU ASIFIWE SANA, NAOMBA MUNGU ACHILIA MAONO NA MAFUNUO JUU YANGU MUNGU WANGU
@DativaMbowe5 ай бұрын
Ee yesu naomba ukanifingue katika vifungo vyoote vya starehe na anasa na jini mahaba Amina
@millicentrabera9 ай бұрын
Pia tukopamoja kutoka lraq napokea uponyaji Kwa jina LA yesu
@EugeniaAdrienne9 ай бұрын
Asante yess
@NdayambajeGilbert-m9r9 ай бұрын
Asante yesu
@carolinetoto87069 ай бұрын
Ameeen🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@Wamoshie99 ай бұрын
Nikiwa mmoja wao najiunganisha na ibada in Jesus name 🙏
@STAR-wo2vf4 ай бұрын
🙏🙏🙏
@monicamrisho7677 ай бұрын
YESU NISAIDIE LEO NIKUONE KWA MAFUNDISHO HAYA YA AJABU
@carolinetoto87069 ай бұрын
Ameeeen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@VenelandaKabura-bc8dk9 ай бұрын
Mungu naomba unifungue na magonjwa yote yanayonisumbua kwa Sasa naomba uponyaji kupitia maombi ya Bishop Elibariki Sumbe.
@MinilaPia9 ай бұрын
Ahsante Yesu.
@judithabuko60069 ай бұрын
Ameeeeen
@JackinePaskal9 ай бұрын
Najiunganisha na kufinguliwa na jini mahaba kutoka kwenye mazabau ya vuka yordani na fuatilia tukota nchini omani merry paskali mungu usinitite niguse ee bwana wangu nifunguwe na utawala wa kichawi Amina
@JosephineMunga-t6p9 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏
@ArmackNiyumuremyi9 ай бұрын
Karib baba
@HappyNdelwa-ut1cp9 ай бұрын
Napokea uponyaji nasasa na sasaivi imekua
@AreggAregg-u2h9 ай бұрын
Hosea 5:4:
@christophehakizimana51039 ай бұрын
amen
@AreggAregg-u2h9 ай бұрын
Asali za jini mahaba
@sebastianmuyoboke8519 ай бұрын
Tuko pamoja kiroho mukono wa Bwana iwe pamoja nasi.
@LidyaMichael-jd7hl9 ай бұрын
Baba niombee tu hata km mimi siruhusiwi kuja Vuka lkn Roho wa Mungu ananisukuma nije.NISAIDIE MTU WA MUNGU UNISAMEHE UNIOKOE nisipatwe na MABAYA.
@SalomeMkola4 ай бұрын
Nishike mkono bwana
@AreggAregg-u2h9 ай бұрын
Mwanzo 6:1:4
@AreggAregg-u2h9 ай бұрын
Esabu 25:1
@YunisiWistoniАй бұрын
Naomba uniombee niko dar namgojwa toka 7haongei alipta ajali
@SeforaVictorine-qs4zt9 ай бұрын
Baba usinipiti unikombowe katikamikono yaashawi nakilamasemyote walitamukajuyangu ishindwe kwAjinalayesu
@jeannenizigiyimana9 ай бұрын
Amima
@JulianaJimmy9 ай бұрын
BWANA USINIPITE NAMIMI KUTOKA KWENYE VIFUNGO
@AdolpheZakaria9 ай бұрын
usinipite bwana wa majeshi nakimbilia usalama machoni Pako bwana
@JulianaJimmy9 ай бұрын
EE BWANAYESU NAOMBA NAMIMI NA WATOTO WANGU NIFUNGUE NAJIUNGAMANISHA NAHI IBADA NAITWA JULIANA WATUNDUMA MOMBA