Nikiwa Burundi mafundisho hayo nayafuata na kuyapenda Askofu Ngonyani Mungu azidi kumuongezea hekima.
@emmanuelkinambi25066 ай бұрын
Historia ya kanisa ni muhimu saana hilo somo Mwalimu alichimbue saana masna hapo ndo kuna umuhimu maana walio wengi hatuijui hasa yaani kuanzia mwaka wa 100 hadi sasa hivi hatujui kanisa lilivokuwa likiendelea na ni mambo gani yaliyo lipata