Wa pili apa like zangu angush apo kam na ww wamukubal madamu wolper duuuh anakaribia kujifungua lazi ya kurea mtt nataka
@priscamedadi11083 жыл бұрын
Hongera Dada siku zote mwenye juhudi. Ya kutfta. Mungu hupa maradufuuu. Kujituma ndio kupata wacha waibee nakudhurum
@hawaafrica8035 жыл бұрын
Yah umebadilika sana upo vizur nimeyapenda maneno yako😘😘
@natashaally1925 жыл бұрын
Love wolper..very matured mashallah
@hellenmsophe51805 жыл бұрын
Kati ya mastaa wa kike kwenye ulimwengu wa Sanaa na maisha yanayo kuhusu hakika wewe ni staa unaye jielewa na kujitambua na unajua nn ufanye lenye mantiki katika jamii inayo kuzunguka hakika wewe ndio unastahili kuwa malikia wanguvu ✌️wolper
@jenestermerchades91113 жыл бұрын
Nimependa hapo kwenye kumtengeneza wa kwake... Bigup Wolper
@ladymashaallahilikeuaadvis9975 жыл бұрын
Masha Allah, Allah akuzidishie umekuwa dadangu kipenzi jackline wolper
@sadaaboss195 жыл бұрын
Love u somuch wolpa
@jaquelinemuriuki42285 жыл бұрын
Aki napenda wolper Sana ucworry switie mungu yuko nawe,, wish all the best gal
@beatricemapembe89415 жыл бұрын
Hiyo Nguo ungempa tanasha avae kwenye birthday yake kuliko ule uchafu aliovaa!! Hongera mama umependeza sana.
@wahidawahida66755 жыл бұрын
Kweli kabisa tanasha alikuwa kama bausa kiukweli hajui kuvaa
@nasmamaulid31945 жыл бұрын
Nimecha Leo, kweli kabisa tanasha akupendeza kabisa 😁😁😁😁😁
@abassimishabo53495 жыл бұрын
😂😂😂😂 wala huja kosea kweli
@halimatanzani85875 жыл бұрын
Kweli kabisa
@ruqiaisaacmussa95595 жыл бұрын
Kbsa jaman
@susanrodhes94025 жыл бұрын
Ilke Worlper u are grown up kabisaa Ilike you privacy my DEA Huna utoto kichwani mwako
@judithkonga68985 жыл бұрын
Yupo vizuri
@rashidawanga5 жыл бұрын
Nakupenda mno dada umebadilka mno dada angu nakupenda mungu akubaliki na kukulinda kwa kila jambo
@aviwaomar4393 жыл бұрын
Kapendeza mama kijachooo 🌺🌺🌺👌👌👌🥰
@halimafuketi83695 жыл бұрын
Nnakupenda mpaka basii,,,yani ningekua mume ningekutafuta ata kwa ndumba n nikuoe,,big up
From 254 nampenda wolper more than any other lady in tz
@binurusm88865 жыл бұрын
Ndugu zangu, tuwe wastaarabu Matusi ya nini humu jamani, huyu Wolper kama kakukosea, au kakosea hapa sio mahala pake, Pia Lugha za hovyo sio utamaduni wetu, tujitahidi kua waungwana.
@azzaalmaamry765 жыл бұрын
MaashaaAllah mshono mzuri umependeza dada
@fatmarashim63535 жыл бұрын
Hongera wolper mungu akujalie unalotaka
@freenewztv91435 жыл бұрын
Aiseee wolper now your matured enouph nimekupenda bureeeeeeeeeeeeeee
@ndzmah47ali65 жыл бұрын
MashaAllah mungu atakupa wepesi utajifugua salama..mwaaaaah
@florencenjoroge28445 жыл бұрын
Soo matured hope u won't change
@josephinemakungu84475 жыл бұрын
kabisa sweet wangu watu uchange penda wewe sana 😍+254
@tabithanjeri4935 жыл бұрын
I like the way she is composed
@vanessaaisha7055 жыл бұрын
Insha allah mom mungu akurahisishiye Amiin 👏👏
@ameenkuna59785 жыл бұрын
Nakupenda sana daa mmwwah
@fatumarasheed96673 жыл бұрын
Nakupenda sana my kipenz
@faridamwashanda19215 жыл бұрын
Mtoto Bomba kabisa uwezi kumkanyaga hata robo 👌👌👌
@rukiasalim25125 жыл бұрын
Waoooh nimependa.hu msemo wako big dada Mimi nateneza yangu wanaiba wao Mimi nisiyo mwizi wa cha mtu😃
@husnamtuveta80565 жыл бұрын
Ambae nae hajampenda huyu dad anajifanya anaongea ngeli nyau huyu gonga like hapa twend sawa
@irenesese69685 жыл бұрын
Asante jack we we sio mnafiki asikuulize umbea wa kipumbavu
@rehemaaithumani30765 жыл бұрын
Inshaallah Allah ailinde mimba yako ujifungue salama🙏
@achouraachoura57633 жыл бұрын
Allahumma amiin yarabby🤲
@asteriaheliza10935 жыл бұрын
Wolper wangu soo clever.nakupenda bure mdada
@saunakatauyanawausufanyeni95045 жыл бұрын
Asteriah Eliza katika nguo zote ulishona za kuvaa mwenyewe hii ndo nguo umependeza sana umetisha sana
@amongodfrey72663 жыл бұрын
Dada kabarika hongera sana
@marygaspar64295 жыл бұрын
Haaya sasa, Wolper ana mimba. Mtafute tena cha kumhoji
@storytimebymimah25645 жыл бұрын
I love you jacky wolper harmonize atajuta
@sheryphamwenevalley61245 жыл бұрын
Mashallah kanoga htr💞💞
@wivinekabengwa91545 жыл бұрын
💗💗💗💗💗💗nakupendaga sana dada
@thabitnasibu14365 жыл бұрын
Jaman wolper mzuri na snajielewa
@mwanahalimamwachili96795 жыл бұрын
True kabsaaaa Maongezi Yako Wolper,Barikiwa.
@sheilachisika81435 жыл бұрын
Wow wow that is my girl wolper
@luckyvenance45765 жыл бұрын
Mtangazaji umekaa mbali unanyoosha mkono sana au unaogopa utamchafua wolper😂😂
@fetyzakry66735 жыл бұрын
😀😀😀
@swabrinaboss79595 жыл бұрын
😂😂😂😂
@salmalita64835 жыл бұрын
Wolper ni mrefu mtangazaji mfupi 🙌😂😂😂😂
@beatriceannamaria81065 жыл бұрын
Lucky Venance ha ha ha teh
@dottnatt71105 жыл бұрын
Nimecheka wallah watu mnachunguza kaah😀😀ety atamchafua mekaup
@mwajomaessa75133 жыл бұрын
Nakupendag san dada
@fantamohamedi85643 жыл бұрын
Hiyo nguo nzuri lkn uko sawa hujavaa nguo
@zakiandauka98335 жыл бұрын
Penda sana Dada wolper ni mzur unahekima so beut
@sadanassor79665 жыл бұрын
MashaAllah tujiandae Mkao wakulea mtoto
@alhandroraj80095 жыл бұрын
Naomba namba yako nkupe order nina groups za warembo na wote wantaka uwape designs kali kali
@achouraachoura57633 жыл бұрын
Masha'allah Kwa wolper
@zamdakimaro29735 жыл бұрын
KAMA KWELI MJAMZITO ONGERA SANA MAMY MUNGU AKUVUSHE SALAMA
@magrethsanga9425 жыл бұрын
Waooooh good Madam wolper
@khadijamisanga88355 жыл бұрын
upo vizur jack😘
@xkingx80415 жыл бұрын
Sio unamzalia ndio umuonyeshe!! Muowane bwanaa!! Tuogope uzinzi!! Nalipenda hilo gauni mwenzangu
@angelahmoraa54725 жыл бұрын
Congratulations jacky
@kwizerazainabu38045 жыл бұрын
Mashaallah umependeza
@sasherbaiby72775 жыл бұрын
Saf sana wolper nakupenda sana
@maryamwahid63835 жыл бұрын
uko vizur nakuunga mkono
@lisanide63395 жыл бұрын
kama umemkubali mtangazaji kama me anatangaza vzur sanaaa na anasaut nzur na anahoji maswali ya point gonga like kama tupo pamoja dear
@ab3ab3133 жыл бұрын
❤
@jacquelynevihenda17245 жыл бұрын
Love u namesake u motivate me
@witnesskivaria74835 жыл бұрын
Umedamshi sana💕💕🙏🙏🙏
@KladesKladseee5 жыл бұрын
congrats sana mrembo
@happypa20275 жыл бұрын
Onger san dada😍😍😍😍💋
@edithrwechungura27683 жыл бұрын
Umependeza Jack
@priscadaudi54405 жыл бұрын
wolper katika interview zako zote leo, umeongea mambo ya msingi na mhimu, lakini siku nyingine you know zipungue, pia umependeza sana na vazi lako la blue.
@ethelkatambala16595 жыл бұрын
Kweli hizo You know apunguze aiseee...
@hadijashabani29135 жыл бұрын
we jack ungejua ninavyokupendaaa ungenipa
@matridavincent67185 жыл бұрын
Safi Sana, nakukubali sana
@zainabmwengela59875 жыл бұрын
Nampenda huyu dada akicheka
@sesiliajoseph2115 жыл бұрын
Umependeza kweli mchaga ila punguza hayo ma mek up bas unakua kama kanyau sasa 🙈
@aminaatiki87675 жыл бұрын
na mpenda san huyu Dada jaman
@paulinekababa5245 жыл бұрын
wow so amazing sweet
@rahmashaban89675 жыл бұрын
Masha Allah wolper
@dorcaskaponda9804 жыл бұрын
Nakupenda sana jackline
@gracebahati7385 жыл бұрын
Love you wolper
@OmanOman-mc8uq5 жыл бұрын
Unajua kupenda🥰😘
@ashulamusin98115 жыл бұрын
Umenoga sana my
@nemothu84325 жыл бұрын
Safi, una ugonjwa wa kusahau!!!
@neemafaustine36625 жыл бұрын
hongera Sana jackline
@salomealphonce57115 жыл бұрын
Mungu amjaalie nampenda sana Jack Zaa mwaya
@luckyvenance45765 жыл бұрын
Wolper mvalishe tanasha
@swabrinaboss79595 жыл бұрын
Lucky Venance 😂😂😂😂😂
@emmyjohn31925 жыл бұрын
Lucky Venance 😂😂😂😂
@helenkambi39185 жыл бұрын
Love you Wolper but I will advise you its better u get married kwanza kabla hujazaa
@hawaramadhani69545 жыл бұрын
Helen Kambi mmmh kweli dada ang ila ndoa si wowowo uswme kila mtu analo hapana kila mwanamke anatamani ndoa ila huwezi kumlazimisha mwanaume akuoe ata unafikisha 36unasubir tu ndoa ?wanaume wenyewe wa siku hizi wana tingisha kabla hawaja use
@athmanbello3805 жыл бұрын
dear jack ,honest ,h is a silent letter ,ukitamka utasema onest ....hp umeniget
@thefarahatlifestyle5 жыл бұрын
You look beautiful mtoto.
@halimafuketi83695 жыл бұрын
Jamani naombeni lyk zenu watanzania kama nyinyi sio wabaguzi
@sakinaomar20905 жыл бұрын
Good good
@rukiahassan68255 жыл бұрын
Wolper umependeza dada na umekua pia na gauni nalo liko sawa ila mbona hueki lining dadangu ukaziba mali ya shem wetu
@loyceackim42965 жыл бұрын
Katika nguo zako leo ndio umetokelezea sana
@batulimabewa69535 жыл бұрын
Amependeza sana
@scollorpatrick72145 жыл бұрын
Hongera sana mama
@ifgodsayyes.nobodycansayno17965 жыл бұрын
I LOVE YOU AND UR SO BEAUTIFUL
@mishimbaga81875 жыл бұрын
Uko vizur
@luiluiza48675 жыл бұрын
Yan huyu mtangazaji hajui kuuliza maswali chaaa
@opiumtaavi49665 жыл бұрын
acheni huo uzungu bubu waandishi Kiswahili mbona kimenyooka
@mariamemery82955 жыл бұрын
👌
@esterkileo34865 жыл бұрын
Chaga oyeee
@mariamnahodha23905 жыл бұрын
Umependeza
@hadijahmwajombe95885 жыл бұрын
mashaallah
@benjakemwa19825 жыл бұрын
mama unapendeza xn
@favouramos35385 жыл бұрын
Nakukubali
@murhububashekinah1425 жыл бұрын
Nice dress code uko juu utabaki kileleni wolper
@rukiaissa12915 жыл бұрын
Mh you know kibao kwny lugha bd wolper
@خسنموس5 жыл бұрын
Kila la heri jacky
@jaelsonoko89605 жыл бұрын
MUSA HASS
@خسنموس5 жыл бұрын
@@jaelsonoko8960 yes
@opiumtaavi49665 жыл бұрын
najua utasoma comment yangu alafu utasema mimi sina elimu ila nina Masters yangu Language kutoka STANFORD acha UNDEZI