JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@MAGRETHMAKANGE6 сағат бұрын
Ili Mungu amuweke kiongozi mwenye tija katika nafasi ya uongozi mchakato wote wa uchaguzi unapaswa kuwa wa haki,uwazi,ukweli na usio na ubinafsi kwa namna yoyote.Kinyume na hivyo atachukua nafasi yeye mwenye network kubwa hata kama hafai katika hio nafasi ya uongozi.
@EliaoniTerry5 сағат бұрын
Bahati nzuri au mbaya wapiga kura hapo ni theluth MOJA.
@sasha-ri7tf4 сағат бұрын
TATIZO SIO KUNGATUKA "MBOWE" TATIZO WAKUMWACHIA UWENYEKITI NANI NA TAIFA KUBAKI KUWA SALAMA JEE NI HUYO MTOTO ALOKOSA MALEZI🇹🇿❤🇹🇿❤🇹🇿❤?..
@patrinraura13975 сағат бұрын
Sisi wa Vyama vingine tunawatakia uchaguzi mwema Tunahitaji Vyama vyenye viwili nguvu kama CHADEMA Tofauti ya mawazo ni afya kwenye Maendeleo.
@S.Almahrouqy4 сағат бұрын
Mbowe Ana hekima kubwa mimi namkubali
@Kiyama-g8fСағат бұрын
nakuunga mkono sana kwa hili-Lissu mihemuko ni mingi mno