🔴#live_KIMENUKA TAARIFA MPYA KUTOKA CAF, IBENGE AIPELEKA YANGA LIBYA MABULULU? JEMBE AFICHUA MAZITO

  Рет қаралды 33,233

Spotika Online TV

3 күн бұрын

YAMETIMIAA! TAARIFA MPYA KUTOKA CAF, IBENGE AIPELEKA YANGA KUCHEZA LIBYA, SALEH JEMBE AFICHUA MAZITO UMEONA?

Пікірлер: 28
@MisheckNgapulila
@MisheckNgapulila 2 күн бұрын
Uko sahihi kiongozi hataleo nilikuwa nawa ambia Jamaa zangu timu ya kuogopwa ni tipi mazembe
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 3 күн бұрын
Mungu Ndiye tegemeo letu na tunamshukuru kwa yote tunayoyapata na tumaibi letu ni kwamba hatatuacha na machungu.Atatenda kilicho bora kwetu na kutujaza furaha . Amina
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 3 күн бұрын
Hicho Ndio Kitu Muhimu Kumtegea Allah Na Kuhusu Teim Zakiarabu Zinajulikana Na Hata Baadhi Ya Teim Hizo Za African Wanfujo....
@James-sz4ec
@James-sz4ec 2 күн бұрын
Sisi yanga tunamwomba mungu tu inshallah tutashinda sana
@MfunjoWabaBoydays
@MfunjoWabaBoydays 2 күн бұрын
Ndugu zanguni niwaulize hivi kiatu kinachonuka unaendeleaje kukitazama si utakikimbiya? Acaneni na vitu vinavyonuka wanaonukisha hivi vitu wanapata faida .Get your good news from the source
@SuleimanChief
@SuleimanChief 2 күн бұрын
Yanga cku zote anapata mechi ngumu hata ligi yetu lakini anashinda.
@GodfreyMwendawila-ff7on
@GodfreyMwendawila-ff7on 3 күн бұрын
Mbaya zaid yanga ili ifanye vizul wanaenda uleye vulugu ndo unaongezea ukichaa wakufunge vizul
@mussammanga7791
@mussammanga7791 3 күн бұрын
Haikuwa hivyo wkt kila kitu kimeonekana uwanjani inatiwa mipira 10 uwanjani. Yanga mambo hayo wameshayazoea.
@ibrahimalharthi4599
@ibrahimalharthi4599 3 күн бұрын
Ili kupata mafanikio, tegemea kumuomba Mungu kwasababu kejeli na matusi huleta misiba
@daudkondo4069
@daudkondo4069 3 күн бұрын
Hili bwege Huwa inaiombea Yanga mabaya tuu
@JamesMaiga-z1n
@JamesMaiga-z1n 3 күн бұрын
Ally Kamwe ana utoto mwingi. Cheo hicho hakimfai maana ni zaidi ya mshabiki Hana ueledi wa Afisa habari,; aanaweka hadi brichi jamani !
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 3 күн бұрын
Ww nani hutaki awe afisa habari!! Kama vipi jinyonge sasa
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 3 күн бұрын
Nikweli Teim Zote Mzuri ila Tumemsikia Yusuf Kazi Simba Kasaidiwa Pwents 6 Kwa Mechi Tatu Moja Dodoma Jiji Na Azam Kunatim Nimeisaha Hayo Nimaelezo Yusuf Kazi Kioenga Cha Mwisho Kwahiyo Inawezekana Kwasababu TFF Inajuwa Nini Wanafanya Marefa Kusaidia Simba Na Hajaingilia Kati Kuhusu Marefa Kufungiwa Kukemea Na Kuwapiga Fain..
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 күн бұрын
Wewe mwuliza maswali ni zero.
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw 3 күн бұрын
mimi nalivoona yanga walishangilia walipoona wamepangwa na timu kubwa zitakazo zitakazo leta upinzani utakao onyesha ubora wa Yanga umefikia wapi na kuibland timu
@DenisNyalus
@DenisNyalus 3 күн бұрын
Daa brohter unaongea uharisia na unafundisha unatisha wewe ni nguli
@elvisnzovu8282
@elvisnzovu8282 3 күн бұрын
Huyu jamaa ni Shabiki la Simba, uchambuzi wake huwa ni wa kuibeza Yanga
@FundiKami-dv5ix
@FundiKami-dv5ix 2 күн бұрын
Anajulikana sana km mkia....
@AnthonyDcosta-f3q
@AnthonyDcosta-f3q 2 күн бұрын
Hakuna mchambuzi kama huyu Tanzania
@martinSaliboko-z3m
@martinSaliboko-z3m 17 сағат бұрын
Wandishi bwana wewe ndo wahvyo kwasabu unazingumzia timu zingine hata hizi timu zilisha badirika zinawachezaji wazuri
@costantinestephen2594
@costantinestephen2594 3 күн бұрын
Yanga haogopi , Tumejipanga na tutawashangaza wengi.
@ChingaPambakalii
@ChingaPambakalii 2 күн бұрын
Mmekutana na mizoga raund zote apo ndo mmkaa kwa vidume sasa tuone 😂😂😂
@hassanyassin-ny3qh
@hassanyassin-ny3qh 3 күн бұрын
Ware walio luka luka sio yanga walee. Wale ni nyuma mwiko. Ambao manara alisema awana akili na nguonimwao kumejaa vinyesi. Niwahuni wa ovyootu. Ule niushambaa. Watu wakimataifa km simba awawezi kuruka ruka kwenye droo. Simba nguvu 1.
@salehemsumi615
@salehemsumi615 3 күн бұрын
Unakazwa
@mussammanga7791
@mussammanga7791 3 күн бұрын
Kwani nyinyi mnashiriki ligi gani?
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 күн бұрын
Hamna mwana yanga aliyesema tp kundi lina vibonde.
@IddMsongo
@IddMsongo 3 күн бұрын
Wewe kolo hunalolote , wewe si unasoema yanga amefungiwa na caf
@YusuphJilala-r4e
@YusuphJilala-r4e 3 күн бұрын
Kushangilia nitabiayahovyokwawajinga kamaOscar
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 125 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 114 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 23 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 125 МЛН