Story ya binti ambaye wamejitokeza mama wawili tofauti imeishia wapi?🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@nyakatongongo42924 ай бұрын
Pia peter na mama yake nilitamani hiyo story mwanzo mwisho ilikuwaje hadi peter kajilea mwenyewe 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@FatumaWaziri-jv6ox Жыл бұрын
Yani nawapenda sana kipindi chaleo tena ila husna punguza kumshshuwa mwimjako
@GetrudaFikiri Жыл бұрын
Jaman musimulaum San uyo kijan maan minakumbuk uyo kijan alisema yure mama aliye mureya ariacha mtoto wakike simumutafut uyo bit tupat uwakika
@OmariOmariyahaya6 ай бұрын
Mkovizuri sanawakina josemaraa
@Shaziligaga-cs6gs5 ай бұрын
Nafrah leo nimewaona live
@chazimatayo Жыл бұрын
mumetisha sana
@geraldharuni6358 Жыл бұрын
Nawapenda sana apo mjengoni
@ShenyBoy-w1h8 ай бұрын
Prince shizo nk live kutoka tandk nawapnd San dauuu Jose gea mwijaku
@IssaMbonde-w5z17 күн бұрын
Da gea mdogo wako hapa issa
@BarakaMsemwa-nz8up Жыл бұрын
Nawaziklza leo tena naitwa batez kutoka singida wilaya manyan
@SanjuNyaruga3 ай бұрын
Naitwa Sanju nyaruga kutoka tabora ujumbe tupo pamoja san
@rashidshabani97753 жыл бұрын
Huku Zanzibar hatuwapati vizuri
@naomidaudi85143 жыл бұрын
Jaman mwijaku punnguza ushilawadu utasutwa kaka angu
@estheremil55023 жыл бұрын
Mungu amsimamie Reyvan
@AllanHassan-h2t8 ай бұрын
Nimependa xna zilizo Kiki leo
@jescajoseph3433 жыл бұрын
NAITWA BAG DADY KWA BIMSUKUMA GONGOLAMBOTO JUA KALI SANA JOTO SANA
@SaidaRashidi-p3vАй бұрын
Ludia namba ya afya chat
@RHOIDAKALUKWA-bw4jo2 ай бұрын
Msitajane majina huko kwenye mapango mtageuka miza
@PatrickMaduga6 ай бұрын
Patrick maduga
@RHOIDAKALUKWA-bw4jo2 ай бұрын
Geah usije geuka jiwe huko kama miza bado tunakuhitaji
@kitonekantasha16873 жыл бұрын
NAOMBENI MUUIFUTE HIII CLIP PLZ IMEKAVIBAYA KWA HUSNA TUMEONA TUMBO LAKE KITOVUU. SIO VIZURI NINAVYO JUA MITANDAAAO PLZ TUIFUTE ILII ISIENDE JAMANI ASIJE AKAINGIA HEDLINE TUWAACHIE LA KAJALA NA MWANAYE LIISHE PLZ
@JoelMisana7 ай бұрын
0:40 🎉🎉🎉
@kitonekantasha16873 жыл бұрын
NAWASHUKURU SANA LEO NIMEAMKA MAPEMA KUWASHA REDIO ILA NIKAPITIWA TENA NAUSINGIZI LENGO LANGU NISIPITWE NA ZILIOKIKI ILA KUMBE MULIKUWA NA MIMI USINGIZINI MKASEMA HUTA MISS TUNAKUEKEA KZbin. ASANTE MARA 21 CLOUDS
@swalead8928 Жыл бұрын
Hallo
@imanuelrichard6443 жыл бұрын
yaani muna sauti nzuri sana lkn DC KAMA DC sikuwahi kumuona kumbe ni bonge ivo ila anasauti nzuri sana
@FatumaWaziri-jv6ox Жыл бұрын
Husna usishangae hata kwetu tanga ilitokeya ndugu mtu na kaka ake