Naona biblos wakirudi kwenye choir ya kurasini, njonzi hili litimike haraka upesi.Blessings
@happyelisa1081Күн бұрын
Nafurahi sana kuona hilo tukio hakika Mungu wambingu azidi kuwa pamoja nanyi, Nawapenda mnooo, Kurasini Mimi ninyumbani siku moja nitarejea tukopamoja.
@thomasodhiambo4163Күн бұрын
sita sahau kukumbuka jinsi hi choir ilivyo tembelea makambi mtaa wa Makongeni SDA Church, Homa Bay, Kenya. Mungu awa bariki. Tom Omburah, Kendu Bay, Kenya.
@marionatieno85012 күн бұрын
Kwa umbali huu Jina Mungu Baba Litukuzwe na Azidi kuwaonekanie mzidi kuimarika zaidi na zaidi Mbarikiwe saaana
@jameselias379910 сағат бұрын
nabarikiwa sana na kwaya ya kurasini
@SaidMtagwa2 күн бұрын
Najaribu Kuangaza Sana Macho ni Mwone Mwalimu Kibasso Abarikiwe siku Zote za Maisha.
@leahmocheche71233 күн бұрын
Be blessed kurasini
@loycemgonja26343 күн бұрын
BARIKIWA MDUMU HATA YESU ARUDI
@kelvinkihedu3 күн бұрын
Barikiwa sana
@charlesmiyoro89122 күн бұрын
Mwalimu kebaso alisha lala kwa mauti,akisubiri asubuhi njema ijayo.
@thomasodhiambo4163Күн бұрын
Is Kings Biblos not part of Kurasini choir? Mariam Sassi, where are you?