Pastor masanja ahsante Sana nimefurahi kusikiliza ibada yako ni mimi BADI AKIDA nawaombea kwa mungu sana
@kulwacharles57953 жыл бұрын
Nakubal sana, Masanja unajua Mungu azidi kukupa kibali zaidi 🙏🙏🙏🙏
@hellenmachibya26812 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu,,ndugu wanaume mjifunze neno hapa
@pastoreliedhahaule45623 жыл бұрын
Vizuli pastor mungu mwema
@danfordmwangesile90433 жыл бұрын
Ahsante sana kwa neno lako hakika tupo wengi tumetoka huko ulikotoka ko mie nakuelewa sana mtumishi wa Mungu
@shittostar11823 жыл бұрын
Mtumishi Emmanuel Mgaya, namtukuza sana kwa ajili yako, maana nikikuona wewe namuona Mungu ndani yako, naisikia sauti ya Kristo ndani yako. Chapa kazi ya God iende mbele mm niko nyuma yako nikikuombea. Barikiwa sana.
@hobokelajackson19473 жыл бұрын
🙏🏽 Amen
@hobokelajackson19473 жыл бұрын
Very few people see that way. Amen to you!
@emmamusa8367 Жыл бұрын
Hallelujah 🙏🙏 2nakuwelewa San m2mmish
@shabamuhidin6343 жыл бұрын
ndo mana watu wanatembea uchi kwa kudhani eti mungu anaangalia roho...ndk Yesu akasemaa kuna watu watasaga meno siku ga mwisho
@mosesmalone22353 жыл бұрын
Ndugu wa pendwa ktk kristo yesu hii ni mizaha ktk makanisa namaigizo. Mbona watunisha misuli kanisan
@sarahamos85243 жыл бұрын
Alie wa rohon ataelewa tu
@MzeeAdam-l2q7 ай бұрын
Balikwa Sana hii ndyo lnjili tunayo taka Amina
@MzeeAdam-l2q7 ай бұрын
1:00:40 Yesu kirisito alikuwa jasili Kama Asikofu Masanja pia Goliati . Nk.
@Oneofhiskind1233 жыл бұрын
Pastor wewe noma piga injiri ya christo kweli Mungu akikuinua walio kutemea mate jana watakutamani quote "are u still thinking about what u told me" amen
@kalubisubira71823 жыл бұрын
Asante xn pastor kwa mahubiri yako ya kujenga,,.....
@felisterkioko2 жыл бұрын
Mungu akubari sana naakuinue.kiwango kikubwa . amen
@makavelimkuchi29673 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwani mnaosema mavazi yamefanyeje sikilizeni neno
@lonyorilaizer8159 Жыл бұрын
Hongera sana Pastor Masanja,somo zuri sana
@hamisilumona71633 жыл бұрын
Kweli ndugu Masanja umeongea mazuri sana kuhusu maisha. Watu wengi hawataki kujituma kwa kutafuta maisha, wengi wanatamani ku appear kama jinsi wanavyokuona ila hawajui history yako. Mungu akubariki na anibariki na mimi. Pia anipe nguvu mpya na mafuta mabichi tena juu yangu. Amen.
@nelsonmgaya43203 жыл бұрын
Usipimie bonge la ibada paster wataelewa songa mbeleeee!
@peterivandaud4963 жыл бұрын
Unapo jaji kitu n lazima usikilize lengo nadhumuni lahuyo unaemdisi ili uwe nahoja zenye nguvu usijaji usichokielewa. Pastor Mungu Akubariki Sana.
@shijamakenzi30513 жыл бұрын
Hata kuvaa kwa sitaaha bibilia iko wazi unaninginiza kitambaa kirefu mfuko wa nyuma na swaga za kihuni nn maana yake kweli nyie walokole sijuwi wokovu gan huo
@Hopestone_counselling_point.3 жыл бұрын
@@shijamakenzi3051 vijana wanafikiri Mungu wetu ni wa lelemama, shetani mwenyewe ana uwezo wa kuhubiri na kuongea makubwa kumhusu Mungu ila matendo na nia yake vinamuangusha
@edinanchimbi7023 жыл бұрын
@@shijamakenzi3051 mungu ni roho na wamwabudio wanamwabudu kwa roho si nguo
@shijamakenzi30513 жыл бұрын
@@edinanchimbi702 yesu anasema manabi wa uongo wengi watakuja kwa jina langu wakifanya miujiza mikubwa hakika yametimia tunaona kwa macho na mwenye macho haambiwi tazama leo tunashuhudia utitili wa makanisa mengi yakiwa na wachungaji feki wakitapeli watu kwa kutumia bibilia kupata pesa miujiza ya kitapeli imetamalaki mara mafuta ya upako utauziwa maji yanauzwa leo hii na mambo mengi tu ya kihuni tutawatambua kwa matendo yao kama huyo masanja ovyoo kabisa
@edinanchimbi7023 жыл бұрын
@@shijamakenzi3051 kijana funguka usiangalie vazi lake angalia utu wake wa ndani. Yesu angeangalia hayo asikubali kupanguswa miguu na nywele za yule kahaba. Na wala Masanja hajasisitiza uagalie vazi lake, amesisitiza kufanya jazi si neno lake. Kama hutaki ipo siku utaelewa tu wala si mafuta tofautisha
@thomasmuyya72213 жыл бұрын
This is fantastic vijana wanahitaji ujumbe huu.
@Hillaryedith73 жыл бұрын
Mungu awabariki mtumishi Massanja na mke wako . I appreciate your work.
@Hopestone_counselling_point.3 жыл бұрын
Mungu hawi radhi na wapumbavu, endeleeni kufanya upumbavu kwa kuleta mizaha mbele zake. Mungu wetu ni mkuu mnoo na ni moto ulao
@paulmzule48853 жыл бұрын
Sasa kafanya mizaha gani apa, wewe umekariri kwa sababu masanja ni komedi.
@godmremi35583 жыл бұрын
Unamsema Vibaya Mchungaji Masanja Hujitambui Maana Hakuna Kibaya Anachokihubiri..
@Hopestone_counselling_point.3 жыл бұрын
@@godmremi3558 ibada kwa Mungu mtakatifu lazima iwe ya kicho otherwise unaabudu kitu kingine
@edinanchimbi7023 жыл бұрын
@@Hopestone_counselling_point. umekariri fani yake kariri basi na matendo yake anayosema ndio anavyotenda.
@tatunyasulu86273 жыл бұрын
@@Hopestone_counselling_point. msabato pole
@reubenismail36723 жыл бұрын
Mahubiri mazuri Sana!usikate tamaa zaidi piga moyo konde!
@agnesschirstian92263 жыл бұрын
Mimi ninakupongeza kijana, namna hii wako watakaokuja kukushangaa ma watajikuta wamenasa. Barikiwa saana.
@CELLINARua11 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu tuko pamoja
@saumudaniel90512 жыл бұрын
Hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙏❤️
@daudimichael73383 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii. Barikiwa mtumishi wa Mungu.
@justineonline65563 жыл бұрын
Mavazi hayo mtumishi , Mungu akusaidie maana unapokuwa madhabahuni Hasa mchungaji lazima uwe na nidhamu ya mavazi unapokuwa kwenye madhabahuni , nihayo tuu mtumishi,,,
@renatusmlokozi36333 жыл бұрын
Mungu anatazama moyo na si mavaz amka ww
@justineonline65563 жыл бұрын
@@renatusmlokozi3633 renatus utapotea ukisema hivyo , masanja Ni mtu mwenye uwezo wake , ashindwi kununua nguo nzur Kama suti au suruali nzuri ya kitambaa pamoja na shati zuri la kitambaa akavaa nakupendeza madhabahuni , lakini Cha ajabu anavaa ovalori Sasa hi sio sawa napia Kama mtumishi wa Mungu lazima uyaheshimu madhabahu na ubadilike kabisa , ila siku za mwisho hizi , Kama wanaona wako sahihi tuwaache na ibada zao ..
@japhethgeriad45193 жыл бұрын
@@renatusmlokozi3633 unaweza kwenda kanisani uchi?
@renatusmlokozi36333 жыл бұрын
@@japhethgeriad4519 Kwan masanja hapo yupo uchi,ukienda uchi huo Ni uchiz wako,kuvaa nguo za kubana sanaaaa,na kuvaa nguo oversize kama watoto was Arusha Ni sign ya kuvuta bang
@renatusmlokozi36333 жыл бұрын
Mtumishi yupo saw,tunapenda mbinguni kwa moyo saf na si kwa kuwa mm Ni mkristo au muislam Wala shekh Wala Padre,utajisikiaje mtu unajua huyu n Malaya was kutupwa alaf soon unamkuta mbingun
@presseg.63623 жыл бұрын
Jamani mtumishi Wa mungu, umevaa ovaroli, sasa watu si wanakushangaa ulivyovaa, watasikiliza neno LA mungu kweli!
@godmremi35583 жыл бұрын
Kwani Waumini Wamekuja Kuangalia Mavazi Au Kusikiliza Neno La Mungu?
@mussakamisa19373 жыл бұрын
@@godmremi3558 kuweni na akili acheni kutetea ujinga kuna linkage kubwa ya understanding kat ya mavaz kwa preacher na wanaomsikia mtu anaweza weka tension kwenye mavaz na sio neno kama ndo ivyo bas kahubiri na boksa wew uyu masanja mizaa sana ad kwa mungu
@shijamakenzi30513 жыл бұрын
Masanja bwana hebu punguza maneno ya kihuni unapohubiri unaposema mwanangu si msela wew nguo hizo ulizovaa unatisha mtumishi
@godmremi35583 жыл бұрын
Mtumishi Anasimama Kama Baba Kwa Hiyo Kusema Wanangu Sio Kosa Na Pia Ameonyesha Yeye Ni Mchapa Kazi Na Katika Mavazi Yake Hayana Dhambi.
@Hillaryedith73 жыл бұрын
Semina ya wanaume .madhabahu yake imetengenezwa kiume zaidi so acheni kulaumu na kuhukumu sana sana sikiliza mafundisho utajifunza kitu .
@sarahmichael75383 жыл бұрын
Safi sana Mch.. Emmanuel
@godfreyally77873 жыл бұрын
Mbonge la ibada ubarikiwe Sana mtumishi👏🏾👏🏾
@barakalusindedomtz85993 жыл бұрын
Sijui niseme nini ila kama ni kwel wito wa Mungu basi Mungu acha aitwe Mungu maana ana njia nyingi za kupeleka ujumbe kwa watu wake Tumuombe sana Mungu na kusoma maandiko maana bila neno kila kitu kwako au kwetu ni giza tupu.
@pastorlatsonmusa3 жыл бұрын
Safi sana pastor injili lazima ihubiriwe
@mosesmalone22353 жыл бұрын
Mbona mavitambaa mbaka hukunyuma ni ya mini. Heshim madhabahu
@sarahamos85243 жыл бұрын
Vina shida gani sasa ? Hamkosagi vya kuropo, sikiliza ujumbe wewe
@horombefelix36493 жыл бұрын
Maana halisi ya kufeel free
@emmaponera2253 жыл бұрын
Huelewi chochote ww
@Oneofhiskind1233 жыл бұрын
Msiwe na roho ya hofu ameen pastor 👏👏👏
@godfreyishengoma67323 жыл бұрын
Asanteee sana mchungaji kwa ujumbe mzuri
@arafaswalehe46603 жыл бұрын
Nafikili anae tukana hamjui MUNGU ni nani,,anafikili MUNGU ni kama mwanadamu,pole! MUNGU wetu niroho,nahaoni kama mwanadamu aonavyo kwani mwanadamu huangalia nje!
@salmahassan35213 жыл бұрын
Masanja hacha kuchanganya watu, huwezi kumpendeza Mungu na wanadamu
@daudimahenge43843 жыл бұрын
Sisi tunafuata nyayo za Yesu maana yeye alimpendeza Mungu na wanadam
@saumudaniel90512 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️
@davidgwagula20293 жыл бұрын
Ukichagua kuuza utumbo usiogope inzi piga kazi masanja
@emmanuellwilson87053 жыл бұрын
Barikiw pastor kwa somo zuri
@imanmsangawale40783 жыл бұрын
Nabalikiwa nà mahubil
@rockcitynative99853 жыл бұрын
Kazi kweli kweli yaani mtu kakusanya whuni wafanye maigizo kisha wawahi mtandaoni kuja kutengeneza praise comments. Aise waislam hawatakagi huu upuuzi.
@emmaponera2253 жыл бұрын
Hujaelewa na hutaelewa yasiyokuhusu acha,mafundisho haya ni msingi inawezekana na ww upo kwenye kundi la kiume
@lukamwambalaswa44633 жыл бұрын
Akili yako bado
@frankraphael37653 жыл бұрын
Working real hard is what successful people do!
@josephmahundi22523 жыл бұрын
Nime kua muumini wako nanina furahiahwa sana nawewe Mungu akusaidie sana katika Safari yako
@yohanaandrew3363 жыл бұрын
Mahubili ya leo yanahitaji vitendo Safi mchungaji kwa neno zuri
@emanueldaud23603 жыл бұрын
Umeongeaa vzr wajina ubarikiwe
@suzanajilala28713 жыл бұрын
AMEN MCHUGAJI WETU,
@liberatuselisha50403 жыл бұрын
Nimekukubali mtumishi wa MUNGU
@lameckonunga45993 жыл бұрын
Hayo Ni mavazi gani kwa madhabahu?
@danielmwasi54503 жыл бұрын
Hao walinzi wanini? Wachungaji Waldo bhana
@florakiondo85573 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtu wa Mungu.
@peterkihongosi19663 жыл бұрын
Safi sana mchungaji masanja.
@manyaraspringwater88073 жыл бұрын
Sharti injili ihubiriwe
@renatusmlokozi36333 жыл бұрын
Bilian Sunday nzur hyo pga mpunga mpaka malaika mbinguni warukeruke
@anthonyjoseph49792 жыл бұрын
Ameen
@vedastovaleliani81533 жыл бұрын
Umeongea ukweli sula ya mwanaume inazungumza. Lakini hata matendo ya muhubili yanazungumza kuliko maneno yake. Kama muonekano wako na mahubili yako Ni vitu viwili tofauti.
@kingdonald33123 жыл бұрын
uwaga nakukubali sasa kaka ubarikiwe sana
@lazarogatahwa11063 жыл бұрын
Ibaaba gan hizo wanatuvalia kofia kihun Kia's hicho mungu awarehem
@benedictorchoma71013 жыл бұрын
@@apostlej.rministiryprophet2219 Zingatia fungu la 7,1 Wakorintho 11:1,3-4,7 [1]Mnifuate mimi kama mimi ninavyomfuata Kristo. [3]Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu. [4]Kila mwanamume, asalipo, au anapohutubu, naye amefunikwa kichwa, yuaaibisha kichwa chake. [7]Kwa maana kweli haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa, kwa sababu yeye ni mfano na utukufu wa Mungu. Lakini mwanamke ni utukufu wa mwanamume.
@benedictorchoma71013 жыл бұрын
Naomba unipe hilo andiko lako wewe la kunifungua akili,,, halafu usabato unahusikaje na fungu nililotuma? Au nipe andiko linaloruhusu kuvaa kofia wakati unahubiri,,au linalopinga hilo fungu nililolitoa
@benedictorchoma71013 жыл бұрын
Hakuna andiko linalokataza kuvaa suruali ILA lipo linazuia kuvaa kofia au kujifunika kichwa na sababu zikatolewa mpendwa,,
@benedictorchoma71013 жыл бұрын
Halafu Mimi Naamini kuwa Masanja pia kuna vitu kahubiri ni vizuri ILA UWASILISHAJI wa vitu baadhi si Sawa,, mfano anakuwa na mabodyguard,kuvaa kofia vyote hivyo ni UDHAIFU tu,ambao anapaswa afanyie marekebisho
@emmaponera2253 жыл бұрын
Sioni tatizo hiyo ni semina toka na ujumbe sio mavazi
@ModestusKasanga8 ай бұрын
Mm Nikukibari Nitakukaribisha Kanisan
@nassibuduma71623 жыл бұрын
Kazi kazi piga mzigo kaka
@susankasyoka8533 жыл бұрын
Amina Amina kweli kabisa
@kitumbondindindi43443 жыл бұрын
yani mimi nikionaga mabodigadi 😎😎huwa natilia mashaka
@msalikemedia3 жыл бұрын
Bodgad yupo makin💪🕴️
@aidaraphael19562 жыл бұрын
Ni ulize hao mabodigadi wanini kanisani?
@gilbertclavery38953 жыл бұрын
Mmm mavazi hayo mnaalibu taswira ya utumishi mabodigadi sasa duu
@judithcha-mushala88523 жыл бұрын
Nguo ya mchungaji!!! Yaani hapo unaonekana kama unaenda kuendesha katapila, vaa nguo nzuri madhabahuni zanazoonyesha utukufu.
@emmaponera2253 жыл бұрын
Utukufu ni vazi au roho yako jitafakari ww unayejionyesha kwa nje
@renatusmlokozi36333 жыл бұрын
Kanisan au tanroad mbona Alana kibao
@furahajoy31683 жыл бұрын
Amen amen
@josephsanga76673 жыл бұрын
Barikiwa sana paster
@iweningogoofficial37333 жыл бұрын
Ameeni baba
@revsulemanigerardjonas40983 жыл бұрын
Fantastic
@usajiliusajili65113 жыл бұрын
Barikiwa sana
@lameckmathias11883 жыл бұрын
Ujumbe umefika mwenye masikio na asikie
@geraldramadhani84873 жыл бұрын
Vazi lako kiutumishi mimi mwenyewe sijaelewa unatufundisha nn ila neno nimekuelewa punguza swaga uendane Na utumish
@goegymchugaji26293 жыл бұрын
Rohon simuon kabisa huyu mtumish
@georgegeofley95953 жыл бұрын
Hilo vaz ni la kazi na amevaa kudemostrate kufanya kaz hasa wanaume mana ilikuwa ni siku ya wanaume
@childrengospelmissiontanza14743 жыл бұрын
Kuna watu wana vichwa vigumuuuu,hawajui neno linaendana na demonstration ilikuwa siku maalum
@naimanwilliam10493 жыл бұрын
Hapo hapo mchungaji umetisha
@marcondokeji89823 жыл бұрын
Nguo sasa, kama gereji ila poa ujumbe uko vizuri
@williammkenda30623 жыл бұрын
Changamoto. Mavitambaa yanini
@sarahamos85243 жыл бұрын
Ni mtazamo tuu lkn Injili inapigwa tu
@sarahamos85243 жыл бұрын
Wenye ustaarabu ndo wamejaa maovu kibao
@liberatussylvanus54773 жыл бұрын
Ukosawa mtumishi
@EbenezerAM3 жыл бұрын
Ushauli pastor. sound engenear ajitahidi kubalance kati ya mziki na maik unao tumia wewe wakati wa kufanya recoding sauti ya vyombo vya mziki vipo juu sana mfano ama guitar ya solo, so inakua nikama kelele. 2. wapigaji wajitahidi kuseti vyombo vyao vizuri kabla ya sevic mfano gitaa ya bess ni kama ipo nje ya kii. hudumako ni njema na MUNGU akubariki
@chantalvumilia97793 жыл бұрын
Mfano mzuri mchungaji tunatenda zambi eti Mungu hatuoni.barikiwa sana.
@renatusmlokozi36333 жыл бұрын
Hongera ntumish nimekuelewa
@angelachisongela99253 жыл бұрын
Ni kweli kabisa Mchungaji
@EngJosh3 жыл бұрын
Kanisa la wahuni
@neemalambo97903 жыл бұрын
Vazi linathibitisha
@emmaponera2253 жыл бұрын
Pole
@yudantamaboko19767 ай бұрын
Umeelewa kinachofundishwa Au umekimbilia kusema tu
@tithomtitu323 жыл бұрын
Wengi wameshindwa kumuekewa muchungaji masanja kwasabubu ya mavaz but me nimeelewa kuwa somo unalolifundusha limeendana na mavaz ili kuweka mkazo kuwa vijana ni lazima ufanye kaz so asingeweza kufundisha somo huku ye kavaa suti
@godmremi35583 жыл бұрын
Goood Kuna Watu Wasio Waelewa Bwana Maana Wanamuhukumu Kwa Mavazi Bila Kutazama Ujumbe.
@aminially51233 жыл бұрын
Zecomedy church.
@beatricemortensen85333 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@razalolazaoo63623 жыл бұрын
Ama kweli wanao izalau dini nawale wanao ijuwa dini hizo nguo hazistahili hata uzishike lakini ww unavaaa tena Kanisani istoshe mazabahuni uwiiiiiiiiii mnamuabudu mungu yupi huyoooo
@godmremi35583 жыл бұрын
Mungu Anaehubiriwa Ni Yule Aliesema Asiefanya Kazi Na Asile...
@emmaponera2253 жыл бұрын
We ni mjinga kwani kavaa uchi jielewe
@furahahappe3 жыл бұрын
Hhahaha , kila la kheri Masanja. Hilo tunda hapo sasa
Wewe Ndio Unatakiwa Uwe Makini Maana Hukusiliza Ujumbe Umeishia Kwenye Kutazama Mavazi..
@emmaponera2253 жыл бұрын
Hujasikiliza ujumbe Bali umeangalia mavazi pole sana
@charlesnurumwasha78343 жыл бұрын
Mungu naomba nisamehe kama nitakuwa nakosea. '' Hivi huyo Baunsa anafanya nini hapo???
@esaubakuza26403 жыл бұрын
We acha tuu
@Hillaryedith73 жыл бұрын
Nadhani hii ilikuwa semina ya wanaume na vijana. Angalia hata jinsi walivyotengeneza stage imekaa shuguli za wanaume
@justineonline65563 жыл бұрын
Ok
@sarahamos85243 жыл бұрын
Kuna wasumbufu humu yaan had wanakera
@lilykimisa38413 жыл бұрын
Hongera pst karibu mwanza
@teresiaraurent38033 жыл бұрын
Ameen
@hellenmachibya26812 жыл бұрын
Mbunifu mnooo,,usipoelewa basi mifano ya kujenga
@prophetrichardmwakapalila83142 жыл бұрын
Safi
@EngJosh3 жыл бұрын
Mwenye akili timamu za kiroho kuingia hilo kanisa HAIWEZEKANI.
@Hopestone_counselling_point.3 жыл бұрын
Exactly
@godmremi35583 жыл бұрын
Wewe Usiingie Maana Wewe Unajiona Mtakatifu Sana Masanja Mungu Amembariki Na Anafundisha Ukweli Maana Anahubiri Maisha Yalivyo....
@Hopestone_counselling_point.3 жыл бұрын
@@godmremi3558 tatizo la wasiopenda kufikiri ni kwamba ukiwaambia ukweli maana yake ni unajifanya mtakatifu
@renatusmlokozi36333 жыл бұрын
@@Hopestone_counselling_point. Imekuwa Mungu Sasa unahukumu,kwa taarifa yako naisubir bilian Sunday,napga masong ya kumsifu mungu kwa moyo then nakandamiza kipunga mwanawane mpaka Raha,mungu kambark Ni mtumishi alaf anapesa Tena mkulima,jmn Mungu w w ujawah kutuangusha,unavyotubark yaan naomba niendelee kuwa mtoto wako mwema nisiame mbinguni