Mungu aendelee kuwa mfariji mkubwa kwa familia zaidi mtoto Isaac na kanisa lote kwa ujumla
@patucharles624 күн бұрын
Mama yetu Mariamu Mashongo tutakumbuka daima sisi wa kristo wa Adonai dzaleka malawi pumuzika kwa amani mama yetu
@mariamEvelyn-h8p23 күн бұрын
Safari yangu ya kwanza kukuona ilikua kambini dzaleka Malawi tuliishi vizuri sana na bebe wetu Isaac ulikua namuacha nyumbani anacheza na Ibrahim adi usiku ukirudi kutoka kwenye miangaiko ya kimaisha inakuja kumchukua akika niliumia sana nilipo sikia kuwa umekufa nilishindwa kukubali ila kumbe ilikua kweli Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi 🥹🥹😭😭