🔴

  Рет қаралды 2,111

SWIRATWA ONLINE TV

SWIRATWA ONLINE TV

Күн бұрын

MIMI NA WEWE TUSHAMALIZANA 'NCHAPEEE' HILI NENO KWAAJILI YA WATU WALIOSOMA SIJAISEMA MADRASA

Пікірлер: 12
@rajabtully3609
@rajabtully3609 4 ай бұрын
Da ongera baba endelea kutupa madin mungu akupe umri mlef wenye manufaa
@ExcitedEel-bb3nz
@ExcitedEel-bb3nz 7 ай бұрын
Jamaa anajuwa sna kaswida ipo kitaalam sna mwenyew nlkuwa cjailewa lkin asaiv ipo vzr
@SanaKhan-fh8et
@SanaKhan-fh8et 2 ай бұрын
❤🎉
@adamboyka3199
@adamboyka3199 9 ай бұрын
Mkiambiwa msome mnakataa jamaa ana mbinu nyingi kwenye qaswida za kuwachapa wapinzani kiufupi tanzania hii jamaa hawamuezi kuanzia sauti mpka utunzi kiufupi hawa jamaa wanapiga kama jet lee😅😅
@KhafidhmzeeAwesu-rs3gm
@KhafidhmzeeAwesu-rs3gm 9 ай бұрын
ngoz hunakaswid mipasho mengi namkubali San Hamza kwabongo
@user-yp2rw2dy5r
@user-yp2rw2dy5r 6 ай бұрын
Apo anasemwa islaa😂😂😂
@Twahamwela-ch5lz
@Twahamwela-ch5lz 8 ай бұрын
Hakuna mwanazuon liyefundisha kukhitalifiana waislam kwa waislam ila allah atakulipa kwa mujibu wa nia yko qaswida ina majungu kusemana vibaya tu upuuz mtupu
@user-cc7us2tc7n
@user-cc7us2tc7n 8 ай бұрын
Mbinu gani anaimba singeli kashapotea uyo farahani hamuezi uyo
@user-cc7us2tc7n
@user-cc7us2tc7n 8 ай бұрын
Kikao ndo habari ya mjini kwa asaivi hana lolote uyo
@user-cc7us2tc7n
@user-cc7us2tc7n 8 ай бұрын
Yani dah iyo kaswida aibu tupu ukiskiliza
@user-gi2jv4kl7s
@user-gi2jv4kl7s 8 ай бұрын
Ngoziiiiii mwamba umewanyoosha halafu umewapa talaka dah?? Wapemba wabovu mziki baridi kasida zao mbovu ustadhi wao farhani kasida zake zinafanana sauti moja ndoiyo iyo anabadili Sha mashairi tu
@Twahamwela-ch5lz
@Twahamwela-ch5lz 8 ай бұрын
Huna elimu yoyote ni upuuzi tu uliokuwa nao nyie dini mnaichukulia simple nyie gombaneni kisa midufu peaneni mipasho halaf hiko kipande chenu (mchape) ndo mtakuja kuchapwa nacho siku ya kiama nyie ghazal na khalid ibn lwaleed labda mumuombe msamaha allah na mkubali kuwa kitu kimoja km waislam na muondoshe ikhitilaf kati yenu na mtakasiane nia
Cheka na uwe na furaha - part 1
3:09
TimesFMTZ
Рет қаралды 822 М.
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 46 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 14 МЛН
🔴#live:ATASIMAMA NAWE MOLA UPO MIKONO SALAMA || TAKRIMA DAY2023
37:37
SWIRATWA ONLINE TV
Рет қаралды 2,7 М.
MBWIGA AINGILIA SAKATA LA MANARA, MWANDISHI
8:28
TimesFMTZ
Рет қаралды 20 М.
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 46 МЛН