No video

#LIVE

  Рет қаралды 101,975

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@AvitusAnthony
@AvitusAnthony Ай бұрын
wote wanaojisumbua kuaribu amani ya yanga wanapoteza mda kama wanaomtaili shoga, yanga mbele daima nyuma mwiko❤
@simeonmbanguka717
@simeonmbanguka717 Ай бұрын
Hao wazee walishatuibia sana wanachuki na mafanikio ya utawala wa sasas
@ismaillikahamba49
@ismaillikahamba49 Ай бұрын
Naipenda Yanga 💛💚
@IssaKigua-o3k
@IssaKigua-o3k Ай бұрын
Waambieni hao wazee kama watafanikiwa kuipata timu wataongoza wachezaji bila mashabiki na wanachama watapungua mnoo
@issaselemani491
@issaselemani491 Ай бұрын
Na haitatokea katika ulimwengu huu wananchi wote katika nchi yao kwenda Bungeni kujadili na kufanya maamuzi ya nchi.The same applied to Yanga,haiwezekani wanachama wote wahudhurie mkutano mkuu.
@RamadhanAshock
@RamadhanAshock Ай бұрын
Yanga tuwen macho
@frankmalimi3561
@frankmalimi3561 Ай бұрын
Wakalee wajukuu siasa hizo zilipendwa
@ney1304
@ney1304 Ай бұрын
Wazee ni watu wa busara lakin sio hao wazee wa makolo
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p Ай бұрын
hao waxee naona iziraeli anawanyemelea kwa mbaaaaali
@ToyoboAndrea-he8fv
@ToyoboAndrea-he8fv Ай бұрын
Kuwafunga tu, wamejichanga, yanga taasisi kubwa,
@NeemaValentina
@NeemaValentina Ай бұрын
Wachukuliwe hatua
@Dopa5115
@Dopa5115 Ай бұрын
Iyo mzee anatafta kifo atuache na yanga yetu wakati wake umeisha atafute kazi asilete njaa katika mali ya uma
@ZiadMoto
@ZiadMoto Ай бұрын
awo wote wakamatwe maana wanaaribu Moira WA Tanzania
@SaidiMaige
@SaidiMaige Ай бұрын
Hawa wahuni wanatumiwa na wapinzani wetu WA upande wa2na3 kundi hili limepanga kuivuruga yang.kutokana mwenendo WA club,kuwa tishio ktk ukanda huu.ndani ya uwanja imeshindikana wanatumiwa baadhi ya wanachama waliyofukuzwa Akina magoma na wengineo.ili kufanikisha matakwa yao
@godfreysimoni4270
@godfreysimoni4270 Ай бұрын
Hao watu wakiketwa kwenye mkutano mkuu ni kuwafukuza Uwanachama tu hawana maana hao hata kidogo
@ElishaLaizer-z4x
@ElishaLaizer-z4x Ай бұрын
Wappiiigweeee
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku Ай бұрын
Jaman Hawa wazee Wana maana sana maana wanafanya timu yetu iwe inafuatiliwa sana yaani yanga Hadi Raha
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p Ай бұрын
ila wanatushushia sivii hao wapuuzi 2 hao wazee
@user-ug1nv3xl4d
@user-ug1nv3xl4d Ай бұрын
Ao wametumwa na upande wa pili maana wNaumizwa sana na uongoz ulioko madarakan pamja na mfadhili GSM maana unavowapelekea moto na watahangaika sana jmn tumuombee eng hersi dua sana kwani maadui ni wengi
@salomemongi1246
@salomemongi1246 Ай бұрын
Wanatoka kuivuruga mshikamano na umoja wa timu
@user-ij2oq3xw5y
@user-ij2oq3xw5y Ай бұрын
kwani huyo mzee daaaaa
@abiudy.h.chumto1148
@abiudy.h.chumto1148 Ай бұрын
Mzee anazeeka vibaya atapata taabu saana kama kuna MTU anamtuma bora ajiepushe nao
@AlfredMachibya
@AlfredMachibya Ай бұрын
Hawa wazee jamani mda wao umeisha wangeacha timu ikue kimataifa
@aroncosmas9683
@aroncosmas9683 Ай бұрын
Hv huyo shoga anaeza mlpa mshahara mchezaj yupi yanga dah ftna zpo kla eneo lenye mafanikio
@InnocentAbel-kx7wd
@InnocentAbel-kx7wd Ай бұрын
Timu kubwa hatuwezi kuyumba
@user-ug1nv3xl4d
@user-ug1nv3xl4d Ай бұрын
💚💚💚💚💛💛💛💛
@abdibrown5591
@abdibrown5591 Ай бұрын
Nikuwauwa tu ndio adhabu yao
@japhetkahindi4791
@japhetkahindi4791 Ай бұрын
Hao ni wasaliti wakubwa tuwapigeni....klabu inamalengo makubwa wajinga hawaezi turudisha nyuma
@PaulinaPeter-n6k
@PaulinaPeter-n6k Ай бұрын
Huyu mwanasheria ni nandra sana kushinda kesi zinazo ikabiri Timu ya Yanga ata kwenye kesi za fifa tunashindwa kesi hovyo hovyo tu siju uwezo wa huyu mwanasheria itakuwa mdago
@user-zw9tv1pp3k
@user-zw9tv1pp3k Ай бұрын
Kuandika hujui alaf unasema mwanasheria atashindwa hivi viongozi waliipo Young African wasimi zaid yako na wamesoma zaidi yako we tulia kula mihogo yako ulale huyu msomi ni wakili mashuhuri
@user-qd7hf2hp2l
@user-qd7hf2hp2l Ай бұрын
Ni kuwafuta uanachama tu hao
@AmourMohd-b3z
@AmourMohd-b3z Ай бұрын
Haho jamaa ni wachawi wametumwa kuwaharibu
@ToyoboAndrea-he8fv
@ToyoboAndrea-he8fv Ай бұрын
Hawo wazee wakijipendekeza kuja yanga tunapita nao,
@SumiziBalungula
@SumiziBalungula Ай бұрын
Hao waliigeuza yanga kama ulis wao Sasa watakoma
@MickyDady-n4g
@MickyDady-n4g Ай бұрын
Apa Kuna Sanaa
@Mwamalejr-wg7pt2xm8n
@Mwamalejr-wg7pt2xm8n Ай бұрын
YANGA 💚💚💚💛💚💛💚💛💚💚🫂🫂🫂🫂🫂🫂
@frankmalimi3561
@frankmalimi3561 Ай бұрын
Wananchi huu ndio muda wa kupokea ushindi na mafanikio makubwa kisoka ,njinia kawa shika vibaya kabana Kila kona ndo maana wana weweseka hawajui mlango upi wakutokea Rais tupeleke kwenye asali na maziwa tunakuelewa sana hawajui tu
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku Ай бұрын
Daa nyie njaaa hizi aisee tukumbuke na kifo jaman Kwani ukiwa na fedha ndo hutoingia choon wazee wangu Kila mtu ana njaa lakini usioneshe kama una njaaa alaaa mpaka Kila mtu ajue kuwa una nuka shida wakati mwengine tujikaze siku za kufa zifike tukapumzike 😂😂😂😂😂
@MethodKunambi-xz6hm
@MethodKunambi-xz6hm Ай бұрын
Viongozi naomba muwachukulie hatuwa kalisana iwefundisho kwa wengine
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 Ай бұрын
Ninachowaomba changamoto yoyote iwe nje au ndani jitahidini kuishughulikia bila kuharibu mipango na malengo yetu naimani tarehe 8 hamtutuangusha ushindi muhimu na kombe tunalitaka yeyote anayefanya hila kutuchafua mtafute jinsi ya kuonyesha yanga ya sasa haichezewi kijingajinga
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Ай бұрын
Wafutwe uanachama mara moja
@GeradinaJohn-xh8pw
@GeradinaJohn-xh8pw Ай бұрын
Aseee hela inatafutwa hadi wazee 🙌🙌🙌 eti wazee wana busara🤔🤔🤔
@paschalrobert3852
@paschalrobert3852 Ай бұрын
Duuuh matepeli ni wengine
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Ай бұрын
Wale wazee wametumwa na Mangungu na Try again full stop ✋️
@BarickMwaitulo-tg5cf
@BarickMwaitulo-tg5cf Ай бұрын
Huyo magoma achukuliwe hatua za kisheria na viongozi wetu iwe fundisho kwa wengine wasiludie kuichafua club yetu
@kalanjelekela5525
@kalanjelekela5525 Ай бұрын
Injinia somga mbele hawa tuachie sisi leo naena mafia kwaajili yao
@isaacbywell7081
@isaacbywell7081 Ай бұрын
Tatzo huyu wakili msomi hajawai kushinda kesi hata moja.
@ahmednoor1412
@ahmednoor1412 Ай бұрын
Wewe umeshinda kesi ngapi
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Orodhesha hizo kesi zote za Yanga aliziwasimamia mahakamani Yanga ikashindwa!
@ahmednoor1412
@ahmednoor1412 Ай бұрын
Kolo mnateseka sana tarrh 8 mtafute pakujifichia
@GeradinaJohn-xh8pw
@GeradinaJohn-xh8pw Ай бұрын
Hao wahojiwe vizur nani aliyewatuma ndo point hapo????
@mudyAlly-yv8qg
@mudyAlly-yv8qg Ай бұрын
n kuwafukuza na kuwabuluza maakaman il mamb ya kujuana yaishe
@financemanager1711
@financemanager1711 Ай бұрын
In short Hawa wazee ni wezi
@user-ut3pb2pf5u
@user-ut3pb2pf5u Ай бұрын
kwàñí wàñàtàkà ñiní au wàñatakà túrúdi hukó huko kwàñí wao ní nañí jàmàñí na hatà hivó wàñàwéza kúeñdéshà timu màñà wañàtàkà kuvúrugà téñà jamàñí túñàómbà séríkàlí ííñgílie kàtí
@AdamMgonga
@AdamMgonga Ай бұрын
Wazee turieni acheni bifu na yanga tu
@kitovasaidi6753
@kitovasaidi6753 Ай бұрын
Kuna vitu vinafurahisha hivi kweli mahakama inashindwa jiridhisha hata kwa vitu vidogo hivi ni kichekesho kuwa na chombo Cha hivi kesi ya taasisi inaamuriwa na watu watatu?!😅😅😅😅
@ZakariaWarioba
@ZakariaWarioba Ай бұрын
Hawana maana hai waze
@hebethkiyola2900
@hebethkiyola2900 Ай бұрын
💚💚
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 Ай бұрын
Hao jamaa siyo wanamichezo ni wahuni tu eti wakabidhiwe nyaraka zote za mapato. Naomba uongozi wa Yanga uchukue hatua kali za kuahakikisha pia wanafungwa pamoja na uzee wao. Tena Kuna huyo mnyakyusa ndugu au kaka yangu ni mwizi afungwe tu.
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 Ай бұрын
Huyo hakimu naye pimbi huyo bwana aliyekuwa anawaklisha wadhamini alikuwa na power of attorney? Ni ujinga tu.
@josephmwangita7041
@josephmwangita7041 Ай бұрын
Nataka kujifuza mmeomba mda mahakaman jee mkinyimwa mda nn kitaendelea wasiwsi wanasiasa wameingia humo maali penye pesa watajipenyeza tu kama uongozi halamu mnataka mapato na matumizi halamu ya nn Kwan nyie mnatumia halam
@Beaskcop
@Beaskcop Ай бұрын
duuh haw azee wanatutafuta ety
@EmmanuelMuja
@EmmanuelMuja Ай бұрын
Kwani hao wazee wametumwa Sasa hawatuwezi
@kisinza6077
@kisinza6077 Ай бұрын
Hahahaha 😂😂😂😂😂 makolo nyie mtakoma, hiyo ndiyo mbinu yenu ya mwisho na imebumaa kuldadadeko!! Kolongada magaidi wakubwa nyie😂😂😂😂
@salomemongi1246
@salomemongi1246 Ай бұрын
Wapigwe
@SaidiMaige
@SaidiMaige Ай бұрын
Kwa nini km walifahamu swala hili tangu tarehe 26/&6/024.muda wote Kwa nini hawakuchukua hatua mpaka leo limekuja fukuliwa na media?hawaoni kuna tahaluki Kwa wanachama na washabiki na umma Kwa jumla?
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Hakuna taasisi yoyote.makini na inayojua uadilifu wa uongozi inayoweza kutoa hadharani masuala ya kiofisi kiholela.
@bethuelnjau4877
@bethuelnjau4877 Ай бұрын
Duuuh
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie Ай бұрын
Maumbwa kabisa
@amanizavala
@amanizavala Ай бұрын
Utopolo hatumtambui rais wenu
@elizabethelias3130
@elizabethelias3130 Ай бұрын
😂😂😂
@frankjohnsonkitundujohnson7189
@frankjohnsonkitundujohnson7189 Ай бұрын
Elfu mbili na ishirini na kumi gonga likw😂
@GeradinaJohn-xh8pw
@GeradinaJohn-xh8pw Ай бұрын
Muone nimecheka kishenzi😂😂😂😂
@EmmanuelMagabe
@EmmanuelMagabe Ай бұрын
Yang.kumbe.vibaka
@AzizaMwita
@AzizaMwita Ай бұрын
Mbele daima nyuma atuludi awo wazee tuachieni tutaishinao kitaa labuda wasitembee
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 Ай бұрын
Hao jamaa wafukuzwe na kushtakiwa kabisa.
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 9 МЛН
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 16 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 9 МЛН