MO hatuna cha kukudai. Tunamuomba Mwenyezi Mungu azidi kukusimamia. SIMBA NGUVU MOJA
@paullugola113Ай бұрын
Asante Sana moo kwa Elia mp anzu
@user-bl9og1vx8jАй бұрын
Pessa imehamisha mlima tulikaaa knyonge Sana tajir moooooooooo.............
@IbrahimMmandaАй бұрын
Nimefurahi sana kusikia mpanzu keshamalizana na simba
@EliyaKudaga-u4qАй бұрын
Mo Asante ... Ila nafikili kuanzia msimu ujao Simba Africa itakua Moto wa kuotea mbali
@HemedMjemaАй бұрын
Simba hatutaki maverani yaani katika kitu ambacho tajiri ametufurahisha sisi wana simba ni kukamilisha dili la mwamba elie mpanzu simba ni kubwa kuliko chama huyo feterani chama aende tu
@georgegregory8414Ай бұрын
Kweli tajiri hela iko kwenye mfuko wa shati
@bulengwamisiri5630Ай бұрын
Mnasema ukweli mpanzu amesain Simba?
@AdelaellyLucasАй бұрын
simba imetisha nani kam mpanz😮😢😮😅😊😊🎉
@nurusaid4596Ай бұрын
Kasi juu ya kasi🎉❤
@FahamuDaudiАй бұрын
Hapo Sawa
@YohanaSimon-kc3duАй бұрын
Kama Elia mpanzu tayri bas MO tunampa pongez maana tulimuhitaji Sanaa mpanzu
@OmarAli-d7mАй бұрын
VP
@user-tr8bq7pj9qАй бұрын
Tulikuwa kinyo tajiriiiiiiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂
@AliyyAli-ii1uzАй бұрын
Moo umetisha
@WiliamSulubesto-t4oАй бұрын
Me siamin mbona hajatangazwa kwa simba app
@VVIP_TVАй бұрын
Mpanzu nikwerii jamanii dah
@hssanrubota3891Ай бұрын
Siamini mpaka nimuone huyu dogo kama kweli huyu apewe namba ya Mesi 10
@ShafiiDauda-e9fАй бұрын
Tajirii huna baya babaaa ukifa hautaozaa kabisaa kwa hiki ulichotufanyia wana simba Allaah akuzidishie japo tunajua kuna watu wanteseka sana kwa hiki ulichokifanya😂😂😂😂
@AnjelaPhilipoАй бұрын
Aje jmni aje tu tukamilike
@user-ff1it9og8yАй бұрын
Simba nguvu moja moodweji ukifanikisha kwa Elie mpanzu it is good Moo Simba ama Jonathani itapendeza sana hapo itakua mwisho mwisho kabisa❤❤
@user-yu2hh7kh8oАй бұрын
wake waliokua wanasema mo hafai Simba wakowapi mbona hatuwaoni pumbavu zao
@yohanessanga8720Ай бұрын
sasa ni wa furaha🙏 tajiri mo
@ProvidenceMaligaАй бұрын
Mo. Mo. Mo. Oyeeeeeeee
@lucasthomasludovick1629Ай бұрын
Kwa mpanzu poa sana
@hamisimsosi6237Ай бұрын
Kama mpanzu amesain bac hayo makombe yoyote wayakabidhi msimbazi haraka sana huyu mwamba ni hatali jamani hii ni balaaaa jamani😅😅😅😅😅😅😅 moo siyo mtu wa mchezo chezea pesa wewe😁😁😁😁😁😁😁😁😁♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-yu2hh7kh8oАй бұрын
uyo manala Kuma tu uyo zelu zelu alokosa akili
@StanleyLabanАй бұрын
Mo,,n mtu mhim Sana unyaman
@JilalaMabula-cg1zpАй бұрын
Mashine ya kazi
@EliasCosmas-qp6gnАй бұрын
Tajili Hana baya ❤❤❤❤❤❤❤❤❤apewe maua yake
@DavisRuiz-ut4wrАй бұрын
Woooooooow😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@user-sb8uv4nx6vАй бұрын
Watatukom hao utoporo😂😂😂😂😂
@linahmhoya1641Ай бұрын
Simb nguv1
@AmiriMaguoАй бұрын
Nikweli Lakin jmn au zuga tu ili tupoe
@HemedMjemaАй бұрын
tajiri hafokewi tajiri haringiwi tajiri akiamua jambo lake hakuna kiumbe yoyote yule anayeweza kumzuia kumbukeni mo dewj nitajiri mkubwa sana tanzani na africa kwahiyo hayo ni mambo ya kawaida sana kwa tajiri hii ndo simba hatutaki maveterani
@AmiriMaguoАй бұрын
Tajiriiiiiiiiiiiiiiii umemalizaaaaaaaaaaa kila kituu
@georgegregory8414Ай бұрын
Tajiri umefanya makubwa malizia moja tuu mpanzu mo wewe ni mtu wa maana sana
@AmiriMaguoАй бұрын
Tajiriiiiiiiiiiiiiiii umemalizaaaaaaaaaaa kila kituu
@AmiriMaguoАй бұрын
Tajiriiiiiiiiiiiiiiii umemalizaaaaaaaaaaa kila kituu