SUBSCRIBE NOW UWE WA KWANZA KUONA:👉🏾 bit.ly/3MraYdQ
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Naipenda sana global na milardayo TV za uhakika bsun wanaongea uongo mwingi sanaaaa
@yusraabdallah42882 жыл бұрын
Wigi ni dhambi amebadilisha maumbile aliyo umbwa kwenye dini yetu ya kiislaam
@ayshamahariq66652 жыл бұрын
@@margarethpolepole7438 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@idaaman74892 жыл бұрын
ana confidence in beyond. honestly siku yke ipo ya kuunbuka
@gracekadzo17672 жыл бұрын
Kabisa
@noraazan91242 жыл бұрын
Ukimsikiliza huyu kaka vizuri utagundua ni muongo sana
@halimakindamba48832 жыл бұрын
mmmmh Huyuuu Hata Hajuiiii WHAT IS LOVE KHAAAA😢😢😢😢😢
@salomewandya72572 жыл бұрын
Tapeli huyu
@celline31482 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akusaidie Diva ulipoangukia Mungu akupe macho ya Roho kilio kilichoko mbele yako ni kikubwa sana mdogo wangu Mungu Mwema akusaidie.
@gracekadzo17672 жыл бұрын
Kwa kweli amsaidie
@celline31482 жыл бұрын
Yaani tena haraka kabla siku za maombolezo hazijamfikia
@davidvictoriousdv Жыл бұрын
Yamemkuta sasa, maombolezo.
@unknownafrica55682 жыл бұрын
Duh muogope mmungu ww kama pesa mbona ww ujitibie kwanza uwe na pesa .dawa kama ugojwa sawa ila. Sijui utajiri au mtu kuolewa ni uongo hiyo anajua Allah
@alwiyad19772 жыл бұрын
Misri hakuna hadharal maut, ni mji uko yemen na wa Yemen wanajua duuu jamaa muon go but diva attracted her style kicha Kama yeye
Apana kakangu wigi na mtandio tofauti wewe usisemi ivo apo hauko sahihi ni kumuombea pole pole tu Allah amuongoze
@fatmaallyabdul17322 жыл бұрын
Unajiita shekhe halafu unasema unasema unasema unawasaidia watu kuroga,waliorogwa.sijui mapenzi Allah atuhurumie
@jareengeorge54782 жыл бұрын
Kwendraaaaaa.ndio unapenda Sana umaaarufu.acha uongooooo.
@serahrobath76852 жыл бұрын
Umeongea vizuri
@zainabusabas74212 жыл бұрын
Mganga msanii kwa ushekhegani kutwa kuloga wanawake ulale nao mfyuu na wanawake wengi tunaingia mkenge kwakupenda walamba lips
@ahyatibenn57192 жыл бұрын
mnafiki mkubwa, anasahau anavyowanyanyasa wanawake kwa kutumia dawa kisha anawalala..
@binhussain34452 жыл бұрын
Tobaaaaaa
@zainabufeka872 жыл бұрын
Huyu shekhe ubwa ubwa tuu anataka utamu kwanza niaibu mwanaume waivi eti sheikh tumuogope allah
@RajatSharma-uq7pz2 жыл бұрын
Abdul ww ni shehena sio sheikh, Una halalisha wig
@maisarah68192 жыл бұрын
Kuusu kajala na harmonize Sheikh nmekuelewa.
@ambrosiamlinga84022 жыл бұрын
Vyombo husika vichunguze na kumchukulia hatua huyu abdul, inaoneka anatumia uganga wake wa kienyeji kama sehemu ya kuwapata wanawake wenye matatizo/emotional na kuwalaghai kisha anawatumia kingono. Hili ni swala ni very serious.
@salomewandya72572 жыл бұрын
Litapeli hili
@kiehbhzh70442 жыл бұрын
Abdulazaki anasauti ya kuchombeza akaerewa na wadada lkn anaonekana ni mtu mapenzi sn anapenda sex na anaonekana ni muongo mnoo kuwadanganya wadada🤞
@dullah__theking95292 жыл бұрын
Sema huyu mwamba ako na Akili mingi sana🙌
@dismasstanslaus59852 жыл бұрын
Wewe unaakili sana ,jamaa yupo smart mno
@ruckiadady38122 жыл бұрын
Dah
@maryamalhajri58862 жыл бұрын
Misri ni Egypt n.a. hathar mout ipo ndani ya yemen
@eyabdimaha36982 жыл бұрын
Kwa sifa za diva hio mimba angekua nayo kweli nahisi angepima mkojo live akatuonesha results anyway zaidi nyinyi ndio mnajua na Mungu Namalizia kumpa pole kama kweli
@berthamahangila44622 жыл бұрын
Hakuna cha mimba hapo ni drama tu
@ummySheikh722 жыл бұрын
Hakuwa na mimba mipango yao tu ya kutaka kupiga pesa mjini
@jennylunsinde97702 жыл бұрын
Jamani nina swali. Je navipi mwanaume ambae hakubali kutengenezwa
@rahmarajab36882 жыл бұрын
Eti "MIMI NI SHEIKH, Wajua maana ya sheikh wewe,, Acha Bangi zako weweee!!!
@fhyubhhh28812 жыл бұрын
TAPELI HILI NUMBER ONE
@salomewandya72572 жыл бұрын
Kabisaa ni tapeli mkubwaa
@zulfaomari85552 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه2 жыл бұрын
Unaunjanja sana we mganga kwakujitetea hujambo na kutunga uongoo acha hizo tabia 😂😃😃😃😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
@bakariomari87582 жыл бұрын
Huyu kaka nimuongo na hajui lolote kuhusu uislamu na amuogope mungu. Kwanza uislam ni haramu kuvaa wigi. Alafu hadharamut haipo misri. Huyu ni conman wawazi
@raghad.28012 жыл бұрын
Kweli kabisa tapeli shek gani
@maalimabdhuli62132 жыл бұрын
Kabisa muongo sana, huo mji uko Yemen na yeye anasema uko Misri.
@fatmaabdul27122 жыл бұрын
Huyu ni taperi kabisa mshezi kabisa
@njumamussa4012 жыл бұрын
Hongera kwa kufunza jamii
@thieryniyonkuru50232 жыл бұрын
Jamaa amekili “ hawezi kuishi maneno yake 100%”
@zoozzoz98792 жыл бұрын
Mmmmh...Tapeli wetu
@MohammedAli-rh5si2 жыл бұрын
Mm nafanya hospital mahusiano yangu mengi nayapata hospital ivyo ni kawaida
@zuwenaalamin89852 жыл бұрын
Ebu acha upumbavu wewe usijiite shekhe kbs juu ya huo upumbavu wako au hujui maana ya shekhe.huyu jamaa ni Mjanja Mjanja sanaaa kiukweli na ipo siku atapata aibu hatakuja kuamin ktk maisha yake
@hanifa91532 жыл бұрын
Tena mchana kiama acha ajimwambafai iko cku yatamtokea puani hata amini muache azidi kpoteza hao wanawake wallah ni mbaya sana kktana sana na mwanaume anaejifanya kama ivi alafu hana imani yakmuogopa mola wake ee ogopeni siku mtakae rejeshwa kwa Allah dunia ni sitarehe ndogo yenye kpmbaza
Mwanangu nimekukubali kwa 100% hivo ndo mwanaume anatakiwa awe, we kamanda wangu kabisaaa 👍
@felistersmejumaa51882 жыл бұрын
🙄🙄🙄
@neemayatosha16182 жыл бұрын
@@felistersmejumaa5188 😅
@salomeandrew41482 жыл бұрын
@@felistersmejumaa5188 😀😀
@aminahassan35882 жыл бұрын
Hadhramaut iko yemen shehe
@faridamhunga75482 жыл бұрын
Nyoko mtandio na wig n vitu vi2 tofaut
@missmoona44972 жыл бұрын
Wewee usililembe wee jina mganga🤣🤣🤣🤣🤣ww ushaitwa mganga wa diva🙌mange et mganga wa diva🙌🤣🤣
@mishiabdu74782 жыл бұрын
Dah hy hajielewi
@sashahauke20322 жыл бұрын
Safi sana hii ndio dawa ya diva alikua anaringa sana hapo diva utaimba haleluya 🤣🤣🤣utasoma no my dia hakuna ndoa mama hapo
@salomewandya72572 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@fatmarashid31372 жыл бұрын
Uwii sheikh abdulazak mbona hapo umetukoroga?
@btylove18702 жыл бұрын
Huyu baba hapana aise 😅😅😅
@happymrema67282 жыл бұрын
Ni kweli
@shumesaalhabsi17222 жыл бұрын
Hata mimi nataka namba ya abdul razaq ninamasuar mengi sana
@queentanitah13462 жыл бұрын
Hadhramaut haiko Misry muongo wewe. Hadhramaut iko east-central Yemen, on the Gulf of Aden. Waongopee hao waliokuwa hawakusoma na hawajui.
@neemayatosha16182 жыл бұрын
🤣🤣🤣 kwahiyo inamaana hiyo psychology hajasoma. Yaani nisome Mzumbe Morogoro alafu niseme iko Mwanza.
@sumeyaahmed4187 Жыл бұрын
@MissHaffy. والله نحنا اليمن هههههههههههههه كذاب هذا الشيخ
@yousramutwale24632 жыл бұрын
Kuusu umarufu apana sabab nilimjuwa uyu Abdul razak Toka zamani sio kwasababu ya diva
@kulway46692 жыл бұрын
nimecheka sana
@chemstry4092 жыл бұрын
Hahahahahaa...huyu jamaa TAPELI...kweli...😆😆
@michelinemapendo66522 жыл бұрын
yapeli mukubwa uuuwi 🤣😂😂😂🤣🙌🙌🙌🙌
@honeybaby71202 жыл бұрын
Kweli jaman
@husnamadai70522 жыл бұрын
Mwenyewe hajielewi kwenye mahusiano mbona hukumtengeneza Sabrina awe bora ulimtengeneza kwa manyanyaso
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه2 жыл бұрын
Hapo sasa wanaomsikliza huyu shubamiti wamsikilize tuu ila so kwangu bd hajanifunza kitu hata
@veronicapotas57062 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂nyie mi sina neno ngoja niendelee kuenjoy na usingle
@hamidaalhabsi85682 жыл бұрын
Huyo ni Doctor Wazimu ukimuangalia hali yake anatakiwa akajitibu kwanza halafu ndio ajiite Doctor wa mapenzi kuna wanawake wa napenda kutumia moyo pekeyake bila kutumia akili Misiri shele gani Misiri kubwa watazania mnapenda kufeki ampendae mke wake haondoki hata kama inauma inauma kwako wewe na yule alieubeba ujauzito huo ni uongo
Mkubwa mungu tu punzi na chakula umesikia jina lako apo acha izo
@WinWilly41622 жыл бұрын
Huyu huwa haponi kwenye mapenzi ndo maana anaishia kuumiza watoto wa watu
@rosehaule67652 жыл бұрын
Hyu kaka mjanja sana akili nyingi umshindi kuongea yupo na confident safi sana kichwani yupo vizuri kwakweli😂😂😂 yote wanayomshutumu binadamu wote wanafanya au wanaume wote wanafanya binadamu atujatimia ,. Mjanja sana bid up mwandishi pia umehoji kirafiki
@zayoumaus82352 жыл бұрын
Asalalaa😂😂Eti wingi ni mtandio😂😂😂🤣🤣😂🤣😂shekhe shikamoo
@zuwenasaleh96132 жыл бұрын
Hahahaha hatari voo
@Assam88852 жыл бұрын
😅😅😅😅😅asalalaa nimecheka😅😅
@joleenmasha2 жыл бұрын
Eti ku sacrifice mwili wake kwa kuwa fame? Watu hufanya hivyo, huyo jamaa ni mjanja sana
@berthamahangila44622 жыл бұрын
Dr wa mapenzi huwez ht kumkata kucha mkeo😀😀😀😀😀huyu ana maigizo
@felistersmejumaa51882 жыл бұрын
Maake kwanza hapo ncheke mie 🤣🤣🤣 Eti Diva alipendewa shape nae 🤣🤣 kaka muongo ww alafu mjanja kweli
Kweli ata mimi msikilizaji nnamadeni kibao na nnawadai watu kibaooooo
@alsam48812 жыл бұрын
Huyo jamaa ni mjanja, muongo na ni tapeli mkubwa Shekhe ukoko.
@michelinemapendo66522 жыл бұрын
wanaume waki bongo khaaaaaa mimi na Mange kimambe niwazungutuuu 🤣😂😂😂😂😂😂
@clintonmathias46032 жыл бұрын
Liongo mweee so iyo compn imtak wem wamtumie yey kwa umaarufu gan
@michelinemapendo66522 жыл бұрын
kaka uyu anachow kalikabisa😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
@sidrasidra86162 жыл бұрын
Hilo jina la sheikh tafadhali mslimuite mwiteni jina lake
@ashahassan1877 Жыл бұрын
Nikweli huyu nibaba nikaka mnajipatia madhambi bure alafu mtakuja juta
@christinaonditi93412 жыл бұрын
Nani anampenda mwenzake zaidi ya inajulikana.
@neemayatosha16182 жыл бұрын
Dah!🤣🤣🤣 au basi!
@farhannahkulishwaburekunam5360 Жыл бұрын
Mtu mwenyewe wa kupendwa yukuwapi hana mpango kwanza hayo macho gani
@ashahassan1877 Жыл бұрын
Ubaya wake Nini wanaume wote waongo wakweli wapo peponi tu huyuni mume boratu natamani awe mumewangu ilacjui wapi nampata nanita muheshimu Sana nawa Toto wake pianitawapenda chai nitakuwekea shekhe njoo kwangu😄😄😄🍉
@skeetergodwins25762 жыл бұрын
Huyu kijana anaonekana sio mkweli. Uso unasema mengi.
@yousramutwale24632 жыл бұрын
👌
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه2 жыл бұрын
Muongoo kamuacha diva jamn loooh
@ambokileasheengai11402 жыл бұрын
HUWEZI KUMTENGENEZA MTU ,,,KWANZA MNAINGIA KWENYE MAHUSIANO KWA HOBBY NA DESTIRI ZA MAISHA ZIENDANE KIDOGO,,OTHERWISE KAMA WAZAZI WAKE WALISHINDWA KUMTENGENEZA NDIO UTAWEZA WEWE,,,ACHA UONGO WEWE.....ULICHOKIFUTA UTAKIPTA
@guenterernst54812 жыл бұрын
Kwani diva amekukosea nini hata umuache na anakupenda sana hata haya huna mrongo mkubwa unachezea wanawake KWA vile unajiona Handsome mbaya wewe
@gloriamkude71722 жыл бұрын
Kakayuko sawa big up
@vickieeddie22302 жыл бұрын
yaani ukiona mwanaume anaongea ongea hivyo ujue hamna mtu hapo yaani hiyo mdo sign ya kwanza ya kumjua tapeli huyu bro yupo vizuri tu kama binadamu ila mjanja mjanja sana kwenye mapenz hayupo real...
@marthagodson44472 жыл бұрын
Duuuuuuuuh haakuna mume
@Jassmin-media-official2 жыл бұрын
Matapeli wamekutana eti bank zinadawaiwa maneno gani hayo
@shamilaalhabsi9092 жыл бұрын
😂😂😂😂😂hadharamaut ni Yemen vp imekuwa misri doooo uongo umedhihirisha😀😀😀
@nishaabdula50152 жыл бұрын
Yn Kaka tapel uyu htr
@ashaally69932 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Diva kuchamba kwingi Umewezekana
@Pedeshee012 жыл бұрын
Kupenda walamba midomo,bora mimi nije kukuchukua aisha
@fhyubhhh28812 жыл бұрын
Ma-love hauna na hauyajui halafu wajiita dr LOVE pumbavuu kafiee hukoo
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Kwan ni kweli ndoa chalii🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️ 🤣🤣🤣Ndoa za wasanii Kama muvi
@irenechris54182 жыл бұрын
Siasa za uongo nyingi sikupendi
@fatmareshed99752 жыл бұрын
Huyu sitaki hata kumsikiza jongooo
@ahmadzubeir33632 жыл бұрын
Sheikh mimi mwanafunzi wako naona umeniacha kipindi kireefu. Nituie ticketi ya ndege nije tufanye kazi kama zamani Sheikh wanguu.
@zulfaomari85552 жыл бұрын
Tatizo huyu umalaya na kujiramba2
@khadijajuma19122 жыл бұрын
😂😂😂kwakwel dakika 5 hii kitu ni pasua kichwa aiseee
@pracxedismathias55552 жыл бұрын
midomo na macho tuu vinakutambulisha kuwa wee ni katapeli fresh🤦
@Lewinglovbi66992 жыл бұрын
Umesema ww ni doctor wa mapenzi Leo umeumbuka ndugu yangu 😝😝😝 katika mapenzi usijisifiye eti upo pingwa wa mapenzi no
@raiyanmohd82612 жыл бұрын
Mh mtihani huyu mapepe kwenye uislamu Hakuna kitu mahusiano yy ana shajiisha zinaa hana ushehe wala nn ni ao ao vijana wa mtaani
@mussakiziyzi4082 жыл бұрын
Duh jamaa kamba kaali. Kasomea misri sehem inaitwa Hadramout. Misri na hadramout wapi wapi boss
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Hiyo ndiyo kazi yao waswshili kuachana hovyo kuoana jumamosi kuachana jumapili hicho kwao siyo kitu cha ajabu sana
@antybabybintrashid23332 жыл бұрын
Usitukane wakunga uzazi ungalipo alaf kuoa na kuacha ni tabia ya mtu sio uswahili
@berthamahangila44622 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀eti shape😄😄😄😄diva ana shape gan, baba mwongo huyu
@binhussain34452 жыл бұрын
Mapenzi ndio yalivyo Dada yule unayemuona mzuri mwingine anamuona vibaya sasa Hayo ndio Mapenzi..Halafu shape ya Mwanamke inaonekana vizuri akiwa uchi🥰🥰🥰
@furahahappiness1102 жыл бұрын
@@binhussain3445 Apo kwanza nicheke 🤣🤣🤣🤣 Eti shepu ya mwanamuke inaonekana akiwa uchi
@zayanaalmarjibi42542 жыл бұрын
Umri wa kuzaa umeshapita, na mwanamke akutembea na wanaume wengi si rahisì kuzaa
@farhannahkulishwaburekunam5360 Жыл бұрын
Mwanaume mzima ati kusema ati naogopa kurogwa huna mpya mbona wewe unawaroga wanawake ili wakutake
@annakattoa75022 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 jamani Mganga huyu ukimsikiliza usiwe seriouz ww furahi anaongeza mda wa kuishiii ujue yaani nacheka mbavu sina hapaa
@rayrayndiema2 жыл бұрын
😂😂😂
@nemapare36112 жыл бұрын
Huyu amepotosha umma wa kiislamu. Wigi katika sheria sio stara bali ni haraaam.
@beatricerading59842 жыл бұрын
This guy is a real womaniser,Penda yeye Sana..
@guddenhazard66862 жыл бұрын
So you love kwasababu ni womanizer?
@reyyathu89782 жыл бұрын
What do you mean lol why are you contradicting your statement..is being a womaniser something to be proud of .jinga