Nitavuka na changu kwajina la yesuuuuuu nakataa roho yakukata tamaa huzuni kutojiamin naomba Moyo wa uvumilivu kwakila hali nitendee MUNGU wangu mwaka ukawe wabaraka namazuri kwangu Amina 🙏
@AngelPeter-b7s9 сағат бұрын
Nabarikiwa sana na mkesha huu naamin kesi yangu imefutwa kwa jina la yesu
@AmaniManase-x1i2 сағат бұрын
Nimevuka na changu tayari mimi na watoto wangu,mke Wangu,mama yangu na familia yangu yote kwa ujumla na mali zangu zoooote ameen❤❤❤❤❤
@AnnaEmma-h4r5 сағат бұрын
Ameeen 🙏🙏
@emmanuelmasatu12 сағат бұрын
Kuna watu wakisemwa kuwa ni mawakala wa shetani huwa sipingi. Lakini Mwaposa kiukweli huwa na mtoa kabisa kwenye kundihilo. Usiku wa kuamkia leo nilifanya maombi malefu bila kuchoka, nakumbe kimwili nilikuwa peke yangu lakini kiroho niliungana na kusanyiko hili bila mimi mwenyewe kujua wala sikuwa na taarifa za mkesha huu.
@sundawnsmedia66595 сағат бұрын
Pascal Cassian yuko Studio anarekodi kipindi muda huu 😂😂😂
@MeshackMsigwa-q2n10 сағат бұрын
Mungu akupe miaka mingi ya kuixhi mtumixhi wa mungu
@mgswahili399313 сағат бұрын
Asante Mungu kwa mkusanyiko mkubwa kama huu kwa ajili yako.
@MagangaJoseph-nc6xh3 сағат бұрын
Mungu mwema ❤
@lovenesalphonce338011 сағат бұрын
Mungu Nitendee nivuke na changu
@GreysonMdee-x3n11 сағат бұрын
Ni masikitiko makubwa sana eti mpaka leo kuna watu bado wanaamini Yesu ni Mungu na ukristo ni dini ya haki, huu ni msiba mkubwa sana. MWENYEZI MUNGU awanusuru.
@oscanyakunga11 сағат бұрын
Bwana akurehemu usichokijua omba dua zako kukijua mfano sis tuliyeherimishwa na dini atuwezi kutusi dini za watu,
@JonathanNelson-l8h10 сағат бұрын
Sisi wenyewe hatukuelewi na uislamu wako....mbona hatulii na dini yenu mnatuwaza sana kila mtu akae kwake na atulie😂😂😂
@Diemeoscar9 сағат бұрын
God is good 😢😢
@mgswahili399313 сағат бұрын
Mungu mkubwa 2024
@lydiaboston11418 сағат бұрын
Navuka kwa Jina la Yesu
@AlexnderAnzigat13 сағат бұрын
❤❤❤
@BakariAdamu-h1k9 сағат бұрын
Waliopotea 😅😅
@eliajoakim88929 сағат бұрын
Uko vizuli sana
@davidmalahya623211 сағат бұрын
Ameen
@PiusKimaro11 сағат бұрын
Kaz mnayo waumin wa mwamposa.na hiyo ni kwasabab wanaimani haba
@oscanyakunga11 сағат бұрын
Wakihabudu waacheni
@JonathanNelson-l8h10 сағат бұрын
Tulia na dini yako ya mwamposa hayakuhusu kaa na utulie😂😂
@AmaniManase-x1i2 сағат бұрын
Tatizo unasumbuliwa na umbea wa kufatilia ya watu ungejua imani iheshimiwe wala usingekuwa na nguvu ya kusema hayo