asee hao jamaa Mungu awaongezee sana sana sana, ila chad tallent hyo nyimbo ulioimba hapo fanya uitolee cover tafuta kabeat kazuri imba hyo nyimbo aki itaenda viral sana utanishukuru mimi binafsi nimeipenda pia ni funzo maana vijana pamoja na watu wengi saivi pombe na vilevi vimekuwa ni starehe kwa kiwango kikubwa na pia sio vichwa vyote vinaweza kumudu na kuvumilia kutoa kauli mbaya na vulugu.