🔴

  Рет қаралды 37,860

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

🔴#Live: QUEEN MASANJA AFUNGUKA KUMMIS BABA WATOTO WAKE DR MWAKA - AFICHUA KINACHOMPA JEURI MJINI....| MAPITO
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 167
@globaltv_online
@globaltv_online 3 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@TheFire_Gamer
@TheFire_Gamer 3 ай бұрын
Kutangaza vote hivo hujajenga?pole
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 3 ай бұрын
Queen Mimi Shabiki yako no.1, Yesu Azidi kukuinua sana sana,big up
@Zainabumsafiri
@Zainabumsafiri 3 ай бұрын
Nampenda sna hyo dada mung azid kufungulia kila khery ktk hatua ya maisha yke
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Qeen Masanja yuko vizuri sanaaaa namfurahia kutoka na kufurahia maishacyake mapya anajiweza kwa kweli nampenda na ni mama anajismini mungu ampe afya nje aweze kulea wstoto wake kwa raha
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
HUO Ni USHAMBA. kwani kwamumewe alikuwa hashibi au havai?. Ni USHAMBA TU wa maisha na kujianika ichi mtandaoni. kujikosesha heshima na kuamua kuishi maisha ya mbuzi pori
@SmilingElectricGuitar-wz3ij
@SmilingElectricGuitar-wz3ij 3 ай бұрын
Huyu Dada mzuri mashalah
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
Kaoe basi hili zere
@themaestro-24
@themaestro-24 3 ай бұрын
Queen Mungu amekuinua na umetoka kifungoni mshukuru sana Mungu.
@joycehaule9717
@joycehaule9717 3 ай бұрын
Anapendezea sana kua MBUNGE HUYU DADA
@NavoMasegenya
@NavoMasegenya 2 ай бұрын
Ni kweli kabisa mama Umi mwalimu kaweza kazi iendelee .....
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 3 ай бұрын
Umenenepa Sana dd punguza pumzi jujuu.
@BibieMakame
@BibieMakame 3 ай бұрын
Nampenda huyu dada
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤nakupenda sana dada yangu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@hawa6052
@hawa6052 3 ай бұрын
Ila queen anaakili❤
@FatumaMsala
@FatumaMsala 2 ай бұрын
Nakupenda sana dada umekuwa mfano kw wanawake wenzio
@pceodhc
@pceodhc 2 ай бұрын
Hongera sana dada! Uzidi kung’aa! 🎉
@generosennko8343
@generosennko8343 3 ай бұрын
A very talented, brilliant mind, composed, beautiful, independent minded woman. Thats Queen. Gods blessings to you. Keep going strong daughter
@joycehaule9717
@joycehaule9717 3 ай бұрын
Huwezi amini mimi nilikua najua yupo serikalini aisee hongera sanaaa .....unafaa kwakweli kwenye kampeni MAMA NA ASIKIE HILI JAMANI
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 3 ай бұрын
Kwa kawaida wanaume ikitokea amekuacha huwa anapenda kuona unapalala yaani umsujudie. 😅yaani kama namuona dk upala huko aliko
@zainabwage4658
@zainabwage4658 3 ай бұрын
😂😂😂
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 3 ай бұрын
Kati ya Queen na Dr. Mwaka nani alimuacha mwenzie? Dr. Mwaka alipambania sana penzi lake but Queen alikaza
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 2 ай бұрын
​@@fadhililihinda6491Mwaka anapenda wanawake nakusahau waliotangulia
@hamadiayossy
@hamadiayossy 2 ай бұрын
Nani Sasa kamuacha mwenzie,au ndio unatetetea tu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
Hawa wanawake wanaodai talaka wengi WAO ni WASHAMBA WA MAISHA TU.
@MyasaAbdullah
@MyasaAbdullah 3 ай бұрын
Mashaallah amependeza❤❤❤
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 3 ай бұрын
❤ Q M. Mahusiano ni mazuri LAZIMA iyooooo❤
@DeborahSichone-b9c
@DeborahSichone-b9c 2 ай бұрын
Mwacheni dada wa watu mnapenda kuwakataa watu mwacheni qeen alilia sana muumba anampenda
@DeborahSichone-b9c
@DeborahSichone-b9c 2 ай бұрын
Qeen nakupenda lea watoto fanya kazi acha wachawi wamalize vyungu usijali maneno siyo risasi hauta kufa watu awapendi wengine wafanye vizuri acheni roho mbaya
@AliMgana-u7r
@AliMgana-u7r 2 ай бұрын
Amenable bora kuheuka kuliko kukaa kwa mume, fikiria kesho kwa Mungu.😊
@fatumakiwera7145
@fatumakiwera7145 2 ай бұрын
Mungu atampa mume mwengne, ulitaka ateseke kule had ukiona mtu anataka kuachia ndoa yake ujue Kuna kitu
@estamichoromichoro5634
@estamichoromichoro5634 3 ай бұрын
Kusema kweli waga nampenda sana huyu dada
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 2 ай бұрын
NAMPENDA SANA HYU MAMA.MUNGU AMUWEKE YY NA WANAE♥️♥️♥️🙌MUNGU ATAKUPA NYUMBA QUEEN.dr year na upala wake atakua chini ww utakua JUU.DUNIA NI HII MUACHE AJADAI NA YULE LIMKE LAKE SURA MBAYA KA PARACHICHI
@GraceNkoba-nx6jy
@GraceNkoba-nx6jy 3 ай бұрын
Jmn, mbona mnarudia sana matangazo. Kah
@KisaliAgrovet
@KisaliAgrovet 3 ай бұрын
Daaaaa,mbona story nyingi? Nenda kwenye lengo.
@Pina-ed3bn
@Pina-ed3bn 3 ай бұрын
Nampenda sana huyu dada ,mimi mkubwa sana kwake,ila ananifundisha kitu kikubwa sana,ni jasiri sana
@happinesspascalnyambita8426
@happinesspascalnyambita8426 3 ай бұрын
Uyu mama nampenda
@mwaget0815
@mwaget0815 3 ай бұрын
Mtangazaji umeongea sana. Wacha aongee tutaelewa na kujua Queen ni mtu wa aina gani
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
MWANAMKE ALIOSHINDWA NA NDOA YAKE HUJUI TU NI MTU WA AINA GANI!?😂. LABDA USHAMBA
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 3 ай бұрын
Maneno mengi sana mtangazaji hebu fupisha manenobuna bore.
@gracemwakibolwa7910
@gracemwakibolwa7910 3 ай бұрын
Yaani kama ulikuwemo moyoni mwangu.
@vincej9275
@vincej9275 3 ай бұрын
Kweli kabisa.
@margaretnyamwilahila292
@margaretnyamwilahila292 3 ай бұрын
Dhu!! Huyu mtangazaji kawa mweupe lini jamani!!
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@DeborahSichone-b9c
@DeborahSichone-b9c 2 ай бұрын
Dar hiyo chuo kikuu
@azzahmachoz3224
@azzahmachoz3224 2 ай бұрын
😂😂😂
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 3 ай бұрын
Mtangzaji punguza maneno mengi
@Sangaadam
@Sangaadam 2 ай бұрын
Utasema anajioji yeye mwenyewe, khaa....
@MadinaAbduKyabazinga
@MadinaAbduKyabazinga 2 ай бұрын
Yani ata kutangaza ajui sjui wanaangalia vigezo gn kumpa mtu ajira😂😂
@machakuroger7068
@machakuroger7068 2 ай бұрын
Anauliza swali halafu anajibu yeye: eg. Unauliza "ni Kiongozi wa kiume unamkubali" halafu unamwambia unamuonaje Makonda
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 3 ай бұрын
Mtangazaji ndugu yake Kajala?
@DamarijohnsonAcyoo
@DamarijohnsonAcyoo 2 ай бұрын
Miaka 37?mmmmm jaman....
@ayshamohammed7106
@ayshamohammed7106 3 ай бұрын
Unaongea Sana MDA mwingi unaenda mpaka MTU unaboeka
@zainabusabas7421
@zainabusabas7421 3 ай бұрын
Mimi naona na data 😂😂😂😂
@samochristopherroche9953
@samochristopherroche9953 2 ай бұрын
Kwani ukijibu kuwa huwa unammiss dr mwaka kunashida gani
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 2 ай бұрын
Napenda kukutana na uyu mdada nampenda bule
@huldamichael4445
@huldamichael4445 3 ай бұрын
Single mother au single parent??
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
SI USHAMBA UMEWAZIDI😂😂😂. HUYO SINGLE PARENT NI YESU TU (NABII ISSA AS). WALIOBAKIA NI WAZINZI TU NA WASHAMBA HAKUNA SINGLE MATHER WALA UKURUTU WAO😂
@FaridaKaduguda
@FaridaKaduguda 3 ай бұрын
Mbona km ana hasira na dkt mwaka? Anampenda bado?
@ummuwawili
@ummuwawili 3 ай бұрын
ukiwa na akili timamu mtu aliyewahi kukumiliki na akakuzalisha huwez kumchukia ht km mkiachana😊
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
​@@ummuwawiliHUYU MWANAMKE USHAMBA ULIMZIDI. MWACHE DUNIA IMFUNZE
@HappinessSawe
@HappinessSawe 2 ай бұрын
Mtu anasema hatak aina ya maswal bado unakazia...aah mnakera sana
@ashaathuman2063
@ashaathuman2063 3 ай бұрын
Fika newtastekiomboi kwa misosi ya kiwango
@samochristopherroche9953
@samochristopherroche9953 2 ай бұрын
Huyo hawezikosa mwanaume
@veronicasarita8422
@veronicasarita8422 2 ай бұрын
Haikuhusu pambana na yako kenge wewe
@alexanderkapinga700
@alexanderkapinga700 3 ай бұрын
Naona sifa nyingi sana kwa huyu Dada lakini nawaonya tu ogopeni sana mwanamke aliacha ndoa na kuamua kuishi mwenyewe mtakuja nikumbuka baadaye.
@spreadlove5300
@spreadlove5300 3 ай бұрын
Kwani yeye ndo wa kwanza?? Jielimishe ndoa ni ya wawili ikishakuwa hakuna maskilizano kuachana ni lazima 😮
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 3 ай бұрын
Sasa aogopewe kwa nini,yaani ulitaka afe na magonjwa ya zinaa au na stress za kuona mwanaume anahangaika,mtu kakubali uke wenza bado wanawake kila kona na mtoto juu,kheee we baba hebu mwache dada wa watu. Hakuna mwanamke anafurahia kuiacha ndoa yenye amani,akahangaike na watoto pekeake
@alexanderkapinga700
@alexanderkapinga700 3 ай бұрын
@@neemayatosha1618 sawa tuendelee kunywa mtori tunakuta nyama chini
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 3 ай бұрын
muongo wewe tena sana tena hujitambui wanaume wasiojielewa ni wa kuacha kwa faida ya watoto na watoto huwa wanaendelea vizuri sana
@alexanderkapinga700
@alexanderkapinga700 3 ай бұрын
@@joycemfuru4752 sawa kama umelelewa na mama peke yake ni lazima utatetea ila nimesema tuendeleee kunywa mtori nyama ziko chini.
@jadetoto
@jadetoto 3 ай бұрын
Jamani kwani ni lazima muwashe mitambo live wkt mhusika bado?jamani au ham juice kama bundle linaenda
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 3 ай бұрын
Wale mnaomsema dk mwaka mnapoteza muda...--afu mwenzenu hana njaa,,aya mambo yanatokea dunian kote.....uyo dada kupata kazi na kubarikiwa ni vitu vya kushukur mungu...so kumbeza mtu.
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 3 ай бұрын
Watu wanaachwaga bhanaaa!! Aliachwa princess diana itakua yeye??!! Wabongo acheni unafki na umbea!!!
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 3 ай бұрын
Kwakweli yani hata mimi nawashanngaa wabongo ​@@mamboshepea8888
@TheFire_Gamer
@TheFire_Gamer 3 ай бұрын
Haina haja masuala ya mapenzi yake
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
HIVI MWANAMKE AWE NA MAANA TOKEA LINI NDOA YAKE IMSHINDE?!!😂. HAWA WANAWAKE WASHAMBA TUU
@MelisaKawa
@MelisaKawa 2 ай бұрын
Jamni nataman kukutana na huyo dada
@FekiHappy
@FekiHappy 2 ай бұрын
Iga ufe kila mtu na bahati yake
@rahmaabdillahi2795
@rahmaabdillahi2795 2 ай бұрын
Nilitaka kuona interview lakini mtangazaji ana bore maneno meengi so un proffessional
@bobaiddi9599
@bobaiddi9599 2 ай бұрын
Queen lakini nakuona umri unaenda
@OfficialA83640
@OfficialA83640 3 ай бұрын
Nililala nimekosa kipindi leo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Acha mabeno mengi nenda kwenye mada husika ji kupoteza muda tu
@hericharles3604
@hericharles3604 2 ай бұрын
Usione vinaelea vimeundwa, sponsor aliempata amlee vizuri.
@veronicasarita8422
@veronicasarita8422 2 ай бұрын
Wew ni mbwa nin dada wa watu anajituma sana hebu mwache pambana na Hali yako
@fatimaabdullahmohd2347
@fatimaabdullahmohd2347 2 ай бұрын
Tunafahamu Queen allipokua na dockta mwaka alikua muislam,jee Queen masanja amerudi kwenye uchristo ungeprnda kujua tafadhali.
@rachelmuhehe7789
@rachelmuhehe7789 3 ай бұрын
Una 37? Uongo. Labda 47
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 2 ай бұрын
Global MSICHEZEE NA MDA MBON LISAA AU NUSU SAA INATOSHA
@OnlyRuky
@OnlyRuky 3 ай бұрын
Queen amejuta kuja kwenye interview 🤣
@jumaiddyjumaiddykichindo1316
@jumaiddyjumaiddykichindo1316 3 ай бұрын
Mtangazaji anaboa jamanii... Anang'ang'ania maswali personal ili tujue anamfahamu saana.. muhusika... Aache kutafuta kiki😂
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 3 ай бұрын
Wewe maswari engine SIO hakiiii loooo
@huldamichael4445
@huldamichael4445 3 ай бұрын
Yaani Queen hataki kabisa maswali ya nanii😅😅😅
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 3 ай бұрын
Sasa km anajiweza anammiss vp mzazi mwenzie wakati kila mtu na 50 zake.
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 ай бұрын
Ana miss 🍆
@Naju645
@Naju645 3 ай бұрын
Madam sijui saiz anamiaka mingap😅😅
@veronicasarita8422
@veronicasarita8422 2 ай бұрын
Na wew ya kwako mingap
@abdulimakono
@abdulimakono 2 ай бұрын
Kaacha stara hyuu Amna kitu unaonekana Dr alikuwa anakerwa Sanaa na baadhi ya vitu
@veronicasarita8422
@veronicasarita8422 2 ай бұрын
Stara ya nyoko
@josephinerajabu8657
@josephinerajabu8657 3 ай бұрын
Huyu mama kafanana na mume wake tayr
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 3 ай бұрын
Kuna maswali mengine hayana akili, mambo ya mahusiano ni privately .
@huldamichael4445
@huldamichael4445 3 ай бұрын
Queen una miaka 37???? Mmh
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 3 ай бұрын
Muongo huyo anamiaka kama 43 hv
@nicebatare2737
@nicebatare2737 3 ай бұрын
47
@DerickNgowi-mf5pe
@DerickNgowi-mf5pe 3 ай бұрын
Muongooo
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 2 ай бұрын
Anaikimbiza 50
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa 3 ай бұрын
Mtu amevunja ndoa yake na familia yake.kisha Anaambiwa ana Akili nyingi sana!
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 3 ай бұрын
Yani ktk komenti zote wewe ndo umenifurahisha yafu watu hawajui riziki ipo kwa mngu kwa hiyo huu ni mda wake pia hata kipindi yupo kwaka alikuwa anapendeza tu sema alikuwa hajulikani sana ndo mana
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 3 ай бұрын
ana akili sanaaa
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 ай бұрын
Queen kwanza hongera kujishuulisha ili maisha mengine yaendelee!Mungu akutangulie,akuepushe na shari,sifikirii wewe ni m/mke mwenye tabia mbaya,pole kwa issue yaTalaka,ni muda sasa Dr mwaka amegomea Talaka,vipi huoni ni muda kujivua?kama Dr alivyo kuomba mahari? Daah!hii kali😄?kama ulisita kujivua kwa kuhofia kutopata haki zako kwa maana ya mali na ulikuamke halal mwenye watoto!hata akakutoa ktk nyumba n.k.mengi yafedheha vipi unasubiri abadilishe msimamo wake au vipi?maana huoni kuna umuhimu na sababu ya kujivua ilikuondokana na kadhia ili Uishi maisha yako? Kama nimali tayari Dr mwaka amegoma kukupatia, ni afadhali kujivua?sidhani kama utashindwa kurudisha mahari labda kuwe najingine ili uwe huru ni wazo tu'maana unaweza kupambana
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 3 ай бұрын
hakuna kurudisha mahari kwani yeye hajamtumia???akwende huko
@shufaamnyoty5626
@shufaamnyoty5626 3 ай бұрын
Kuna ushahidi wa aya kwenye Quran unaosema mke akidai talaka alipe mahari? Wacheni kuchanganya dini na mila za ajabu ajabu, mtu kisha kaa nae kazaa watoto anadai mahari gani? Na yeye atamrudisha vile alivyomkuta?
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 ай бұрын
@@shufaamnyoty5626 hatujasema alipe mahari, uwe muelewa! Queen alivyo omba talaka mwaka alimwambia ajivue arudishe mahari!Sio sisi Upo! Nenda kaangalie ilivyo kuwa huko ilikoanzia,na kama waona Sio sawa unge changia ushauri nasio kutoa lawama juu yangu, mume akiamua kukuendesha hawezi toa talaka! Mi namshauri ajivue awe huru'hilo la kurudisha mahari mwaka ndo kaikazia, ni muongozo tu nini kinatakiwa
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 ай бұрын
@@joycemfuru4752 ndio inavyo kuwa anataka kumkomboa,
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
​@@joycemfuru4752 KAMTUMIA KWAAJILI YA MAISHA. HIVI GARI HAIJAKUFIKISHA SAFARI MLIOAHIDUANA HUDAI NAULI YAKO???. SIO KULIPA MAHARI, NI KUKUTOZA CHOCHOTE ANACHOKITAKA KAMA YEYE ALIVYO MTOZA MAHAR ALIOTAKA, NA KUJIENGUA PIA UNATOZWA FAINI YOYOTE KWASABABU NI NDOA KAMA ULIVYOINGIA KWA SHURUTI BASI KUTOKA KWA SHURTI. HATA DR MWAKA ADAI BILLION ANA HAKI KWA MUDA ALIOPOTEZEWA NA HILI ZEREE LISILO JIELEWA
@safiatahir9204
@safiatahir9204 3 ай бұрын
La muhimu ni yeye queen kuijua yake bado inaukubali Islam au imeshaukana.Ikiwa bado Muislam talaka ni haki yake,kinyume chake haina ulazima
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq 3 ай бұрын
Fetty nywele feki no, wanawake acheni kuvaa feki hair, tupende nywele zetu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
USHAMBA ULIMVAA AKAACHIKA, HILO NYUELE FEKI NI DOGO KATIKA USHAMBA WAKE. KWANI ANGEJIHIFADHI VIZURI ANGEPUNGUKIWA NINI? KAMA KUJIACHIA NYUELE NA KUKAA UCHI NI DILI BASI ANGEFANYA MAMA SAMIA 😂😂😂. UJUE HUO NI USHAMBA TUU WA KUJIUZA HAWANA MAMBO HAO WASHAISHIWAAA😂😂😂😂
@josephineokama2200
@josephineokama2200 2 ай бұрын
​@@hilalkhalfan1452😅
@JoyceRichard-qo4gn
@JoyceRichard-qo4gn 3 ай бұрын
Queen bado ni dada mdogo umuli wake dada yangu bado unaitaji mtu wakuishi Nae
@wilbatnyato4679
@wilbatnyato4679 2 ай бұрын
Acha kudanganya mwanamke akifika 30 huyo ni mzee tyr hivyo labda apate mzee mwenzie
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 2 ай бұрын
​@@wilbatnyato4679ndio akili zawaafrica
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
JI BIBI ZEREE HILI , KAMUOE BASI KAMA MWARI UNAMUONA HATA MANYAMA YA MASHAVU YASHAZEEKA 😂😂😂. HAPA DR MWAKA ATAFUTE MWARI. HAWA VIZEE WENGINE NI WASHAMBA TUU 😂😂😂. ULIMBUKENI UMEWAZIDI KAPOTEZA KILA KITU NA UZERE WAKE
@veronicasarita8422
@veronicasarita8422 2 ай бұрын
​@@wilbatnyato4679wew ni mbwa nin aliyezeeka ni mke wako
@veronicasarita8422
@veronicasarita8422 2 ай бұрын
​@hilalkhalfan1452nina uhakika mke wako hamfikii hata nusu Queen ni motoo very beautiful acha makasiriko mbwa wewe pambana na life lako
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 3 ай бұрын
Mnamchokonoaga nini? Kilasiku maswali yale yale unatarajia kuolewa una mahusiano,dah aya bana 🚶
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 ай бұрын
Global hawachelewi kusema kwa herufi kubwa QUEEN AMMSSI DR MWAKA 😂😂
@Cocody-j1w
@Cocody-j1w 3 ай бұрын
Mtangazaji acha kuongea sn wtoa utamu w kpnd bn wsm jua kali 2 ht ktk kaza/moyo yumo au hchi kpnd hkjui
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 3 ай бұрын
Gabi umeuwa bora ungefanya wewe tangu mwanzo zali aliquwa anamlea lea
@abdulqadirjuma7495
@abdulqadirjuma7495 2 ай бұрын
Pumbavu wewe mtangazaji.uliza maswali ya msingi wewe.mbona unazungukazunguka tu ulaza maswali unayoyataka kuhusu maisha yake na mtalaka wake
@PanyaBuku-qo7tu
@PanyaBuku-qo7tu 2 ай бұрын
Ushafanya umalaya sasa unakumbuka mume pymbaafff
@halimakanga-u1j
@halimakanga-u1j 2 ай бұрын
Regina wa jua kali uyu ama namfana nisha
@Naju645
@Naju645 3 ай бұрын
Huyu nae nifer anapambana nn mdangaji Tu akija mtandaoni ndio video zakupambana
@Deboramartin-z2m
@Deboramartin-z2m 3 ай бұрын
Kadange nawewe uwe kama nifa mbona wewe unadanga ila hufanikiwi
@Naju645
@Naju645 3 ай бұрын
@@Deboramartin-z2m 😅😅😅😅makasiriko mdangaji mwenzio bila Shaka poyeee ukweli mchungu
@Deboramartin-z2m
@Deboramartin-z2m 3 ай бұрын
@@Naju645 mtu akifanikiwa tuuu ni mdangaji kadange naww kama utafanikiwa senge wewr
@esterMahenge
@esterMahenge 3 ай бұрын
Danga na wewe kwani ana tumia yako si yake😂😂😂
@esterMahenge
@esterMahenge 3 ай бұрын
Danga na wewe kwani ana tumia yako si yake😂😂😂
@hussenyahaya8675
@hussenyahaya8675 2 ай бұрын
Ss km wema ni mdogo kwenu itakuaje ww uwe na 37 acha uongo
LIST YA WANAWAKE WA DOCTOR MWAKA,,WOTE NI WAREMBO BALAA,
9:09
BONGO VIBES TZ
Рет қаралды 10 М.
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
Wanaume - Wema Sepetu 2024
2:01
Wema Sepetu Fans
Рет қаралды 6 М.
Masanja na Mama Emma | Ukaguzi wa Wafanyakazi
11:12
CHEKESHA TV
Рет қаралды 58 М.
COMMENT VAINCRE LE MONDE, 2EME PARTIE
36:25
Sampat tv
Рет қаралды 62
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН