LIVE: RC MAKONDA ANAZUNGUMZA NA WANANCHI ARUSHA MUDA HUU

  Рет қаралды 75,964

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 216
@EliwadaKikoti
@EliwadaKikoti 2 ай бұрын
Jaman anae mpenda makonda awe rais agonge like hapo twende samba samba
@ClementKonda-uj1nj
@ClementKonda-uj1nj 7 ай бұрын
Hongera Comred Paul Makonda mtu wa watu,mcha Mungu unaesimamia haki, Watanzania wana imani na wewe katika kumsaidia Mama Samià,muda utaongea
@eliassumila8173
@eliassumila8173 7 ай бұрын
Nimeipenda hii,Muda utaongea.
@ClementKonda-uj1nj
@ClementKonda-uj1nj 7 ай бұрын
Yeah,jamaa wanamuhofia kila wakimpachika cheo Ana wenza na anakubalika huyu ni mtoto wa Nyoka nae Nyoka 🎉
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 7 ай бұрын
Nyota ya makonda inazidi kungara siku hadi siku ikipeperuswa na upepo wa kisulisuli hakuna wa kumzuia 🇹🇿❤🇹🇿❤🇹🇿❤.
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 7 ай бұрын
Kwa sasa Huyu ndio binadamu maarufu Tanzania katika medan za kisiasa...gonga like kama tunakubaliana
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 6 ай бұрын
watu wanashida sana
@jacksonchilongani4478
@jacksonchilongani4478 7 ай бұрын
Safi sana Sasa speed hii nzuri na ndio wananchi wanaitaka tuko pamoja mkuu na ninakuunga mkono ASILIMIA 💯
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 7 ай бұрын
Mungu Akubariki,akulinde, akuongoze Mh Makonda❤
@fadhilimbotela1049
@fadhilimbotela1049 7 ай бұрын
Tuuze had barid 🔥🔥🔥, hii nimeipenda comred kaz iendelee mheshimiwa. weka like kama unamkubar makonda
@dennisungonella205
@dennisungonella205 7 ай бұрын
Kwenye kuwatumikia wananchi namkubali Sana...wizi, ubadhilifu na rushwa apambane navyo
@sarahkadugu4367
@sarahkadugu4367 7 ай бұрын
Bwana Yesu akulinde kwa Neema zake. Mti wenye matunda lazima upigwe mawe. Kikubwa endelea kusimama na Mungu ndio kila kitu. Usiogope fanya kazi.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 7 ай бұрын
kabsa ndugu
@MartinLaban
@MartinLaban 7 ай бұрын
Jamaa anafaa kuwa magufuli 100%
@JosephYagodoka
@JosephYagodoka 7 ай бұрын
Hongera sana kiongozi shupavu makonda ww ni mtu wa watu piga kazi kaka
@valenakomba7686
@valenakomba7686 7 ай бұрын
UBARIKIWE SANAA MAKONDA. MUNGU AKUSIMAMIE KATIKA KILA JAMBO . TUNATARAJIA HAPO BADAYE UJE KUWA RAIS WA TANZANIAN. TUNAKUFUNIKA KWA DAMU YA YESU. TUNAOMBA MUNGU AKUPELEKEE MALAIKA WALINZI WAKUTANGULIE NAKUKUONGOZA UINGIAPO NA UTOKAPO. ❤❤❤😂❤❤
@petermarco8656
@petermarco8656 7 ай бұрын
Hana degree,labda kujifurahisha kusema
@matalo0551
@matalo0551 7 ай бұрын
Degree kitu gani? Watu tunadegree zipo kwenye mabegi hazifanyi kazi, Wala huwezi ombea hata mkopo....😂😂😂😂😂😅
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 7 ай бұрын
​@@matalo0551kabisaa makonda ❤
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 7 ай бұрын
Degree ndo nn???? Sie tunataka kazi
@dallerbwoyniglo8675
@dallerbwoyniglo8675 7 ай бұрын
Tanzania iko Arusha na maanisha ivi alko Makonda ndo kunA ONEKANA Hongera sana #Makonda
@AllyGibu-cz2vo
@AllyGibu-cz2vo 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@dallerbwoyniglo8675
@dallerbwoyniglo8675 7 ай бұрын
Ni nouma sasa Arusha inawaklshwa na #Makonda kuliko #Twiga 😄 😄🤣
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w 7 ай бұрын
The king himself 👍👍👍👏👏👏👏🙏🙏🤝🤝
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 7 ай бұрын
Kabisa
@dallerbwoyniglo8675
@dallerbwoyniglo8675 7 ай бұрын
Petter angejua huyu ni Royal tours kuliko lile movie 😄🤣😂😆😄
@Pelegrinoemanuel
@Pelegrinoemanuel 7 ай бұрын
Huyu bonge la kiongoz.hawa ndo viongozi tunaowataka .nashangaa watu wanavyojaa kwenye mikutano yake
@msaphirimagallah5781
@msaphirimagallah5781 7 ай бұрын
Nasema hivi komredi Makonda anakuja kuwa mtu mkubwa sana kwenye hii inchi.... aminini maneno yangu. Kikubwa tuombe uzima tu. Mungu akulinde ndugu yangu Makomba.
@atutweve4160
@atutweve4160 7 ай бұрын
Watanzania mnaonaje saivi tukimpata mpinzani wa kiongozi mzuri tuwe tunamchamba hadi anachambika? Mnakumbuka Magufuli alikua anabezwa sana wala kusifiwa? Tusifanye makosa tena tuliyofanya kwa Magufuli, tuitunze dhahabu yetu inayong‘ aa isifubae, tuitunze kama mboni la jicho letu, Hongereni Arusha Mungu kawashukia🙏🏿🙏🏿, sisi sote Ni watz Arusha ikiendelea imeendelea Tz yote kwa ujumla , tupo pamoja sana kama watz
@shabanikasele8071
@shabanikasele8071 7 ай бұрын
Good point
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 7 ай бұрын
sana ndugu
@JosephYagodoka
@JosephYagodoka 7 ай бұрын
Mm binafisi nilikuwa natamani sana kuonana anakwaana na huyu kiogozi mana huwa ananipa amani kabisa kwenye utumishi wake na mamuzi ambayo aliyonayo kiongozi makonda hoyeyeeeeeeee
@JenethFrank
@JenethFrank 7 ай бұрын
Hoyee, akitoa fursa ya watu kumwona hata mm nitakwenda kuonana nae hakika. Hata kama Sina Cha kumwambia nitamkaribisha
@alexvenas2699
@alexvenas2699 7 ай бұрын
My favorite leader 🤝💪
@Moscow924
@Moscow924 7 ай бұрын
Honger mdogoang jaman aliepewakapewa tu
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 7 ай бұрын
Mungu kama itakupendeza 2030 Mh makonda awe Rais. Sisi hatunà hofu nae kabisa tuna iman kubw na yeye
@Legis-dr6ll
@Legis-dr6ll 7 ай бұрын
Atakuwa... Sisi pia tunamuombea kutoka Kenya
@idimulanda7657
@idimulanda7657 7 ай бұрын
Hongera kaka wewe ni hatari kwa maswala ya maendeleo ya Jamii
@Emmaa-Joshu11
@Emmaa-Joshu11 7 ай бұрын
Huyu jamaa ana nyota Kali sana aisee
@seerdoreen8005
@seerdoreen8005 7 ай бұрын
Balaaa na nusuuu nampenda makonda❤
@Emmaa-Joshu11
@Emmaa-Joshu11 7 ай бұрын
Oky oky mkuu
@SimonKagenzi-we4yu
@SimonKagenzi-we4yu 7 ай бұрын
Piga kazi Mtumishi WA Mungu, nakuombea sana
@SelciMsijakani
@SelciMsijakani 7 ай бұрын
Makonda jikaze atakama wabaya wanakufuatilia. Warisha kufanyiya rakwanza, Sema Mungu atakurinda.najua wabayatu wapo selekarini.
@NicholasMgay
@NicholasMgay 7 ай бұрын
Huyo ndio mkuuwa mkoa anayependwa na wananchi Tanzania nzima haijawahi tokea anagusa hisia zawatu mtetezi wawanyonge
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 7 ай бұрын
Sijui kama wapinzani wanasoma comments
@kabwelerywamwatumu5078
@kabwelerywamwatumu5078 7 ай бұрын
😂😂😂 naona wanasoma
@jorampaulo7008
@jorampaulo7008 7 ай бұрын
Tuliza wenge wewe comments zako zitupunguzie nini
@Fadhilimwamlima
@Fadhilimwamlima 7 ай бұрын
mungu akiamuwa bana Ata ukipewa kazi ya kuzowa taka bado utakubalika tu
@SalvinaSeif
@SalvinaSeif 7 ай бұрын
Kabisaaaa
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant 7 ай бұрын
Mungu akulinde sana mheshimiwa Makonda pamoja na rais wetu.
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li 7 ай бұрын
Watu hawajui ogopa MTU mwenye. Yesu mtadhindana nsye hsmtseexs
@HusseinBundara
@HusseinBundara 7 ай бұрын
Munqu hanakulinda kaka nakupenda sana ❤❤❤❤❤❤ na tunaendelea kukuombea
@RhodaLema-z8w
@RhodaLema-z8w 7 ай бұрын
Wa arusha hongera kuletewa mtetezi wa wanyonge sisi wengine tumebaki tunalia kwa kumkosa jembe la wanyonge tanzania nzima tunaomba mumpe ushirikiano jamani ni mungu amemleta tena baada ya kuondokewa na mpendwa wetu kweli tulikata tamaa lakini mungu ameweka njia pasipokuwa na njia tumtunze na tumpende tunakuja huko huko huko hata kwa kutushauri tutamfuata tu
@SuzanGabriel-tp2cx
@SuzanGabriel-tp2cx 7 ай бұрын
Raisi wetu ajae Tanzania.❤ God bless you forever.
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 7 ай бұрын
Kabisaa ❤
@cyprianonesmo1832
@cyprianonesmo1832 7 ай бұрын
Mungu atakulinda sana comrade azidi kukupa nguvu na uvumilivu ❤
@valenakomba7686
@valenakomba7686 7 ай бұрын
ARUSHA TEGEMEENI MEMA MENGI TOKA KWA MAKONDA. HUYO NDO MSUKUMAA.😂😂
@VelonikaMakota
@VelonikaMakota 7 ай бұрын
Hongera sana husda zina mwisho usimwingilie alie pewa kapewa
@msaphirimagallah5781
@msaphirimagallah5781 7 ай бұрын
Ndio kiongozi wafunge mkanda! Makonda oyeeee. Karibu Arusha ndg yangu.
@Masallah_kulangwa44
@Masallah_kulangwa44 7 ай бұрын
Ngosha wa mbasa tenda yaliyo mema Mwenyezi Mungu awe nawe daima
@HusseniTwahaIbrahimu
@HusseniTwahaIbrahimu 7 ай бұрын
GENEVA OF AFRICA imepata Mtendaji sahihi.
@KuruthumKikuyu
@KuruthumKikuyu 7 ай бұрын
Hongera Makonda pambana na uhalifu wa Arusha
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 7 ай бұрын
Ukweli nampenda Makonda huwa najikuta tu namwombea afike mbali Ktk hii Tanzania Mungu amwinue kwa viwango
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 7 ай бұрын
HONGERA MH MAKONDA!HAKIKA HUWEZI ZUIA MAFURIKO KWA MIKONO.
@ernestmasanja4641
@ernestmasanja4641 7 ай бұрын
Akimaliza Arusha aje simiyu,zipo wilaya zimeshindikana aje azinyooshe
@SelciMsijakani
@SelciMsijakani 7 ай бұрын
Wew wanyoroshe mpaka wanyoroke.arafu nasi tutakuombea Mungu akurinde wabaya wako Kiongozi wetu.
@linadaniel1375
@linadaniel1375 7 ай бұрын
Makonda karibu sana arusha nakupenda bure jamani❤❤❤
@meshack3266
@meshack3266 7 ай бұрын
Wamechaguliwa wengi ila anae trend ni Makonda tu huku nyota balaa 1:22
@bibiejuma5094
@bibiejuma5094 7 ай бұрын
Makonda anaweza kuja kuwa rais kwa miaka ijayo
@bunzaliyunge8390
@bunzaliyunge8390 7 ай бұрын
Tunza hii, miezi sii mingi atakuwa mkuu wa mkoa dar es salaam.
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 7 ай бұрын
Tutaandamana
@obeidkasuga9540
@obeidkasuga9540 7 ай бұрын
Yaan watu wote leo hawako kazini wamekuja kumpokea mheshimiwa
@wizydeko1496
@wizydeko1496 7 ай бұрын
Tanzania iko arusha
@MawazoMchape
@MawazoMchape 7 ай бұрын
Mama angeturetea sisi makonda huku mikoa yakusini Sana lindi
@josephmchila6467
@josephmchila6467 7 ай бұрын
A real smart and compassion ally leader
@personpeter2221
@personpeter2221 7 ай бұрын
Makonda unajiamin sana nmeipenda confidence
@JenethFrank
@JenethFrank 7 ай бұрын
Karibu sana kiongoz wetu. Kabla ya kutua Chugga tukio likafanyika. Kuna mambo mengi ktk hizo ofis zichunguze vzr. Chanjo imeleta kizungumkuti kikubwa
@JenethFrank
@JenethFrank 7 ай бұрын
Watu wamefanya zoez la chanjo ya Surua tok a February Leo ndio wanalipwa Tena kulipwa kwenye pesa zimepigwa.
@JenethFrank
@JenethFrank 7 ай бұрын
Semina zinakuja watu wanapeana Kwa kujuana. Hakuna usawa. Naamini utasimamia haki sawa na Mungu akubariki.
@YohanaPauloRangi
@YohanaPauloRangi 7 ай бұрын
Mh pl makonda fanyakasi wala usiwase mungu yupo pamoja na we 🙏🙏🙏
@ayubumoha6313
@ayubumoha6313 7 ай бұрын
Mungu akulinde uwe kuwa rais wa kesho🙏🙏🙏🙏
@DeusdeditKapenegele-hj8qy
@DeusdeditKapenegele-hj8qy 7 ай бұрын
Wanna Arusha hongereni mmepata Mkuu wa Mkoa. Sasa Utulivu na Amani kwa maendeleo .Kazi iendelee.
@RhodaLema-z8w
@RhodaLema-z8w 7 ай бұрын
Jamani makonda ninaringa sana kwa kuwepo kwako kils mahali mwanangu unakubalika weweeeeeeee hongera sana japo umenicha n imebaki na bango nilikua nimetayarisha kwa ajili ya kuja kukuona maskini sielewi sasa nifanyeje sasa nasema nitamfata huko huko arusha anipe ushauri na baraka zake kweli mungu ni mwema ametupa matumaini kwa up ya
@BonifaceHassan-j5m
@BonifaceHassan-j5m 7 ай бұрын
Big up marajiwa,safi sana !
@HalimaMayunga
@HalimaMayunga 7 ай бұрын
Hongera sana makonda Tujengee stendi Arusha
@emmanuelcharles5613
@emmanuelcharles5613 7 ай бұрын
Yani makonda hamuwezi kumtowa kwenye mioyo ya watu amesha aminika
@bishoparronmgaya1749
@bishoparronmgaya1749 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana makonda mwanangu ninakuombea kwa dhati.
@JenethFrank
@JenethFrank 7 ай бұрын
Kwa kweli muheshimiwa wewe ni mtu wa watu. Kama umeweza kuongea hao watoto wanaojiita wadudu😭😭😭😭 ni hali sii nzuri baadhi yao kweli wamechanganyikiwa na maisha wanatia huruma ila kuna wengine kweli ni wahalifu. Mungu akusaidie na akupe hekma ya namna ya kupembua mambo kusudi ujue jinsi ya kutatua kila changamoto. binafsi ninamshukuru sana Mungu asiyezungumza live kwa kujibu maombi yangu
@JumaIssa-e5n
@JumaIssa-e5n 7 ай бұрын
Huyu mwamba tunamkubal sana mama tunaomba turudishie mkuu wa mkoa Aggrey Mwanri na ALLY Hapi List itakuwa imekamilika vema
@JoelAleks
@JoelAleks 7 ай бұрын
Mweshimiwa nakuomba Barbara inayotoka kibaoni kuelekea ngarenanyiki tafathali mkuu tumedanganywa Kwa mdamrefu sana mkuu
@FrolaKoka
@FrolaKoka 7 ай бұрын
Makonda chapa kazi. Unakubalika Kila Mahali na Kila wakati.
@daniellaizer1614
@daniellaizer1614 7 ай бұрын
Congratulations combrade Paul Makonda.
@RhodaLema-z8w
@RhodaLema-z8w 7 ай бұрын
Yaani jamani really am proud of makonda kweli siyo siri naamini mpendwa wetu hayatti magufuli amefufuka eeh baba wa mbinguni wanyonge tunasema asante kwa kurejesha matumaini ya wanyonge mama samiah oyeeee kwa kumkumbuka makonda kweli hapa na kwa jerry slaa na majaliwa pia biteko mama yetu mpendwa tunakuomba wawe miongoni wa washauri wako mama yetu mpendwa
@adamumyala-js9fh
@adamumyala-js9fh 7 ай бұрын
❤makonda wewe ni another level.
@SuzanaKingu
@SuzanaKingu 7 ай бұрын
Arusha tumepata kiongozi, sasa natumai Arusha itakuwa jiji
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 7 ай бұрын
Makonda Mungu anakuandaa enderea kujishusha kunyenyekea Hii haijawai tokea tangu kuumbwa kwa dunia mkuu wa mkoa kupokerewa hivyo.
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 7 ай бұрын
Kazi njema kamanda mollah akufanyie wepesi
@vickyshayo7880
@vickyshayo7880 7 ай бұрын
Hongera mtumishi wa Mungu
@JenethFrank
@JenethFrank 7 ай бұрын
Kwa Neema ya Mungu hautakufa bali utaishi utimize kusud ambalo Mungu amekusudia ulitende especially ktk hili taifa la Tanzania
@HamidaSeif-c8u
@HamidaSeif-c8u 7 ай бұрын
Usijisahau na kutegemea kuombewa, simama kwenye maombi mwenyewe umtegemee Mwenyezi Mungu
@Agnesimtaitin
@Agnesimtaitin 7 ай бұрын
Wanaokuombea mabaya yawarudie wenyewe makonda uwe salama tu ktk jina la yesu kristo ameni
@OdliaMbengwa
@OdliaMbengwa 7 ай бұрын
Fumbo la Imani
@ankoanko-zz7it
@ankoanko-zz7it 7 ай бұрын
Makonda nakukubali sana
@juliusmartin1839
@juliusmartin1839 7 ай бұрын
Dah! Ni wakuu wa mikoa wangapi hukaribishwa hivi?????????????
@SamolaMahona
@SamolaMahona 7 ай бұрын
Hongera sana wana ARUSHA mumeupiga umeiva kwa makonda mtunzeni na kumpa ushirikiano mpana zaidi
@HemedyNasoro
@HemedyNasoro 6 ай бұрын
Kazi njema uncle Mako ❤
@JosephYagodoka
@JosephYagodoka 7 ай бұрын
Rc makonda hoyeeeeeeee
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 7 ай бұрын
Arusha soon inarudi kuwa Geneva ya Africa tena
@Legis-dr6ll
@Legis-dr6ll 7 ай бұрын
@Alais Lukumay hutu jamaaa nimekuwa nikimfuatilia xana..... Ni dume mkubwa..... Entoomonoki enkai..... Legis kutoka Kenya
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 7 ай бұрын
@@Legis-dr6ll Ni mtu wa kazi haswaaa
@apostlemagdalenakongera1238
@apostlemagdalenakongera1238 7 ай бұрын
Bwana yesu akutetee sana jembe
@ViniciusOfficialtz
@ViniciusOfficialtz 7 ай бұрын
Mwamba yupo kazn tayali, bgp saana makonda
@deusisindwa616
@deusisindwa616 7 ай бұрын
Makonda nikiongoz na nusu kiufupi we nimwanafunz mwema,, Mungu akujalie afya njema
@EdisonNangawe
@EdisonNangawe 7 ай бұрын
Huyu ni magu wa pili
@ProsistaTarimo
@ProsistaTarimo 7 ай бұрын
Acha ujinga huyu anafanya kazi ya Mu gu na sio mungu wa pili. Muombee afanye vizuri tupate maendeleo kuendana na mpango wa Mungu na sio umweke kwenye nafa ya kuwa Mungu wa pili. Mungu ni mmoja tu. Hakuna hakuna Mungu wa pili
@mwajumashaibuomary7363
@mwajumashaibuomary7363 7 ай бұрын
Mungu wa mbinguni tunakuomba ikikupendeza vunja vunja njia za shetani zote kama ulivyovunja njia za shetani 2015 tukampata magufuli ,iwe hivyo 2030 makonda kuwa Rais wa Tanzania
@JenethFrank
@JenethFrank 7 ай бұрын
Kwa wewe nimeanza kupata imani mpya. Haki ikisimama Arusha hakika Tanzania itasonga mbele kwa kishindo na hakika umekuja kwa kusudi la Mungu uje kuikomboa Arusha.
@bekabakari7394
@bekabakari7394 7 ай бұрын
Baada ya kazi hii Inayo fuata namuomba,mama Akuteuwe katika sehemu nyeti Iliyo jaa rushwa na migogoro bila ufumbuzi Waziri wa ardhi
@josephsisa8139
@josephsisa8139 7 ай бұрын
Hongera sana brother
@SurprisedAtom-vp5qe
@SurprisedAtom-vp5qe 7 ай бұрын
Nimechukia sana walivyokutoa uwenezi makonda wangu ila Mungu wa mbinguni akulinde
@mwajumashaibuomary7363
@mwajumashaibuomary7363 7 ай бұрын
Hata mimi nimechukia sana maana kule alikuwa anawafikia zaidi wengi
@TitoSangeti-ft4pi
@TitoSangeti-ft4pi 7 ай бұрын
Makonda nakutabiria leo iko siku utakua makamu wa raisi awam ya......mungu amesikia amini tu
@EriyaRichard
@EriyaRichard 7 ай бұрын
Siyo awe Raisi tena
@mwajumashaibuomary7363
@mwajumashaibuomary7363 7 ай бұрын
Mungu wa mbingu mfanye kuwa Rais wetu 2030 ,ameni
@lameckkipilyango6212
@lameckkipilyango6212 7 ай бұрын
Piga KAZI Wana wane. Usiwasikilize wanaokutishia. Tenda haki na peleka mbele Arusha
@phaustineJoseph
@phaustineJoseph 7 ай бұрын
Hakika ww n kiongoz wa kuigwa
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb 7 ай бұрын
Uyu popote atapokuwepo anakiwasha. Huyu nyota yake kali 😅
@annanaiman9321
@annanaiman9321 7 ай бұрын
Hongera sana kiongozi
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 7 ай бұрын
Pga kazi makonda
@MengiMtali-mj9me
@MengiMtali-mj9me 7 ай бұрын
Uyo ni mwamba Arusha mmepata mtu shida zote kwishinei
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 7 ай бұрын
Wacha ujinga huko Dar alipokuwa Mkuu wa mkoa shida alizimaliza?.usiwe mtu wa kuangalia karibu angalia mbali .
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 7 ай бұрын
​@@jumamohamed3168 hata dar alifanya kazi nzuri, Achs chuki zako wewe huna lolote
@jamesmagumba6370
@jamesmagumba6370 7 ай бұрын
What i have Learnt from Makonda is that People trust this Guy
@DativaDaud
@DativaDaud 7 ай бұрын
Wanaomkubali Makonda tujuane jamani!!!!!
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne 05/11/2024
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 14 М.
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 125 МЛН
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 47 МЛН
Ouders kunnen cijfers van kinderen even niet checken
2:49
NOS Jeugdjournaal
Рет қаралды 62 М.
Kinderen in Valencia over de overstromingen: 'De wc ontplofte'
2:51
NOS Jeugdjournaal
Рет қаралды 11 М.
JE, NI KWELI TRUMP ANACHUKIA IMMIGRANTS? 🤔
26:23
EBM SWAHILI
Рет қаралды 4,9 М.
Ruud Lubbers koos zelf voor euthanasie
9:37
WNL
Рет қаралды 7 М.
WADUDU WA ARUSHA WATENGENEZA GARI LA MBAO WAMKABIDHI MAKONDA
23:23
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 125 МЛН