LIVE: Shajara ya Chid Benz na Babbie Kabae | Angalia Alivyoangua Kilio

  Рет қаралды 79,168

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

#ShajaraCloudsTV inamleta mmoja ya wakongwe wa muziki wa Hip Hop Tanzania Rashid maarufu kama Chid Benz ambaye anapiga stori na Babbie Kabae kuhusu mambo mbalimbali

Пікірлер: 525
@AbdikadirHussein-mb5ni
@AbdikadirHussein-mb5ni 9 ай бұрын
Chidi benz you are so bright my brother. May Allah guide you to the right path
@abeidali6978
@abeidali6978 9 ай бұрын
👍
@FredrickSimba
@FredrickSimba 10 ай бұрын
Kazungumza mafumbo mengi yenye maana kubwa sana, Kila kitu kina sababu katika maisha ya kila mtu i hope kila kitu kitakuwa sawa
@nathanjustine3973
@nathanjustine3973 10 ай бұрын
Siku moja mfanyieni interview Mama'ake Chid,Maza atakuwa ana mengi sana ya kuongea maana sijawahi kusikiliza interview ya Chid akamaliza bila kumtaja Mama'ake
@trendstv6848
@trendstv6848 10 ай бұрын
Dear God if it pleases u, please let this soul heal🥹 Best interview, na hamna mtu anaongeaga vitu vkubwa na vya mafumbo sana kama Chid Benz namuelewa sana huyu bro💪💯
@francobravotheforester542
@francobravotheforester542 9 ай бұрын
Before he started to cry 😢😢😢, I cried....... touching story, pale alipobeba ndoo, mama yake akalia sanaaaa
@tidesmwakinyuke8633
@tidesmwakinyuke8633 10 ай бұрын
That sad! also I cry. God protect U Chid
@JESHI107
@JESHI107 9 ай бұрын
WENYE AKILI YA KAWAIDA HAWATAMUELEWA #ALLTHEWAY FROM 🇺🇸🫡 # CHIDIBENZ
@Hm02447
@Hm02447 9 ай бұрын
One of the best shajara interview...he still got it... anahitaji msaada kidogo tu atarudi kwenye mstari.
@ONJAHWorldwide
@ONJAHWorldwide 9 ай бұрын
BEST INTERVIEW OF ALL THE TIME, HERE IN TZ
@abubakermachatha1876
@abubakermachatha1876 9 ай бұрын
Sauti na visuals haziendani. Clouds ilivyo station Kubwa wameshindwa kazi. Mumezingua sana
@mamamwajei8789
@mamamwajei8789 9 ай бұрын
msaada mkuuubwa mtu atakaompa chidi si kumpa pesa,,,ni kumuombea Kwanza ili kumnasua ktk kifungo Cha mihadarati,,,akifunguka akiwa free kabisa ndipo atakapoweza kujisimamia....kifungo Cha ulevi kina mtesa na kinatesa sana familia zetu.....Kuna watu wapo kwaajili ya kuchukua nyota za wenzao wanatumia na wanatajirika wao na kuwatwisha wenzao mizigo mizito kama hii...Kwa jina la YESU KRISTO chidi ufunguke
@Chombezaflava
@Chombezaflava 9 ай бұрын
great of all time chid benz ana powerfull word kuwahi kutokea
@AnordNgimba
@AnordNgimba 10 ай бұрын
Ukiwa unaongea ukweli dunia aikutaki inataka watu waongoo😢😢
@philemonmartine7317
@philemonmartine7317 10 ай бұрын
King Kong the best ever👊 best interview
@joycekingaz517
@joycekingaz517 10 ай бұрын
Kabae your the best 📌
@aishasaid9476
@aishasaid9476 9 ай бұрын
Life is spiritual, if you know you know, music life is all evile
@chachajoseph1379
@chachajoseph1379 10 ай бұрын
Kiukweli ukisikiliza hii interview ni very spiritual kunavitu vingi vya sirini katika mziki vya utumwa na ni ngumu kuviepuka ukiwa katika Hilo eneo na anaamini kwenye mziki unaweza ukawa kiumbe wa ajabu tofauti na mtu wa kawaida kuna influence nyingi sana katika mziki zinazoweza kubadilisha maisha yako na ukawa the whole different person ni huzuni sana😢
@mackjr5291
@mackjr5291 10 ай бұрын
FA, AY,FIDQ,MIKE T N.K hawajabadilika haya ni maisha bunafsi
@chachajoseph1379
@chachajoseph1379 9 ай бұрын
@@mackjr5291 ndo maana nikasema mziki unasiri kubwa sana na unavitu vingi ambavyo ni influence ya kukupoteza ni ngumu sana Kila mtu kuweza ku manage bila shida mfano Ray c ,dudu baya na wengine wengi wamepoteza muelekeo kwa hizo influence unaweza ukamlaumu ila kasema ukweli kwamba unapokuwa mwanamziki tena staa unajiweka karibu na majaribu mengi tena mabaya kuyashinda inahitaji nguvu ya ziada
@naifathassan2607
@naifathassan2607 9 ай бұрын
​@@mackjr5291walikubaliana na hali bro ila industry ya mziki ina mengi
@gazzomaster9462
@gazzomaster9462 10 ай бұрын
Wasanii chipkizi mnao shobokea ustar msikilizen chid Benz Kwa jicho la pili kuna kitu anamaanisha ni fumbo kubwa
@saluuhans
@saluuhans 9 ай бұрын
Chid Benz alimuumiza Rashid apa ndio utaamin kama huyu jamaa ni Genius, that the reality ya maisha yetu tunayoyaishi USHETANI NDIO UNAUMIZA UHALISIA WETU Ukirejea kwenye vitabu vya dini Ndio utaelewa ChidBenz amemaanisha nini.
@SwaleheAlly-d9u
@SwaleheAlly-d9u 10 ай бұрын
Hii sio interview kwangu ni movie
@khalidsaid5022
@khalidsaid5022 10 ай бұрын
Chied kazungumza kwa mafumbo sana! Yahan Rashid alimuunda child Benz harafu child alimuumiza Rashid jamaha anaongea point sana
@wahidkimara7482
@wahidkimara7482 10 ай бұрын
Chid he is one of the best artist hakuna msanii mwenye uwezo kama chid Chid anataka msaada tena msaada wa mwanasaikolojia wa hali ya juu then akipata mtaji arudi kwenye game k I swear east africa itasimama
@fadhiliyusuph5195
@fadhiliyusuph5195 10 ай бұрын
Kurudi kweny game hawez kuwa km zamn dada
@queenlaty6788
@queenlaty6788 10 ай бұрын
Haswa
@bainolatino3412
@bainolatino3412 9 ай бұрын
​@@fadhiliyusuph5195unaongea hivo we kama Nani choko wewe
@JulianaJackson-nm7te
@JulianaJackson-nm7te 9 ай бұрын
Chid Msanii ninaempenda from the scrach.pamoja na changamoto zote ila Akili yake bado iko vizuri.madawa sio Mazuri Mungu Asaidie aache bado Tunampenda
@silvestarstanley4073
@silvestarstanley4073 10 ай бұрын
Daah napenda sana anavojibu interview chib benz kma husikilzi uwez kuelewa
@husseintwaha1737
@husseintwaha1737 10 ай бұрын
Huyu kijana kama ingelikuwa taifa lenye maono na watu wake basi mtu kama huyu Chid ilitakiwa wamsaidie
@ramsojimmykelly3379
@ramsojimmykelly3379 10 ай бұрын
Unavyo fikiri chid ajawahi kusaidiwa?
@kudoja_fish_shop9592
@kudoja_fish_shop9592 10 ай бұрын
Sikio la kufa hilo shida hana nidham ujeur ujuaji
@mansa_islam9898
@mansa_islam9898 10 ай бұрын
​@@kudoja_fish_shop9592😂😂😂😂 eti sikio lakufa sio mchezo
@nassoroomary2621
@nassoroomary2621 10 ай бұрын
Sure kaka umeongea sana
@ridhiwanabass3586
@ridhiwanabass3586 10 ай бұрын
Asaidiw mara ngapi bwana
@abasmwika3432
@abasmwika3432 9 ай бұрын
Dah mchizi yuko high vibaya
@ahmedahzab9439
@ahmedahzab9439 9 ай бұрын
The skills that uyo mfanya Presenter show is out of the proffional🤍 salute.
@MeckzJuma
@MeckzJuma 10 ай бұрын
❤this interview chid anaakilo kubwa Sana daaah😢😢
@esnethephraim7928
@esnethephraim7928 10 ай бұрын
Uyu kaka ana akili sana jamani. Mungu amponye jamani
@nurukhamis7454
@nurukhamis7454 10 ай бұрын
Nampenda Chidi mwema kweli
@teddymaliatabu2039
@teddymaliatabu2039 9 ай бұрын
Chidy ana maumivu makali.... yan ayavumiliki muachen tu awe ivo... bebi n professional mtangazaj mwngne hamuwez chidy... uksikiliza utagundua chidy anasauti ya rohoni...
@Rubytrendingtv255
@Rubytrendingtv255 10 ай бұрын
Chidy kwanini anakata tamaa sasa😢😢😢
@RainJohn-w2l
@RainJohn-w2l 10 ай бұрын
Hii imeniuma sana ila hata kama hatuna cha kumsaidia tumuweke kwenye maombi yetu kila siku😢
@ramladhire
@ramladhire 10 ай бұрын
Kabisa has alot of pain , na vile pia watu wanamdhulumu nyimbo zake
@seifdachi7158
@seifdachi7158 10 ай бұрын
Chidi Bado anahitaji usaidizi' Mungu amsimamie sana 🙏
@mackjr5291
@mackjr5291 10 ай бұрын
Self recognition ndiyo wengi tunakosa ndugu, hata tupewe nn kama hatuamui kutoka ndani ya mioyo yetu hakuna kitu
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 9 ай бұрын
Oh. Chid Anamlilia mama akiwa hair kwa uchungu.
@kareemrajab441
@kareemrajab441 9 ай бұрын
It's a GENIUS
@Swaahib-i7n
@Swaahib-i7n 9 ай бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa sana Mungu amuokoe Chid awe Rashidi
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 10 ай бұрын
Interview Bora
@willydangote4095
@willydangote4095 10 ай бұрын
NIMEMPENDA MTANGAZAJI ANA CONFIDENSE SANA😂😂😂MAANA KUNA MDA UKU NILIKUA NAHISI CHID ATARUSHA BANZIII
@rehmakondo
@rehmakondo 9 ай бұрын
Yani apewe maua yke, me nisingeweza😂😂😂
@otiliamethodokello8282
@otiliamethodokello8282 9 ай бұрын
Itoshe kusema binadamu wabaya
@thelaoban6236
@thelaoban6236 9 ай бұрын
Best unscripted interview! Dada umejitahidi kwa Chidi the G.O.A.T 🐐
@tariqahmed4055
@tariqahmed4055 9 ай бұрын
Our brother’s problem isn’t drugs and never was this issue is mostly based on some illiminati shittt and if you listen carefully you’ll understand!!!!
@adrianohyerapsychologist6144
@adrianohyerapsychologist6144 9 ай бұрын
dah aisee
@digital-d2t
@digital-d2t 10 ай бұрын
Unga ni hatari sana. Daaaaah
@bainolatino3412
@bainolatino3412 9 ай бұрын
Usiombe hata kuuona,usikie Tu na Bora urogwe chizi au ufe sio kukuroga uvute unga ni zaidi ya hatari yn sijui hata nikuambiaje
@mikemutabuzi3665
@mikemutabuzi3665 10 ай бұрын
Chidi kapagawa na huyu demu plus alichokunywa ama vuta ndo maana yuko hivi😂😂😂. This is a man love😂😂😂
@JumaKimanga
@JumaKimanga 10 ай бұрын
Big no HUYU Yuko kwenye tiba ya methadone ndio maana ana kuwa hivyo
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 10 ай бұрын
CHIDI HAFANYI IVO BILA KUPEWA GO AHEAD,,,,KUNA ITVW UNAWEZA UKASEMA HUYU GENIOUS...
@abrazo2639
@abrazo2639 10 ай бұрын
Ndani ya pumba anazoongea kuna ukweli wenye maumivu anauwasilisha😢
@estermartin9218
@estermartin9218 9 ай бұрын
Naku respect brother maisha yangu yote
@mimazcollectionmimaz8874
@mimazcollectionmimaz8874 10 ай бұрын
Chidi twamkubali lakini daaahh sometimes huwa ana vitu vya ajabu kweli...imagine anavyo zungumza kama mlevi kwenye interview kubwa kama hii ya clouds
@bainolatino3412
@bainolatino3412 9 ай бұрын
Ni kweli lkn kuna waswahili kama Mimi na wewe walimtengeneza chid huyu
@HajiGolie
@HajiGolie 10 ай бұрын
Nimejikuta nakosa Nguvu ghafla 😢
@onepeakprime
@onepeakprime 9 ай бұрын
26:30 jamani Chid Benz ameumizwa sana hadi huruma 🙏
@farishatyga373
@farishatyga373 9 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi chidi🥺umejua kuniliza😭💔
@SalaSalumu
@SalaSalumu 9 ай бұрын
Love you chidibenz mungu amsimamie
@ramadhanisakalani8372
@ramadhanisakalani8372 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂 chidi mme mlisha nini mnyanganyeni mic 😅😅 mpenz yana umaa sana
@kombakarata1884
@kombakarata1884 9 ай бұрын
Daaah aiseeh 😢😢😢 majanga kweli yani
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 10 ай бұрын
Fact yeye yanga nani kawahi kufanya interview kavaa jez❤
@bainolatino3412
@bainolatino3412 9 ай бұрын
Hakunaga
@yuakil6268
@yuakil6268 9 ай бұрын
Interview ingekuwa nzuri, tatizo mmempa alcohol sana inaonyesha
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 10 ай бұрын
Mbn anazidi kuvurugwa2 daah😭😭😭
@hakimameir1766
@hakimameir1766 9 ай бұрын
Ukipitia comments wengi wanaona interview nzuri lakin wanasahau kuona kwamba shida ya huyu msanii anaonekana hataki kuamini kama Mtindo wa muziki na maisha unabadilika sana yaan ana imani zake ambazo anaona yeye ndio bonge la msanii hata kama amekua hawezi kwasasa kufanya kitu kama yeye bila kusahau yaliopita, Kama anataka kusimama basi ajikubali kama anataka kubadilika aiswe anaongea sana kujiona yupo sahihi kwenye kila Idara , Inabidi ajitoe arudi nyuma na kukubali anahitaji msaada.
@malichanda3146
@malichanda3146 9 ай бұрын
Daah chidi jamani hadi machozi yananitoka hajui anaishi wapi anaongea kwa akili sana kwa waaelewa
@otiliamethodokello8282
@otiliamethodokello8282 9 ай бұрын
Mungu awe jawabu ya maombi yako chid benzi urudi kwa ukubwa huo tuliouona kwa interview. U still have second chance. ❤
@negredorapha7591
@negredorapha7591 9 ай бұрын
Chid Anajua mpka Anabohaaa.. Tena Anajiamini kwa matamshiii yake... Ebnha watasema Ngadaaa. Ila Chuma Anakitu... Then Stress za Lifeeee😂.. Sema Tunaooo. 👌🏼👌🏼Appriciet. NiggA🙏🏽
@Saripa234-u7g
@Saripa234-u7g 9 ай бұрын
Pole cn chidi benzi ila inshahalla mungu Atakusaidia kila kitu kitakaa sawa kwa Uwezo wa Allah inshahalla kwani mungu Ashindwi na kitu
@chiefkoko2
@chiefkoko2 9 ай бұрын
Una msahau vip Nasma Hamis kidogo??? Dully sykes haongelewi why?? Maswali mazito ya chid benz
@michaelcheyo4072
@michaelcheyo4072 10 ай бұрын
Mmmmh jamaa hayuko sawa at all!!
@AreefTamim-s8u
@AreefTamim-s8u 10 ай бұрын
Chini anaitaji msaada sana dah
@jumannenamwette4041
@jumannenamwette4041 10 ай бұрын
Wewe unahitaji akili ili umuelewe
@kingomar93
@kingomar93 9 ай бұрын
Yupo full loaded hapo...... daah hatari
@AyzalRicco-mi6iu
@AyzalRicco-mi6iu 9 ай бұрын
Machozi yamenitoka Yani kuna vitu vikubwa sana ila inahitaji uwe na hi Q kubwa kumuelew
@neemamshote9577
@neemamshote9577 10 ай бұрын
Ila inaumiza sana ukimuangalia chid aiseee walaaa aniwe wanao wauzia Madawaska ya kulevya aiseeee wanauwa vijana wenye maonooo
@josephmabula9658
@josephmabula9658 10 ай бұрын
Tatizo chidi msumbufu sana,hata ukimsapoti
@saidanswer
@saidanswer 9 ай бұрын
Akili nyingi sana bro 💥💥💥
@sensational6983
@sensational6983 9 ай бұрын
Anaongelea alter egos masikini jamani Mungu amlinde 🙏🏼
@pancrasbwena1166
@pancrasbwena1166 10 ай бұрын
Watoto wa hiv wanawapenda sana mama zao
@InsideTanzania
@InsideTanzania 10 ай бұрын
Ni kwa sababu, mama ni mwanamke pekee hawezi kukutupa aijalishi unapitia mangapi
@SebastianDaniel-es4rf
@SebastianDaniel-es4rf 9 ай бұрын
uko sahihi blood
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 9 ай бұрын
balaaa. humtoi kwa mamake
@siahtemu2414
@siahtemu2414 9 ай бұрын
Huyu kaka anahitaji msaada jamani daah so sad😢
@anthonymashaka8075
@anthonymashaka8075 10 ай бұрын
Chid benz chuma 💪🏻 mr kingkong
@JosephNdege-f8z
@JosephNdege-f8z 9 ай бұрын
Jamani daa 😢😢😢
@ivankmugi2226
@ivankmugi2226 9 ай бұрын
Jamaa anapiga sound studio alafu live 😂😂😂
@dismaskamanzi2365
@dismaskamanzi2365 9 ай бұрын
GOD did..kingkong is Live pureLy 🙏🙏😢 ReaLLy taLk
@MasudiSefu
@MasudiSefu 10 ай бұрын
Sema kavaaa jezzi kari sana chidi noma kinomaaa😅😅😅
@ommybrain9607
@ommybrain9607 10 ай бұрын
Mbona alie edit ameshindwa ku match na wanavyongea,
@BabakerashidaMamake
@BabakerashidaMamake 10 ай бұрын
Bongo ukiwa na shida ndio wapendwa watu wanafurahia maisha ya chidi ikiwa yko hivi na sio msaada nani bongo hamjui chid
@SelemanCharles-m8h
@SelemanCharles-m8h 9 ай бұрын
Daaah!jamaa ana kipaji sana,xema anamengi xana ambyo hatuyajui
@senckiusndozi5491
@senckiusndozi5491 10 ай бұрын
The best interview ever
@winfridapeter9455
@winfridapeter9455 10 ай бұрын
Yaan chid MUNGU amsaidie sana kwa alipofikia jamani,mpk huruma😢😢😢😢
@princegabriel3770
@princegabriel3770 9 ай бұрын
Dah 😢😢😢
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 9 ай бұрын
Had nimelia 😢
@leawistoni7141
@leawistoni7141 9 ай бұрын
Inasikitisha Mungu amsadie
@mpenzisamaki9488
@mpenzisamaki9488 9 ай бұрын
Huyu jamaa Ako na akili sana mbali na kuwa ktk Hali aliyonayo Bado zipo timamu anaongea facts tupu
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 9 ай бұрын
Ila kufanya interview na chidi ni mtihani ila chidi anaakalii saana
@AndreaNzunda-f7o
@AndreaNzunda-f7o 9 ай бұрын
😊😊😊
@dottomsuya6597
@dottomsuya6597 9 ай бұрын
Huyu jamaaa anafact nyingi sanaaa
@AhmedAdan-po5ps
@AhmedAdan-po5ps 10 ай бұрын
Sasa huyu anasema nini wala simuelewi jamani
@ibrahimbashirkivina6929
@ibrahimbashirkivina6929 9 ай бұрын
Akilikubwa
@mijacrisofficial
@mijacrisofficial 9 ай бұрын
Kufanya interview na chidd Benz itahitaji moyo
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 9 ай бұрын
😂😂
@easyamazingtanzania
@easyamazingtanzania 9 ай бұрын
Amazing
@nekashash2190
@nekashash2190 9 ай бұрын
naskia watu pembeni wanacheka sana...sister kabaya umevumilia sana...sema chid kalogwa ✍️✍️✍️😁😁😁
@mwavitadundo4880
@mwavitadundo4880 9 ай бұрын
Kwann amumsaidiii uyo jamaa dah adi uruma
@hatibubashiru-b7r
@hatibubashiru-b7r 9 ай бұрын
Broo katisha sana umo boge moja lakipindi mwezi mzima
@emapoziofficial6023
@emapoziofficial6023 10 ай бұрын
dah nilimuona morogoro kachoka sana😢😢😢😢dah
@davidbahati3748
@davidbahati3748 9 ай бұрын
Sikiliza hii clip mpaka mwisho ndo u judge, chid ana mazaifu yake but he is very intelligent prsony
LIVE: Mama Yake Chid Benz Afunguka Yote Yanayomhusu Chid | Shajara
1:14:41
BSS 2023 SN 14   EPISODE 01 ARUSHA
1:03:40
BongoStarSearch
Рет қаралды 206 М.