Nyimbo tamu sana mungu alitenda awali ndio anatenda hata sahuu mungu niko mkononi mwako nitendeee baba nakuaminia sana mungu wangu nitendee kulingqna na mapenzi yako baba
@OfficialDior-z7d15 күн бұрын
Amina🎉
@GloryMjingo-e3y15 күн бұрын
Mbarikiwee sana a kwayaa mmenibarikii sanaaa
@LesterMbwilo15 күн бұрын
Asante mama urio mtumishi vijana tumepungua hekima na busara tunazd kubarikiwa na kujirekebisha