No video

#live

  Рет қаралды 4,508

BENTV MEDIA

BENTV MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 Ай бұрын
Ndugu yangu wewe usilete mapenzi ya ushabiki kwa kulazimisha kitu kama hujuwi ni hujuwi ni nini kinachoendelea Mo alisha mkataa Chama kumpa mkataba mpya kwa makubaliano mapya na Magoli alimtaka bali Mo alimwambia yeye Magoli akimtaka Chama basi yeye amlipe yeye Magoli sasa kwa nini wanam bania ?
@ErastoOmari-ij1zs
@ErastoOmari-ij1zs Ай бұрын
Mchezaji Anaruhusiwa Kuanza Mazungumzo na Mchezaji Akiwa Kabakizamiezi 6 Bila Kuzungumza Na Timu Husika
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Ай бұрын
CHAMA AMESAJIRIWA NA YANGA JULY 1/7/2024
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Ай бұрын
WEWE MJINGA KUWAHI KUTOKEA,FIFA ITATOA RELEASE LETTER SIO LAZIMA SIMBA WATOE
@NellyWaKidato
@NellyWaKidato Ай бұрын
Huyu jamaa anaongea ushabiki sio mpira
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr Ай бұрын
HICHO KIBALI GANI SI CHAMA ASHAMALIZA MKATABA WAKE SIMBA ? MKATABA UPI CHAMA NI MCHEZAJI HURU
@MrishoMatimbwa
@MrishoMatimbwa Ай бұрын
Na bado mpaka waseme
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Ай бұрын
HUO SIO UHAMISHO,UKISTAAFU KAZI LAZIMA UPEWE KIBALI CHA KWENDA KWENU????
@KumbaBoy
@KumbaBoy Ай бұрын
WW muongo ujui chochote kama ingekuwa Ivyo mdawote wachezaji wangekua wanauzwat uyu ajielew
@salumzambwi8941
@salumzambwi8941 Ай бұрын
Pia alitoa mfano wa Okwi kuwa alicheza Alhilali ya sudani kitu ambacho siyo kweli, OKwi hajawahi kusajiliwa na timu hiyo!
@KumbaBoy
@KumbaBoy Ай бұрын
Ayo ni mazungumzo yakibiyashala katika cmba na yanga akuna biyashara ya mauziano
@seydouside4081
@seydouside4081 Ай бұрын
Morrison..na chama..hivi ni tofauti..nauliza hivi marehemu.na.hayati..kunatofauti..!
@EmmanuelMalangahe
@EmmanuelMalangahe Ай бұрын
Simba haina haja na chiba snapewa displin tu
@jacksonsungwana7253
@jacksonsungwana7253 Ай бұрын
Duuu,kwel Kwan thank you walizotoa waliwapa taarifa kabla ligi hajaisha? Acha kupotosha
@salumzambwi8941
@salumzambwi8941 Ай бұрын
Yani huyu jamaa anaongea kishabiki waziwazi, Iko hivi yanga wamemsajili chama taerehe 1/7)2024 asubuhi, wakati mkataba wake na simba uliisha takrinani masaa 6 nyuma. Je shida Iko wapi? Kwani mazungumzo ya kumsajili mchezaji ni lazima yachukue miezi??
@MotibaMashana-hv3tf
@MotibaMashana-hv3tf Ай бұрын
acha kuongea ujinga ww
@ErastoOmari-ij1zs
@ErastoOmari-ij1zs Ай бұрын
Msemaji wasima Kashasema Chama Nimchezaji Wa Yanga Hawezi Kumzungumzia
@MrishoMatimbwa
@MrishoMatimbwa Ай бұрын
Simba wanaweweseka tu kipigo walichopigwa ni kikali sana Cha kuchukuliwa huyo chama na bado mpaka waseme
@ErastoOmari-ij1zs
@ErastoOmari-ij1zs Ай бұрын
7:10 Kipengele Gani Kinasema Mchezaji Akimaliza Mkataba Ananyimwa Hakiyake Yakusajiliwa Timu Nyingine
@AbdulIsrah
@AbdulIsrah Ай бұрын
Mbape ametangazwa real madrid kabla ya hapo alishawahi kukataa mara mbili kusaini pale psg kuongeza mkataba.Mara ya mwisho mbape na babake waliomekana kwenye viunga vya madrid prpbably ni mazungumzo ya mkataba wa awali kusain pale Madrid mbona hatujasikia Psg wakilalama kuhusu Mbape kwenda Spain ?????? Israel Lugano unabumba maneno acha kung'ata maneno
@user-dz8ex4fk2x
@user-dz8ex4fk2x Ай бұрын
Acha uongo hujui chochote, vipi kuhusu morisoni kipindi Simba inamchukua walitoa taarifa kwa yanga?
@JackKanyigo
@JackKanyigo Ай бұрын
Yataisha mbona Fei alienda Azam huku ana mkataba na Yanga?..TFF wali😂 fanya nn?
@veelmng7746
@veelmng7746 Ай бұрын
Tupe hicho kifunga namba ngapi? Mchezaji akibaikiza miezi sita hakuna kifungu kina lazimishi timu inayomtaka kuongea na timu. Simba ni wahuni tuu hakuna hoja yoyote
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН