Hongereni jeshi la polisi, Mungu awe nanyi na kuwalinda mnapokuwa mnapambana na wahalifu kama hao wenye silaha.
@hawaidd268811 ай бұрын
Napenda Sana kutazama startiv kwa Kanda ya ziwa mnafika ,Ila bado park nyigoti ,mkoa wa Mara ,wilaya ya Serengeti jitahidini kufika na huku💙
@rizzyshayo11 ай бұрын
Jeshi letu lisilale Tanzania injii yAman bhna 😊
@SavioFrugenceАй бұрын
Nawapata sana star tv
@rizzyshayo11 ай бұрын
❤
@KelvinKobosa3 ай бұрын
Tunaomba kipondi cha medani za sasa kiboreshwe mtangazaji chief odemba awape MDA wageni anao wahoji kwenye kipind chake asiwe kama ana waatach.( Ana maswali mengi sana )
@yohanamoris3628 Жыл бұрын
Star TV nawapata vizuri
@renzoboyboytz31592 жыл бұрын
Asantee San kwasaponti nyenu
@peterkishosha32553 ай бұрын
Postini taarifa ya habari yote ya saa mbili usiku tarehe 22/04/2024