😔😔😔😔Baba wetu aliyejuu mbinguni jina lako litukuzwe,tusamehe maovu yetu,mkumbuke mtumishi wako baba,maumifu anayopitia wewe ndiye anayajua,muhurumie baba na umponye,mitego yote ya shetani huifunje Kwa jina lako baba😢 usimwaje ashindwe baba,uliyebonya Ayubu,mponye baba, asante maana unanisikia na unanijibu🙏🙏🙏🙏
@rehemamwangoka7 ай бұрын
pole pastor MUNGU w mbinguni akuponye na akulinde wewe na familia yako
@EucabethOyagi7 ай бұрын
Shetani ana chuki kubwa nawewe kwa sababu ya kumtumikia Mungu .I wish you quick recovery Pastor.
@odoyofrancis7997 ай бұрын
Natumai wote tumweke pastor kwa Maombi Mungu azidi kumpigania.
@simonogaro69907 ай бұрын
Mungu ni mkuu kwa kukuepusha mauti mtumishi, God is faithful He will see you through. You ate my rolemodel
@helenongara16797 ай бұрын
Zaburi 103:3 Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote
@DelvardkasongoMande87 ай бұрын
😢 ahh! Pole sana mtumishi wa Mungu na Mungu akutie nguvu nyingi tena zaidi.
@TeresaAnyona7 ай бұрын
Mungu ni mwema pastor changamoto unayopitia
@estherboke30437 ай бұрын
Pole sana pr, mungu akutie nguvu hakika mungu ni mwema na tunamshuru kwa Kila jambo
@CalmexConstructionServices7 ай бұрын
pole sana mtumishi wa mungu,receive healing in the mighty name of jesus.
@jacklinekerubo67197 ай бұрын
Quick recovery pastor. May God remove all obstacles on your way na jina lake litukuzwe
@judithmiruka89547 ай бұрын
Psalms 91 Mungu nakuondelee maumivu
@GattyChacha7 ай бұрын
Sifa zite zimwendee Muumba kwa Ajili yako. Endelea kutukuza Kiroho. Na Mungu azidi kukubariki
@Elizabethchiwanyi7 ай бұрын
Hiyo ni vita Mungu akusaidie pr magoti
@AugustinoKindole7 ай бұрын
Tunamshukuru Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele. Tunakuombea Mchungaji upone haraka uendelee na utume.
@gladysnyaboke64817 ай бұрын
Pole pastor, quick recovery in Jesus Name.
@Simplylk43847 ай бұрын
Mungu akupiganie pastor 🙏🏿
@MarthaKarioba7 ай бұрын
Pole sana pastor nakuombea quick recovery but naamini majaribu yote yataisha siku moja
@Edinahnyaboke-b9o7 ай бұрын
Mungu akuponye past 🙏🙏🙏🙏
@Gesareh-v4d7 ай бұрын
Pole sana pstr ,we are not happy to see u like that..umeshinda majaribu vile Yesu aliushinda ulimwengu...quick recovery
@junessalama91297 ай бұрын
Shetani ameshindwa kwa Jina la Yesu kristo wa Nazareth!
@junessalama91297 ай бұрын
Bwana aliyekuokoa na ajali,akuponye upone na uendelee na utume
@SaitotiHinyura7 ай бұрын
Pole sana Mchungaji.Mungu amekuponya.Duniani humu kuna dhiki na Mateso,lakini bado tunalo tumaini katika Kristo.