Lo! Ajabu Kupata Uzima/ And Can It Be

  Рет қаралды 1,489

Ibrahim's

Ibrahim's

Күн бұрын

I was taught this song by my grandfather when I was still young. I never knew it had an english version 'And Can It Be' lol.
I loved it since then upto now and forever 😊, I've learnt that God is Love.
I hope it blesses you too.
Thank you ❤️
And Subscribe If you haven't
Lo! Ajabu Kupata Uzima
1. Lo! Ajabu Kupata Uzima katika damu ya Mwokozi wangu. Alinifilia pendoni mimi niliye msulubisha. Upendo huu wakushangaza kabisa wewe Mungu wangu kunifilia Pendoni. Upendo huu nashangaa Mungu wangu Kunifilia.
2. Mungu wangu alitoa damu, siwezi kuelewa neno hili, viumbe vyote vya mbinguni navyo haviwezi kufahamu. Najua tu ni kwa Rehema zake Mungu, Malaika watu wote wamsujudu mno. Ni Rehema tumwabudu tumwamini ndiye Mwokozi.
3. Aliondoka kule mbinguni kwa nyumba yake Mungu Baba yake, Na utukufu aliacha Afe kwa ajili ya waovu. Rehema zake ni nyingi na ukarimu kwani Mungu wangu aliniokoa mimi. Sistahili neema yake lakini aliniokoa.
4. Roho yangu ilifungwa sana dhambi na giza vilinilemea ukaniangaza rohoni gereza yangu ikang'aa mno. Ikafunguka minyororo yangu yote, Nikaondoka nikaanza kukufuata. Siku ile nikapata uhuru Kweli kwako Mungu.
5. Hukumuni mimi simo sasa, mimi ni wake Yesu ndiye wangu, yeye ni kichwa changu kweli na amenivika haki yake. Mimi hodari sasa kwa kiti cha enzi napewa taji ya milele katika Yesu. Sina hofu kusogea katika Bwana wangu Kristo
Upendo huu nashangaa Mungu wangu Kunifilia
Ni Rehema tumwabudu tumwamini ndiye Mwokozi
Sistahili neema yake lakini aliniokoa
Siku ile nikapata uhuru Kweli kwako Mungu
Sina hofu kusogea katika Bwana wangu Kristo

Пікірлер: 43
@allthingslazizi3340
@allthingslazizi3340 Ай бұрын
Continue resting in peace 😢
@kasichanarobert6831
@kasichanarobert6831 2 жыл бұрын
Countinue resting in peace sis 😭😭😭 😭
@hellenkayiranga4683
@hellenkayiranga4683 2 жыл бұрын
Rip mary
@sharonkhavere5846
@sharonkhavere5846 2 жыл бұрын
Rest in peace beautiful💔💔 binadamu hawaaminiki kwa kweli ah😪💔
@Kamoste
@Kamoste 8 ай бұрын
Alikufa lini jameni😢
@mercykaingu1165
@mercykaingu1165 2 жыл бұрын
Amina . Mungu azidi kukubariki. My favorite song
@ibrahims6124
@ibrahims6124 2 жыл бұрын
Amen
@shaddybaya4670
@shaddybaya4670 2 жыл бұрын
Rest in peace beautiful soul
@Kamoste
@Kamoste 8 ай бұрын
Whaaat don't say alikufa😢
@ellyounda2092
@ellyounda2092 2 жыл бұрын
Proud of you my lead soprano,, glad to see you still strong in service
@ibrahims6124
@ibrahims6124 2 жыл бұрын
Glory to God. Aminaaa
@themehal6793
@themehal6793 2 жыл бұрын
Woow tamuuu sana
@ibrahims6124
@ibrahims6124 2 жыл бұрын
Aminaa
@christophermramba2814
@christophermramba2814 2 жыл бұрын
@@ibrahims6124 rest in peace dear sister we will miss you...we wll miss how you entertained us for that tym we've been together.....we are crying 😭😭😭😭😭😭😭😭,.......Akk a beautiful soul you lived to teach us many thing surely you changed us be blessed
@ruthkatana5104
@ruthkatana5104 2 жыл бұрын
Beautiful singing pretty 😊
@ibrahims6124
@ibrahims6124 2 жыл бұрын
Thank you dear
@anneachieng70
@anneachieng70 2 жыл бұрын
Wow... Amen.
@josefridarimba6744
@josefridarimba6744 2 жыл бұрын
Shine Your way gyal
@liliandhahabu1316
@liliandhahabu1316 2 жыл бұрын
Nice song Mary😍
@ibrahims6124
@ibrahims6124 2 жыл бұрын
Thank you. Amen😍
@zawadiibrahim7182
@zawadiibrahim7182 2 жыл бұрын
This is my favorite song 😍 I love the arrangement too ❣️ so sweet
@ibrahims6124
@ibrahims6124 2 жыл бұрын
Asanti
@joannek.6693
@joannek.6693 2 жыл бұрын
Amazing pretty
@ibrahims6124
@ibrahims6124 2 жыл бұрын
Amen
@projack4434
@projack4434 2 жыл бұрын
AMEN
@ibrahims6124
@ibrahims6124 2 жыл бұрын
Amen
@olivejetty693
@olivejetty693 2 жыл бұрын
God bless you sister 🙏. God is Great
@ibrahims6124
@ibrahims6124 2 жыл бұрын
Amen
@nzaikiraga9668
@nzaikiraga9668 2 жыл бұрын
Great singing😍😍, lete familia sasa😅😅
@ibrahims6124
@ibrahims6124 2 жыл бұрын
Amen Nitawaleta soon😊
@nzaikiraga9668
@nzaikiraga9668 2 жыл бұрын
@@ibrahims6124 amen, will be great..waiting
@gracesalama3741
@gracesalama3741 2 жыл бұрын
It flows in the family....i see my highschoo twinnie in you... Elizabeth Ibrahim.... Much love kadzo❤️
@ibrahims6124
@ibrahims6124 2 жыл бұрын
Thank you sweetie 💕
@arnoldmuhinji6016
@arnoldmuhinji6016 2 жыл бұрын
Nice one
@ibrahims6124
@ibrahims6124 2 жыл бұрын
Amen
@amorclyde5556
@amorclyde5556 2 жыл бұрын
Nice song❤️
@ibrahims6124
@ibrahims6124 2 жыл бұрын
Amen
@martinwalper9665
@martinwalper9665 2 жыл бұрын
Remembering you
@okothbrian6031
@okothbrian6031 2 жыл бұрын
I love this song
@ibrahims6124
@ibrahims6124 2 жыл бұрын
Thank you
@kelvinkiplimo6691
@kelvinkiplimo6691 2 жыл бұрын
This is beautiful ❤️
@ibrahims6124
@ibrahims6124 2 жыл бұрын
Thank you
@mwaxcie
@mwaxcie 2 жыл бұрын
Beautiful
Lo ajabu
11:06
gloryvoiceskenya
Рет қаралды 24 М.
AIC Ziwani English Choir || Nairobi - Lo, Ajabu, kupata uzima
5:03
AIC Ziwani English Choir Nairobi Kenya
Рет қаралды 17 М.
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 119 МЛН
IMBENI JUU YA PENDO LA YESU / WHEN WE ALL GET TO HEAVEN
3:52
Ibrahim's
Рет қаралды 2,3 М.
Lo, Ajabu- The Capstone Ministers
3:42
The Capstone Ministers kisumu
Рет қаралды 16 М.
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Israel Mbonyi
Рет қаралды 61 МЛН
Kamarun Kamarun
3:36
Dar Basim
Рет қаралды 128 МЛН
LO AJABU | AND CAN IT BE || PIANO BY MJ
3:00
MJ MUSIC CLASSICS
Рет қаралды 935