Рет қаралды 11,257
Rashid baada ya kufiwa na Mamaake, watu wa mkopo walikuja kuuza nyumba kutokana na deni ambalo marehemu alikopa, hivyo basi Rashid na mpenzi wake Lora walipanga Lora aolewe ili pesa watakazopata walipe deni, sasa mwanaume anaetakiwa kumuoa Lora ni mwingine (maana Rashid na Lora dini walikuwa tofauti) baada ya Lora kuolewa kimkataba mambo yakawa tofauti na walivyopanga.
SIMULIZI
LUCAS LUMBASI
SIMULIZI FUPI