LOTION 5 NZURI KWA WATU WEUSI/zina ng'arisha na kulainisha ngozi bila kuchubua rangi yako

  Рет қаралды 39,784

Dayanar skincaretips

Dayanar skincaretips

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@Dayanar_skincaretips
@Dayanar_skincaretips 2 жыл бұрын
Habari wapendwa..leo na share na nyie Lotion tano nzuri kwa watu weusi ambazo zina lainisha na kung’arisha ngozi yako bila kuchubua.enjoy..
@halimaibrahim1915
@halimaibrahim1915 Жыл бұрын
My dear me ni mweusi nataka rangi nzuri kama yako nitumie nini na pia nakaa sana juani so ngozi yangu imeharibika sanaa
@JacklineNgobei
@JacklineNgobei 7 ай бұрын
ohhh ukipaka cream unaharibu ngozi
@wanawakezone1012
@wanawakezone1012 2 жыл бұрын
Asante kwa kutuelimisha
@biglizer
@biglizer Жыл бұрын
Dada dayanar ngoz yangu ni maji ya kunde ila nikipigwa na jua kdgo inakuwa ni nyeusi ile ya ghafla,nitumie lotion gan nzuri ????
@Titilove-c6z
@Titilove-c6z 11 ай бұрын
Asante sana dada
@Blacparma
@Blacparma Жыл бұрын
Naweza pata somo lako madam
@AdelineEzekia-nz9qr
@AdelineEzekia-nz9qr Жыл бұрын
Hellow!! Lotion ya cocoa I afraid gani
@JumaAlmas-ex3rl
@JumaAlmas-ex3rl Жыл бұрын
Hi naomba msaada me nimweus alafu na chunus naomba unisadie mafuta ya kuondoa chunus nakua na mng'ao mzuri
@KhadijaHassan-lw6we
@KhadijaHassan-lw6we 2 ай бұрын
Naomba unisaidie Mimi ni mweusi ila uso wangu nikipaka lotion nazidi kuwa mweusi sana
@zaituniabdallah-ew8xk
@zaituniabdallah-ew8xk Жыл бұрын
Mimi nilikuwa natumia rosheni kali sas nimeacha jee nifanye Ili ngozi yangu isipate kasoro😢
@janethzacharia7967
@janethzacharia7967 Жыл бұрын
Daah we ni mm atusaidie
@fettynaslah8737
@fettynaslah8737 Жыл бұрын
Naipataje
@zaituniabdallah-ew8xk
@zaituniabdallah-ew8xk Жыл бұрын
Hello dada mimi nimeacha tumia rosheni kali sas naomba niambie nitumie ipi
@GraceRobert-v1h
@GraceRobert-v1h 2 ай бұрын
Tujibu bas mm ni mweusi je nikitumia hizo loshen nitang'aa
@AishaRamadhani-f2q
@AishaRamadhani-f2q Ай бұрын
Naomba nitumie jina yaiyo cocoa dada na bei gani
@jameskapesa9699
@jameskapesa9699 Жыл бұрын
Zinafaa kupaka had uson
@nessmictam8683
@nessmictam8683 11 ай бұрын
Jamani nivea imeniweka chunusi sina hamu nayo kabisa
@wekishapeter721
@wekishapeter721 Жыл бұрын
Dada mm ngozi yangu ina mafuta mengi je nitumie mafuta gani au rosheni gani usoni
@HassaniHusseni-oo8uh
@HassaniHusseni-oo8uh Ай бұрын
Mawasiliano yako?
@ashafrancis1070
@ashafrancis1070 2 жыл бұрын
Napata vip
@ashafrancis1070
@ashafrancis1070 2 жыл бұрын
Namba yako
@tuliabaraka
@tuliabaraka Жыл бұрын
Nipo mbeya mm ni mweus na ngoz yangu kavu vip ntapata
@RachelRachel-zx6dx
@RachelRachel-zx6dx Жыл бұрын
Naomba kuuliza Ile vitamin c unavyotumia inaitajika kuchanganya unavyo5umia au
@TeklaNgande
@TeklaNgande 7 ай бұрын
Ni shingapi hiyo lotion ya kwanza
@FatmaMohamed-td9zq
@FatmaMohamed-td9zq 9 ай бұрын
Shilingi ngapi iyo pulmer cocoa better
@TeddyIsaya-jk7gv
@TeddyIsaya-jk7gv 9 ай бұрын
dada samahani unapaka mafuta gani please
@azizauheche5944
@azizauheche5944 7 ай бұрын
Mbona hujibu sms?
@mossisilima452
@mossisilima452 Жыл бұрын
Mbona hujibu coment na je unawez kuchanganya lotion mbili kati ya izo ulizotaja na ukatumia kwa pamoja?
@NdigwakoMwasamengo-ro5hy
@NdigwakoMwasamengo-ro5hy Жыл бұрын
Napataje namba yko
@Mosesburito-h3g
@Mosesburito-h3g Ай бұрын
Wewe usoni unapaka nini
@angelaandrew3797
@angelaandrew3797 Жыл бұрын
Yan lotion unazozitaja sizijui Wala sijawai ziona
@zawadimkangala1268
@zawadimkangala1268 Жыл бұрын
Sorry guys n nn kinasababisha unasweat sana 😢
@maryammohammed1991
@maryammohammed1991 Жыл бұрын
tunavipataja tunaomba namba
@nininahazwefefe537
@nininahazwefefe537 Жыл бұрын
Namimi natakaku namba
@fettyhaj837
@fettyhaj837 Жыл бұрын
Mm nataka
@TinaLwena
@TinaLwena 7 ай бұрын
Wew usoni unatumia nini
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt Жыл бұрын
Wow
@JacklineNgobei
@JacklineNgobei 7 ай бұрын
off cources
@tuliabaraka
@tuliabaraka Жыл бұрын
Nipo mbeya mm ni mweus na ngoz yangu kavu vip ntapata
@nessmictam8683
@nessmictam8683 11 ай бұрын
Jamani nivea imeniweka chunusi sina hamu nayo kabisa
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
MICHIRIZI
11:46
Grace Bimz
Рет қаралды 61 М.
LOTION YA KURAINISHA NGOZI //RINJU & RAZAC
10:08
Grace Bimz
Рет қаралды 69 М.
LOTION 5 NZURI ZA KUNG’ARISHA NA KUONDOA MADOA/best body cream for dark marks
12:06
Stuck at the same hair length for years? Here's the solution...
9:23
VASELINE BODY OIL COCOA RADIANT|REVIEW|
4:50
Serene & Stylish
Рет қаралды 120 М.