Dah mwamba nimeupenda sana mwisho wa hii movie dah jamaa inaonekana kaumizwa sana kuharibiwa ndoa na bado unaipenda nouma sana yaani bora uharibu kwa mikono yako yaani kuliko akuharibie mtu
@mohamedzungufya5151 Жыл бұрын
Mungu atuepushe na majirani wa Shari
@e7bits_tz Жыл бұрын
Umeona eeh
@chibunews5642 Жыл бұрын
Mwanangu za africa unatupatia kutupa story kali
@saidynkunya8656 Жыл бұрын
Nimeipenda ayse hii movie Ni qali kinomaaa
@RahmaMaya-dj1yb Жыл бұрын
Nzuri
@ywydhhd7941 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂tamu sana tamaa mbaya😂😂😂😂
@AllymanenoKingo Жыл бұрын
Uko vzur sana
@YusuphSaid-z5b Жыл бұрын
Mwamba uko vizuri na hii movies🔥🔥🔥
@gasparmpoma3860 Жыл бұрын
Zee la Kutuneee 🔥🔥🔥
@e7bits_tz Жыл бұрын
Zee la town🙏
@Victor-hc2lv Жыл бұрын
Jamaa Unakula sana Mb zangu...... Unaweza broh
@EdwardboayEdward-sx5hn Жыл бұрын
Kubali Sanaa mwamba💥💥💥
@TunuMbega-g2y Жыл бұрын
Dawa ya moto ni moto nimeipenda hii😂😂
@e7bits_tz Жыл бұрын
Umeona eeh😂😂
@mugadimon35636 ай бұрын
😂😂😂😂 hii inaitwa ukijizima data wenzako wanang'oa mtandao
@andreamutekulwa1092 Жыл бұрын
Bro unasauti zuri sana kweli, kwa mtazamo wangu, uaze tafsiri full movie kaka
@healthandbeauty5974 Жыл бұрын
We are proud of you
@e7bits_tz Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@AminaheryNelson9 ай бұрын
Nakukubali wewe mkaka unasimulia vizuri sana ❤ congratulation 🎉❤
@yonaisaya8903 Жыл бұрын
Ahaa mzee baba unazipatia san wa African tulikuwa tunaomba ulete za wagumu weusi yaani wameracan weusi
@e7bits_tz Жыл бұрын
Usjalì, Yona
@obedimwakagali7755 Жыл бұрын
Mwanangu unajuaa
@aminajuma1156 Жыл бұрын
Asante tunainjoi
@brownmagnus3138 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏 Asante Saanaaa kaka
@e7bits_tz Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@JabiriSeif Жыл бұрын
Unajua na unajua tena Za Kiafrica Unaua san
@saumucharo3239 Жыл бұрын
Nice ❤❤❤
@scholasticajulius72222 ай бұрын
Pole❤
@SumaneGael Жыл бұрын
Tengeneza sumulizi ya movie ya limbali
@e7bits_tz Жыл бұрын
Usjal
@scollamwanisisi2739 Жыл бұрын
Yaan uyu jamaa kuongea kwake tu ndo kitu nafata uku sjawai zingatia movie nzur na mbaya nafuata ongea yake tuuuuu
@e7bits_tz Жыл бұрын
😂😂😂
@irenemma326 Жыл бұрын
😂😂
@FinasaraSaid Жыл бұрын
Mimi pia😂
@IreenRiziki Жыл бұрын
Kama mimi
@yusufsuleiman788610 ай бұрын
Pamoja bro
@GeorgeAbuka Жыл бұрын
Ongeza mda aisee wa movie
@alphaxhosa8248 Жыл бұрын
Mwanetu rapcha
@e7bits_tz Жыл бұрын
😂😂😂
@jerryroy17695 ай бұрын
Kaka nakukubali knoma🎉🎉🎉
@SarahMohammed-h3hАй бұрын
Nimeipend xn ayo nd mapenz ya kwel
@erickluoga1248 Жыл бұрын
Msenge fundi kinyama
@SumaneGael Жыл бұрын
Jama yangu uko sawa sana
@SumaneGael Жыл бұрын
Nakukubali sana
@tarickmpemba6007 Жыл бұрын
una best voice bro
@mickydadferooz7235 Жыл бұрын
leo wa kwanza like
@e7bits_tz Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@SumaneGael Жыл бұрын
Jama yangu naweza Fanya chochote ulinambiya ila Niko mbali Niko Europe
@dolinepeter250311 ай бұрын
Hizi move nazipenda sana
@Gelldrama6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉big up
@nehemia39710 ай бұрын
nini kinaumiza sasa hapa mbona unyama sana
@melchiorynjau4908 ай бұрын
Bongo movie 🍿 yetu inasafari ndefu
@mariahjohn352611 ай бұрын
Yaani hii movie imekopiwa ajnabee ya kihindi
@chamiwachamiwa101710 ай бұрын
Daah hiyo movie kali
@angelpilla48169 ай бұрын
Usicheze na akili za mwanamke weeeeee usicheze na kizazi cha mwanamke
@FaudhiaRamar7 ай бұрын
We jamaa unajuwa kinyama
@Maimu.J.81029 ай бұрын
Duh!! Ogopa sana wanawake😅😅
@NdevuKamdini9 ай бұрын
Saf sana 🎉🎉🎉🎉😂
@peterjilala Жыл бұрын
Mshindi kwenye masikio yangu
@roseafrael7511 ай бұрын
Mwisho mzuri
@lidyarajab816810 ай бұрын
Una best voice ❤
@IssaKigwanya Жыл бұрын
Uyu mwana fundi oya unamaiza bando langu
@MickeyTalker9 ай бұрын
Big up to you guy movie nyingii nimezpta apa
@patricktegea143011 ай бұрын
Hatareee sana 🔥🔥🔥🔥🔥
@beautyibrahim842810 ай бұрын
nzur
@SilasEdimundi4 ай бұрын
Upo vizur kk
@grace-xo7wp10 ай бұрын
😂😂😂😂mwanamkee anaakil sanaaaaa ndy maan ya super woman hy 😂😂
@jamallnyello57435 ай бұрын
Yani huyu mwamba nisipomskikiza akili haikai sawa
@EricsonNoah7 ай бұрын
Unyama unyama
@christainc.521711 ай бұрын
Hapa faida movie mizoweyano kupitiriza siyo mizuri😢😢😢
@nikkimbishiunju24029 ай бұрын
SURPRISE au SAPLAIZI?
@HusnaBadran10 ай бұрын
Movie zao nzur san
@ms123ru Жыл бұрын
Kaka nowadays utuwekei link
@YumnaBurhan-ls2un11 ай бұрын
Good
@williammunis7481 Жыл бұрын
Nawezaje kudwonoload?
@aishaallyaishaally322011 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@UmmyUkasha Жыл бұрын
😂😂
@Julianstar_10 ай бұрын
Wanaijeria kumbe wamefik mbl ivi
@Pemba6809 ай бұрын
International
@SalomeJohnson Жыл бұрын
❤❤
@Mambalyelibarick10 ай бұрын
Unyam n mwing ze la town
@Namwaulila7 ай бұрын
Heeee money domony
@augustuscaesar2816 Жыл бұрын
Huyu mdau movie nzuri but yupo kama wale matapeli wakwenye msg telegram hajibu msg afu ats ukituma msg hataki ujue kama kaisoma
@e7bits_tz Жыл бұрын
Pole kwa kutokujibu kwa wakati, sms ni nyingi, na muda nao sina, Tafadhali usiniite tapeli🙏
@augustuscaesar2816 Жыл бұрын
@@e7bits_tz Mkuu sijakuita tapeli bana labda umeniquote vibaya bro