LOVENESS EPISODE 1

  Рет қаралды 33,173

MPOWISE

MPOWISE

Күн бұрын

Пікірлер
@mbmdigitalpro5198
@mbmdigitalpro5198 3 жыл бұрын
wow! Filamu nzuri sana
@fatmasuleiman7556
@fatmasuleiman7556 Жыл бұрын
Bongo movies Z zamani ni mzur mana unazielewa na ukizitizama ziko vizur kuliko saiv,
@mwakatobemfariji5012
@mwakatobemfariji5012 4 жыл бұрын
Nzuri ila mziki umezidi hamsikiki vzr
@aboubakaryhusni1352
@aboubakaryhusni1352 4 жыл бұрын
Kwanza napenda nitoe pongezi za dhati kwa management nzima filamu hii nzuri japo imeishia pazuri na patamu pia twawaomba muwahishe muendelezo 🙏🙏🙏🙏🙏
@محح-و6ش
@محح-و6ش 3 жыл бұрын
NGO'ombeni sec school
@zawadistamili6549
@zawadistamili6549 4 жыл бұрын
Asante sana kaka yaani hii movie gisi nilikuwaga na itafuta ni basi tu Mungu awabariki kwa kazi zote mnazo zifanya pia awape maisha marefu jambo niko inje ya inchi nawapenda sana,nawaomba kama itawapendeza munaweza kuweka sehemu 2 asante kwa wote
@لينا-ظ1ك
@لينا-ظ1ك 4 жыл бұрын
Ya hii movie nilikuwa niki itafuta mudaa mrefu hongera san washiriki wote
@zenamuhammed4057
@zenamuhammed4057 4 жыл бұрын
Saut za waigizaji hatuziskii vzr tunaomb hlo
@hopebaby7147
@hopebaby7147 4 жыл бұрын
wowhhhh naipenda hi move jamani
@ameenaalameena4968
@ameenaalameena4968 3 жыл бұрын
bonge la movie
@ترووكالحارثي
@ترووكالحارثي 11 ай бұрын
Nice movie
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 4 жыл бұрын
So nice
@rhoidasophia9350
@rhoidasophia9350 4 жыл бұрын
king
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 4 жыл бұрын
Mwenderezo jamani
@samiaarimkonekonko5096
@samiaarimkonekonko5096 3 жыл бұрын
Nasoma komet😃😃😍😍😍😍😍🙏🙏❤️❤️
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 4 жыл бұрын
Part 2 please Kaz nzur
@reginajustin2432
@reginajustin2432 4 жыл бұрын
Nzr sana
@ashasungata2708
@ashasungata2708 4 жыл бұрын
♥️🥰🤴🔥👸
@jokeableking7039
@jokeableking7039 4 жыл бұрын
Wale mpoyoka bongo sinema mko wapi??? Tujuane hapa 👇👇👇
@apolinemalungano9155
@apolinemalungano9155 4 жыл бұрын
Twaomba muendelezo wa Dowa jela
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 4 жыл бұрын
Ipo
@lameyajaff8881
@lameyajaff8881 4 жыл бұрын
Mpunguze kidg mziki jamani
@benezethkapongwa3111
@benezethkapongwa3111 4 жыл бұрын
Wale tuliokuwa tunaitafuta Loveness tujuane hapa
@mercykerubo3973
@mercykerubo3973 2 жыл бұрын
Mimi apa
@bintihassan6534
@bintihassan6534 4 жыл бұрын
Please tunaomba ndoa ya jela ep 11 thn na hii pia tunaomba mwendelezo please mbn munatuacha sna bila ya kutupa mwendelezo😔😔😔
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 4 жыл бұрын
Inakuja
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 4 жыл бұрын
Ipo tayari
@richardjuma7708
@richardjuma7708 4 жыл бұрын
Sauti
@lameyajaff8881
@lameyajaff8881 4 жыл бұрын
Kwani ile jeraha ya ndoa imeisha
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 4 жыл бұрын
Bado tutaiweka mtandao utakapo kaa sawa, samahani kwa usumbufu.
@lameyajaff8881
@lameyajaff8881 4 жыл бұрын
Sawa usjali tupo pamoja
@zenazamba5320
@zenazamba5320 4 жыл бұрын
Mtatukimbiza bure ndoa jela episode 11 inaitajika jmn duh ishakuwa kila jumamosi atuoni kitu mmmmmm me nitawaama kbs
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 4 жыл бұрын
Siunajua Tanzania mtandao unasumbua nchi nzima!!!!! Mtandao ukikaa sawa tutawaletea mwendelezo wa ndoa jela na hataivyo ipo mwishoni
@sahlamussa8538
@sahlamussa8538 4 жыл бұрын
@@mpoyokapictures1405 mh jomN au ishaishs
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 4 жыл бұрын
IPO sasa
@timothychakaya1572
@timothychakaya1572 4 жыл бұрын
Jameni sioni epsode 2
@richardjuma7708
@richardjuma7708 4 жыл бұрын
SAuti
@latiffamohamed7358
@latiffamohamed7358 4 жыл бұрын
Leteni muendelezo mbona hueleweki
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 4 жыл бұрын
Kuwa na subira tupo pamoja
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 4 жыл бұрын
Patient dear haraka haraka haina baraka
@siapaul3346
@siapaul3346 4 жыл бұрын
Musiki mkubwa sana hatusikii maneno et kiruuu
@zenazamba5320
@zenazamba5320 4 жыл бұрын
Naona mtakimbiza mashibiki wenu me mmoja naaza sikia uvivu Wakuangalia movie zonu mnacheza movie za bien lakini amujuwi kujipang ebu tumilizeeni ndoa jela jmn
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 4 жыл бұрын
Kabisa yaan
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 4 жыл бұрын
Unachemka mpoyoka nitasitisha kuangalia muv Zako umalizii Sijui kwanin, ndoa jera umeishhia kat, mume Wa ndoa pia Leo waleta mpya, mnazingua
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 4 жыл бұрын
Siunajua Tanzania mtandao unasumbua nchi nzima!!! Mtandao ukikaa sawa tutawaletea mwendelezo wa ndoa jela na hataivyo ipo mwishoni
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 4 жыл бұрын
Habari Wapenzi wa Filam zetu Tumshukuru kwa Support yenu mpaka sasa Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwa Kutopata Mwendelezo wa Series ya NDOA JELA hii Nikutokana na tatizo la Mtandao Utakapo Kaa sawa Tutaendeleza Mwendelezo wa NDOA JELA By Mpoyoka Pictures
@aminamnungamo8081
@aminamnungamo8081 4 жыл бұрын
Mbona mwenderezo wa ndoa jera umuturetei mwenderezo wake
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 4 жыл бұрын
Tanzania mtandao unasumbua nchi nzima mtandao ukikaa sawa tutawaletea mwendelezo
@akilamussa3724
@akilamussa3724 4 жыл бұрын
Sawa kaka
@mamakealizecha9391
@mamakealizecha9391 4 жыл бұрын
Mturushie na mume wa dunia part 2 jamani
@mariasshilla4528
@mariasshilla4528 4 жыл бұрын
Ndoa jela kwani iliisha jaman?
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 4 жыл бұрын
Bado inaende
LOVENESS EPISODE 2
24:04
MPOWISE
Рет қаралды 33 М.
NDOA JELA PART 1
1:01:25
MPOWISE
Рет қаралды 45 М.
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Pelo E Ja Serati Tv Lesotho 15 December 2024 Episode🙈🙈🙈
24:03
Frågor och svar
7:50
SFI Annika
Рет қаралды 8 М.
Zuchu ft Diamond Platnumz - WaleWale (Official Lyric Audio)
3:55
MISSION IMPOSSIBLE [23] SEASON 2
21:36
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 83 М.
JAMILA MTUKUTU episode 1 (swahli series)
21:29
BONGO Hot News
Рет қаралды 1,1 МЛН
TATIZO FULL MOVIE
47:39
BUTUA MAGINGA TZ
Рет қаралды 43 М.
MUME WA DUNIA (OFFICIAL MOVIE)
1:28:10
MPOWISE
Рет қаралды 708 М.
بشرى الأسد وز نا المحا رم  قصة سفا حة نظام بشار الأسد
11:28
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН