Maa Shaa Allah... Shukran ukthy Wallahi nmejifunza mengi... Allah akupe siha njema uzid kutukumbusha mengi... Aameen
@Ukhtyzuhura Жыл бұрын
Asalam alaykum Tumestafid hakika Kwa darsa Lenye manufaa na mazingatio Jazakhumullah Khairan
@nahiaabdallah58714 жыл бұрын
Mashallah Allah akujalie kalalaheri inshallah
@husnamohamed92452 жыл бұрын
Heshma hakuna siku hizi
@aishanassor81305 жыл бұрын
Masha Allah shukran hbbty
@shiffahmahmoud85676 жыл бұрын
Jazakallahu kheir habibty
@nahidaalbadaei99396 жыл бұрын
Shukran nyote naomba dua zenu
@mwanakhamiskhamis31154 жыл бұрын
Sadakta ughti ktk ndoa 10 9 hazina furaha na 6 tumekalia miba michungu Inaumiza lakini Aaaa tufanyeje. Lililo baki ni ustahamilivu tu
@ashoramashaallahmohammed33486 жыл бұрын
mashaallah mada adhwim allah akulipe hbty
@ramlaali83156 жыл бұрын
Waaleikum msalam warahma tullahi wabarakatu,,jazakha Allahu khairan ya ukhti
@salamahamadi41236 жыл бұрын
Asantee ukti nahidaa nitajirekebishaa
@samirahamdani12566 жыл бұрын
Ukti na swali naweza kukuliza swali na mtihani sana kwenye ndoa yangu
@hawamnyambo84885 жыл бұрын
Mashaallah
@hanunarashid46775 жыл бұрын
Jazaka Allah kheir
@mariamually95024 жыл бұрын
Waaaleykum salaam warahmatullah wabarakatu
@mariamjuma45896 жыл бұрын
Ila dada nyumba nying kuwaka moto n wanaume ndio shida kubwa wanaume wanatesa sana
@rashidseif61036 жыл бұрын
Mariam Juma Labda huyo ulie nae ana matatizo yake binafsi tu lkn sio kweli kama mwanamme ndio chanzo cha matatizo ktk nyumba.
@mwanakhamiskhamis31154 жыл бұрын
@@rashidseif6103 Rashid wewe ni mwanamume ukita kujua wanaume Ndio chanzo cha matatizo katika ndoa kwa asilimia 98 Fanya research ndogo tu. Hakika utakuja kukubali maneno ya Maryam
@rashidseif61034 жыл бұрын
Wanawake wanasumbua sana jamani, unaweza kukonda ghafla